تغريدة مثبتة
Bob Kipara
64.3K posts

Bob Kipara
@_bli4
Phone & Accessories bussiness| Surviving is winning🌵| https://t.co/Dn9SJ6Lsbu
Dar es Salaam, Tanzania انضم Kasım 2021
9.2K يتبع8.6K المتابعون

@devika7408 @Math_files In that case 'Money constant' by Maphorisa 😂
English



@PresenterNoah Tumia kama nauli ufike coco beach ukaimbe karaoke
Eesti

Aviator chaap tu unakuwa kichaa😂💀
IAmHaule@IAmHaule
Njia nyepesi ya Kufilisika ni ipi ? Yaani ile hata uwe na 2B Ila ukigusa tu unabaki kapuku ?
Indonesia
Bob Kipara أُعيد تغريده
Bob Kipara أُعيد تغريده
Bob Kipara أُعيد تغريده

BRO TO BRO
Haijalishi unapitia wakati gani katika maisha Usikate tamaa bro
Ili mradi bado unaishi. Basi mapambano lazima yaendelee
Bado una muda.
Bado una pumzi
Bado una nafasi ya kubadilisha mambo.
Mwanaume wa kweli hakimbii changamoto anajifunza kuhimili na kuzoea mikikimikiki.
Anaweza kuanguka, anaweza kuumia, lakini anainuka tena akiwa imara na mwenye nguvu zaidi.
Siku zote Hadithi ya mwanaume haimaliziki pale maisha yanapokuwa magumu mara nyingi hapo ndipo safari yake halisi inapokuwa inaanza.
Inuka tena, Jipange upya na Endelea kupambana. 💪
Filipino

Bahati hainaga ukweli kama huchezi wewe uwanjani😂
Biko@bik0hh
Tafuta odds mbili kila siku stake high and you will never seek employment in your life
Filipino

@_bli4 Miezi 12 ijayo Software engineering itakuwa replaced kwa kiwango kikubwa.
Usipingane na ukweli, cybersecurity ndiyo kazi nyepesi zaidi kuwa replaced.
Filipino

@_bli4 @mchiziMonie AI ni developers wametengeneza tool ya kisaidia kazi wazee kama tu wakulima jembe to tractor ... .. kwa hiyo hakuna mtu atakosa kazi ..ila tu time ya ku deliver ndo inapungua
Indonesia















