Imaginator retweetet

Mungu wangu ulie-MBINGUNI, Mtie nguvu mwanao @TunduALissu anateseka sana. Kipofu pekee ndiye haoni kuwa mpango wako juu yake ni mkubwa.
Nani duniani alipona baada ya kumiminiwa risasi 32? Wewe ulijionyesha kupitia yeye na unaendelea kujionyesha.
Mungu wewe ni MKUU sana.
Indonesia

























