
@Francis78698411 @mangekimambi We tatizo ujamuelewa mchina, mzungu alikuwa kamzidi mchina mbali, initial strategy yao ilikuwa kucopy kwasababu that way wangemfikia haraka, ila sasahivi Wachina pia wako innovative sio kila kitu wanacopy kama zamani.
Indonesia


















