Daniel Mwandala
5.8K posts

Daniel Mwandala
@DannyThePlanner
Project Manager, Businessman, Business Analyst, Strategist. Ready to assist for Strategy making, Business Plan, Project Proposal and Market Analysis.
Beigetreten Kasım 2022
364 Folgt264 Follower

@LaligaCoverage 1. Viktor Valdes
2. Thiery Henry
3. Cales Puyo
4. Gerrard Pique
5. Keita
6. Xavi Hernandez
7. Ibrahimovic
8. Messi
9. Dani Alves
10. Yaya Toure
11. Eric Abidali
Español

@ndagamba46 @Oktoba29 Nyerenye alitaka kujenga ila alinyimwa mkopo na World Bank, kwa sababu zile zile walizo kuwa wanampa Magufuli kwamba litaharibu ecosystem.
Indonesia

@Oktoba29 Upumbavu nao ni kipaji,hata Nyerere alijua kuna bwawa la Umeme kule Rufiji lakini hakulijenga.Pili sijui bei ya kuuzwa unaifahamu au ni ule ule ulimbukeni?
Indonesia

@JumaMahuba @Oktoba29 Hako ambako yamesha vunwa na ambako wanaendelea kuvuna yameondoa umasikini? Mbona kwa miaka karibu 20 tulikuwa tunapata sijui chini ya 5% kutoka kwenye madini?
Filipino

@Makaveli_255 Dalali aliniambia njoo kuna frem imepatikana, nikaenda na location nikaielewa. Akampigia tajir wa frem akamwambia kunihusu na aina ya biashara, tajiri akakubali nikapewa ACC kesho yake nidumbukize, dalal nikamalizana nae, ghafla dalal ananiambia nikachukue hela yangu mke kazingua
Indonesia

@WaridaYahaya @Positivenga1 Nipe mchongo best, mimi nimenyooka kabisa. Ila michongo ndiyo hivyo sasa.
Filipino

@Positivenga1 Uko sawa kabisa ,mi huwa nasema kibongo kibongo kijana kufanikiwa Wala sio kazi sana ukiwa na nidhamu, usiwe na tamaa, usiwe mjuaji ,bidii tayari ushatoboa mapema sana , fursa za kupata Michele bongo Bado ni nyingi mno na zinahitaji watu ila watu hawapo
Indonesia

@NkosweCharles @fumbokhanJr Hizo curriculum zikiwepo na Wanafunzi wanakaa kwenye vumbi, una uhakika huto toa milio kama kama unayo itoa hapa? Je, kosa la Baba Levo ni lipi?
Filipino

@fumbokhanJr Karne hii mnatamba na msaada wa madawati?? GPA kubwa inakaa tudiscuss upuuzi,bro people wanahitaji Elimu bora yenye tija ,tunahitaji curriculum proper zitakazopelekea kuzalisha wasomi bora sio madawati bro 🫵 huu ni udhaifu wa kiwango cha juu mpaka leo unashangilia kuletewa dawat
Indonesia

@Ramsi_wood @fumbokhanJr Kwamba hawakupatikana kama yeye before? Au unataka kutuaminishaje?? Waza mala mbili kabala ya kutype🙏
Indonesia

@SeekNaturalLife @lifeofmshaba Alikuwa mchumia tumbo tu huyo. Regime iliyo pita alinyimwa fursa ya kumega tunda, regime hii kapewa nafasi. Hivyo lazima afunge sufuria la lawama la regime ile na afungue sufuria la sifa kwenye regime hii.
Filipino

@alekkin254 Mpaka leo vijijini huko Millennials na GenZ smartphones wanaziita simu za tachi.
Indonesia

@ShirimaYvonne @JamesLwimi79588 Nenda kwa wanao uza maua, na watengeneza bustani
Indonesia

@EliabuDanford @brayansilayo_ Of course yes ni wale waliomkiri, mkubali Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wao.
Indonesia

Ufunuo wa Yohana 20:7-9
7 Na hiyo miaka elfu itakapokwisha, Shetani atafunguliwa, atoke kifungoni mwake;
8 naye atatoka kuwadanganya mataifa walio katika pembe nne za nchi, Gogu na Magogu, kuwakusanya kwa vita, ambao hesabu yao ni kama mchanga wa bahari.
9 Wakapanda juu ya upana wa nchi, wakaizingira kambi ya watakatifu, na mji huo uliopendwa. Moto ukashuka kutoka mbinguni, ukawala.
Hawa watakatifu ni akina nani sisi wakristo??
Filipino

@DrCyrilo @HildaNewton21 Kiufupi kila mtu abaki na mtazamo wake kuhusu Magufuli.
Filipino

@Dagwaaa @EdwinMjeru Vijana huwa wana-prioritise sana TITLES kuliko TANGIBLE RESULTS na REVENUE.
Wengi huishia kuwa na vikampuni vya mfukoni tu, na kuanza UTAPELI.


Filipino

Wanasheria tutani msaada please!
Kuhusu BRELA na TRA!
Assume mtu anataka kuanzisha kampuni ya KAZAMWENDO Group ambayo itakuwa inafanya biashara chini ya brand hizi👇
1. Kazamwendo Logistics
2. Kazamwendo Natural products
3. Kazamwendo Hardware
4. Kazamwendo tailoring
Swali 1: BRELA: Je, wakati wa kusajili BRELA asajili tu kampuni kama Kazamwendo afu zingine ziwe brand names za matawi ya biashara au inabidi asajili kila kampuni peke yake kulingana na biashara husika?
Swali 2: TRA; Je, achukue TIN number moja na kulipa kodi chini ya kampuni mama kwa pamoja au inabidi kila biashara achukulie TIN namba yake na kulipa kodi separately?
PS: Retweet ili iwafikie Wanasheria kwa msaada. Asante!
Asante kwa ushauri wako in advance!
Filipino

@chapanombombwi @george_haroun Hata kama ningekuwa mimi ambae nilikuwa mwiz, mtu wa magendo, nisie wajibika kazin, vyeti feki, biashara haramu, au ndugu yangu yeyote ambae nilikuwa mnufaika kupitia mishe zake haramu na aina yeyote ile ambayo haikuendana na falsafa yake, lazima ningemchukia, na kumuona muovu.
Indonesia

@DannyThePlanner @Aruatani kujikosha tu babu, mbona humalizi?
Indonesia

@14Nainggolan @Aruatani Nashukuru kwa kuukubali ushauri, natumai utakaa sawa siku moja. Kila lakheri.
Indonesia

@DannyThePlanner @Aruatani maelezo mengi, takataka, haya sawa mama janabi umesikika
Indonesia

@14Nainggolan @Aruatani Huwezi ukawa umeshiba, Una akil timamu imetulia+ busara alafu ukawa unatumana watu mtandaoni kisa umetofautiana nao kimtazamo. U're mentally unfit, pata chakula cha kutosha, pumzisha akil, pata ushauri wa kisaikolojia, ongeza sped ya kutafuta pesa. Ukiyafankisha haya hutotukana.
Filipino

@DannyThePlanner @Aruatani hata niwe na njaa ya siku 6, jeuri ya kunilisha huna
Indonesia
























