mlula_F05
452 posts



@JayUmeme @Hunaiya153989 Mzee me even 400k bora kidgo kuliko uwe huna kabsa
Filipino

@JayUmeme @Hunaiya153989 May be.... but io mitaala yetu after tax and exemption of loans 600k unazarau seriously umu tuna pretend life sana
Filipino

Em Leo tuzungumze maana ya WINGA, wengi wanapotosha sana na kuweka nadharia ya WINGA kama tapeli 😂
Winga ni nani? Role ya Winga kariakoo au kwenye market ni ipi?
1. Winga kwa lugha nyepesi ni mtu wa katikati baina ya Muuzaji wa Jumla & Mteja wa mwisho.
Winga kwa lugha ya wazungu Hawa wanaitwa watu wa Sales, winga Hana tofauti na mwenye duka la rejareja.
Kwa Kariakoo wenye maduka kuna watu wa aina 2 na Kuna ambao wanaingiza mzigo direct Kutoka Nje, Kuna wanaonunua mzigo kwa hao wanaoingiza nje.
Hao wa pili ni kwa sababu mitaji yao ni midogo, hao wa kwanza hawategemei mteja wa mwisho, hao wanategemea wenye maduka na mawinga ili kupush mzigo utembee.
2. Role ya Winga ni ipi? Kama nilivyoeleza hapo juu, Winga ni mtu wa katikati, anachukua bidhaa kwa supplier na kuuza kwa mteja, winga hategemei duka physical kama Hana mtaji, duka lake ni simu yake.
Winga huyu akipata hela atafungua duka lake mwenyewe na kuendeleza biashara yake na wateja wake walewale tofauti na mtu anayeanza from the scratch akiwa na duka. Kariakoo vijana wengi walianzia kuwa mawinga kabla ya kuwa na maduka yao.
Sasa hivi unahitaji TU kuwa na winga mwaminifu, issue za kwenda Kariakoo siku hizi watu hawapendi kabisa, unless kwa bidhaa ambayo utahitaji uione mwenyewe.
Kama haupo kwenye payroll ya Kila mwezi, au huna mishe yoyote mjini hapa, jiajiri Mtandaoni kijana, Fursa zipo.
Kwa mahitaji ya Bidhaa za Electronics kama simu, TV, fridge n.k usisite kunicheki WhatsApp
0747625726

Indonesia



























