colluci🇸🇴🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🇰🇪

774 posts

colluci🇸🇴🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🇰🇪 banner
colluci🇸🇴🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🇰🇪

colluci🇸🇴🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🇰🇪

@colluci254

A teacher by proffesion ENGL LITT👩‍🏫 ,Author🚓, Fleelancing,Proxying, Online researcher⛳,Tour guide🏞️

Lamu, Kenya انضم Eylül 2024
43 يتبع59 المتابعون
Kijana ya Misa🇰🇪
Kijana ya Misa🇰🇪@kijana_misa·
Huku Mombasa unajaribu kuishi ile maisha ya Nairobi ya kutongelesha watu wa ploti, the next day unasikia caretaker amesema kuna plot meeting na ni wewe wanataka kuaddress buana.
Indonesia
44
365
3.6K
98.7K
Ras G:🇰🇪 Hon.Wahome
Maandamano hatuendi CBD this time... TARGET 🎯 KAREN & STATE HOUSE...🔥🔥🔥
English
89
1.9K
6.8K
50.4K
ℝ𝕒𝕡𝕦𝕕𝕠🦎
ℝ𝕒𝕡𝕦𝕕𝕠🦎@RapudoBrian·
Siku karibu mumaz anikamue bone marrow yote kwa mwili juu ya 300k 😂 Bana juzi nilikuwa kwa pilka pilka zangu za kuenda job pale port. Nikasema acha nipitie Club Zero4 angalau nipige shot moja ya haraka nikiteremsha “mbolea” ziende mashinani 😅 Nikiingia tu kwa counter, nikapata bonge la mama amekaa hapo kando… na hata kabla niagize kinywaji yangu, yule mumaza akashout, “Mpee kenye anataka!” Mimi naye, kama fala na tamaa zangu 😂 nikachukua ka-whitecup tukaanza kusip pole pole tukiexchange stories kama tumejuana miaka kumi. Time ikaenda mbio mbio… next thing najua nimeshalate job, na tuko drunk vibaya sana 🤣 Madam akaniambia, “Twende kwa gari yangu ile ya wa Jerumani…” Mimi sina maswali 😭 tukapanda tukadrive mpaka Nyali… ati on one of her properties 😆 Kufika huko, kitu ya kwanza madam alifanya ni kutoa 300K akanipatia… akasema: “Lazima ufanyie hizi pesa kazi.” Mimi hapo nikajua leo mambo sio ya mchezo 😂 Mechi ilianza saa sita usiku… na bana ilikamilika after masaa nane straight 😭💀 Kufikia hapo tayari kumekucha, ndege zinaimba na mimi sina hata nguvu ya kushika toothbrush 🤣
ℝ𝕒𝕡𝕦𝕕𝕠🦎 tweet media
Mombasa, Kenya 🇰🇪 Indonesia
12
10
79
17.9K
Maverick Aoko
Maverick Aoko@AokoOtieno_·
"Is it not by my power and might that I have conqured," Those words made Nebuchadnezzar eat grass for SEVEN years PRIDE. HUBRIS Glado, do you remember when you misplaced your phone at a funeral this year? Hii 2026, Bas! Tea zako comes from that phone Sweetest part, kesho!
Maverick Aoko tweet media
English
263
680
5.9K
237.7K
Frank.XBT🔸
Frank.XBT🔸@Fra_nkXBT·
Last year nilifungulia bibi yangu business after two month ikapick poa. she was making good money until kiburi ikamshika this year akaanza kuniongelesha nikama sio mm nlimfungulia. so i kept quiet na nikaachana naye afanye biz yake. i was planning to add more stock until .... 🧵
Filipino
60
35
703
105.9K
MethoDman
MethoDman@polo_kimanii·
Na vijana sasa mjue katiba ilibadilika nyinyi mkiwa shule. Siku hizi ukipea msichana wa rich families mimba huwa hawakuulizi how much money do you want to leave my daughter alone,apana. Siku hizi huwa unarukwa mimba yako buana. Kwanza wazazi wakiskia mimba niya upcoming artist msichana huwa ananyaganywo simu na anapandishwa ndege Kwenda university kule Ontario canada. Some of these families are very specific on the direction they want their bloodline to flow. Huwa unanyaganywo mtoto yako kama mutina nakwambia. And you cannot take them to court,thats their playground,they buy all your cheap lawyers like Kangumuu. Alafu ujue Hakuna watu kigeugeu kama loya,Loya ni mtu anakuangalia kwa macho namna hii anakwambia hii kesi ni mboga,akijua vizuri ashaakula deposit from opposition. Na hivo ndio unanyaganyo mtoto. Hawataki damu ya kawangware. Na jina yako hawaekangi ata kwa birth certificate. Wanaekanga ya babu yao,Kanyori wa Mbùkù. Earth is hard aisee
Filipino
64
208
2.1K
76.7K
MethoDman
MethoDman@polo_kimanii·
@colluci254 Oya leta namba ya mhindi tusalimie bwana
Filipino
2
1
47
5.8K
L3wi.s
L3wi.s@Mnauwoo·
I used to be embarassed about eating things like samosas, smokies etc while walking in public until I met a lady walking around eating fish..the fear is now gone
English
58
738
5.7K
79.7K
Mimi Sijui
Mimi Sijui@MimiSijui592272·
Hii ni shuttle kweli ama niko kwa casket napelekwa mortuary jameni😭
Mimi Sijui tweet media
Polski
151
458
3.2K
63.4K
Kijana ya Misa🇰🇪
Kijana ya Misa🇰🇪@kijana_misa·
Leo nimeona maajabu buana, I was just walking sides za Nyali reef and I came across my form two girlfriend. Kumbe ni kama mimi ndo nilikuwa nashikilia nyota ya huyo msichana because maisha nimeona anaishi sidhani ka I will ever experience it. Kumbe after highschool alijoin TUM na within that period akaangukia a young mzungu from Germany huyu hata akwendea hawa wazee, they are now married with two kids buana.Hata ndo wanipea lift with their G Wagon akaniwachilia hapo Lights na akanipea pesa ya kushika mzinga ndo pombe inimalize buana. Mungu pia mimi ungenipea tu kinywero buana.
Filipino
13
13
157
25.3K