
Learner✝️🛐
31.3K posts

Learner✝️🛐
@ProLearner77
A Real Human. Being // Reposts≠endorsements
Syokimou Katılım Nisan 2015
2.7K Takip Edilen2.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet

@Mwitah_tz Ukiwa na madaraka na pesa unaweza kujitahidi sana kwa kila HALI, kuchonga stori unavyotaka, kuua watu, kutupa jela na kusingizia kila unachoweza.
Ila UKWELI ni UKWELI na haujawahi KUJIFICHA MILELE yote.
Indonesia

@MarekaMalili Kilichoua Ginneries na viwanda vya nguo ni serikali kuwekeza nguvu kwenye udalali (stakabadhi ghalani).
Watu wamekata tamaa ya kulima pamba na viwanda havina malighafi.
Indonesia


@mananajr_ Hela ni namba tu.
Muhimu ni ukubwa wa manunuzi wa hela husika
Eesti

@IAMGeorgesw @jwise017 Maoni ya wananchi ni makabrasha kibao, haya hicho kitabu kimoja ni compilation ya wataalamu.
Indonesia

@ProLearner77 @jwise017 Sijasema hayo, nimezungumzia maoni kuwa ndiyo msingi wa mpangilio unaotakiwa
Indonesia

@IAMGeorgesw @jwise017 Kwahiyo maoni ya wataalam hayafai tena, tufuate mizuka tu, maoni ya vijiweni, mitandaoni, ya kila tom, dick and harry.
Utaalamu hauna maana tena
Indonesia

@ProLearner77 @jwise017 Mimi nadhani utaalam ubaki katika kupangilia kile Wananchi walitaka. Tusiweke utaalam kwenye maoni yao
Filipino

@IAMGeorgesw @jwise017 Ni sahihi wananchi kuwa na mapendekezo, lakini yapo mambo yanahitaji utaalamu.
Indonesia

@ProLearner77 @jwise017 Kwa nini ihitaji maboresho wakati yale ni mapendekezo ya Wananchi
Indonesia

@IAMGeorgesw @jwise017 Rasimu ya Warioba inahitaji maboresho hasa kuhusu Muundo wa Muungano
Indonesia

@RKishaija81715 @jwise017 Sizungumzii watu wenye madaraka na tamaa kuandika katiba
Indonesia

@ProLearner77 @jwise017 Hawana madaraka ,walionayo Political will hawana.
Hivyo haiwezekani bila wenye akili na uzalebdo kuwa madarakani
Indonesia

@RKishaija81715 @jwise017 Watu wenye akili, wazalendo, wanaoaminika na maamuzi wapo.
Ni issue ya political will tu
Indonesia

@ProLearner77 @jwise017 Nani anawatafuta hao watu ?
Maana kusema ni rahisi hilo jambo linatekelezaje?
Eesti

@Excess300 Does English mean inyelligence to you?
Or what do you mean by intellectually?
English

@Mwitah_tz Mfumo wa KITAPELI, unaopalilia UTAPELI na kurudisha nyuma wakulima.
Wakulima wataendelea kung'oa KAHAWA na kupanda MIGOMBA.
Ni mkulima mpumbavu tu atalima PAMBA...
DEAF EARS CONMEN
Indonesia

Leo Dodoma kulikua na maadhimisho ya miaka 20 ya Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala kwa Kingereza wanaitwa Warehouse Receipts Regulatory Board (WRRB) ambao hawa ni moja ya bodi ambazo kama zikitazamwa vema sana ndo engine ya kuwa na a fully bankable agriculture hata kwa wakulima wadogo kabisa. Niskiize vema.
Mosi, hawa wanaratibu mfumo unaitwa “stakabadhi gharani” ambao simply ni kwamba; Mkulima analima, anachukua mazao yake, anayapeleka katika maghala yaliyosajiliwa na WRRB anaweka mzigo wake na kisha anapewa “Stakabadhi/Receipt) ambayo inaonesha thamani ya mzigo ule ambao umekua stored sasa basi;
Hii “receipt” inakua na monetary value na inakua na uwezo wa kutumika kama dhamana ya mikopo ya kibenki na benki nyingi sana huko mikoani zinatoa sana hii mikopo kwa wakulima ambao wao wanabaki na risiki kama dhamana ya mzigo ambao upo gharani wakisubiri aidha mkulima auze bei inapo spike au wa confiscate ule mzigo maana hapo katikati kuna actors kadhaa ikiwemo mkulima mwenyewe, underwriter, bima etc.
Sasa katika maadhimisho leo ya miaka 20 ambayo yalikua graced na Dkt. Mwigulu Nchemba WM-JMT kuna kitu kilifanyika ambacho ilikua ni uzinduzi wa Mkakati wa miaka mitano ya WRRB na hapa kuna issues kadhaa ambazo ndo msingi wa post yangu leo;
1. Changamoto kuu ya huu mfumo ni kwamba kama Nchi maghara ambayo yako registered na WRRB na hivyo kufanya mkulima yoyote mahala popote awe na access na hii huduma na sasa imetoka directive ya LGAs ku allocate 20% ya mapato yao ya ndani kuwa na walau registered warehouses kwa kila kata.
2. Kua na mfumo mmoja wa WRRB (Inter-grated Gateway) ya TEHAMA ambao unasomana na Commercial Banks na Mifumo ya Bima na kwamba Mkulima anapoweka mzigo wake na kuoata receipt tokens awe na uwezo wa ku access mikopo at the instant and integrated mean.
3. Hiyo Portal iwe intergrated na huduma zingine za kisekta ambazo zina capture maeneo muhimu ya kiuchumi na malengo ya wengi kulima. Kwa mfano (mtu analima ili akivuna akauza anunue tractor au ajenge basi kuwe na direct pool inayomlink mkulima na hiyo huduma kwa kutumia tu receipt tokens zake)
4. Portal iwe linked na credit rating means na kwamba mkulima anaeza kopa kitu based on his/her credit score au report ambayo ipo inter-connected na mifumo yote ya kifedha. Inshort maelekeo ya PM na uelekeo wa WRRB imekua ni kufanya WRRB iwe ni digitalized and fully simplified to capture our agricultural demographics!
Tunaenda kwenye uelekeo sahihi sana.
Filipino

@thomasjkibwana Bashite akikaa matako, miguu na mdomo vinawasha muda wote.
Huyo MwanaFA atulie
Filipino

@Addy_Adams Unaniambia mimi utafikiri ndio nafanya hio kazi, wakati kuna watu wanafanya hiyo kazi kwa 500 tu ya pombe za kupima.
Indonesia

@TheChanzo Sawa, wajitenge na umma ili wawe kama CCM. Siku tukivamiwa, wajue wao kama wamiliki ndio watahusika
Indonesia













