Mputa Maseko

2.6K posts

Mputa Maseko banner
Mputa Maseko

Mputa Maseko

@Mputamaseko

Pray For Tanzania 🇹🇿

Beigetreten Aralık 2021
1.8K Folgt981 Follower
Billy
Billy@BillyTronix1·
Kwani hakuna namna tunaweza warudishia Chelsea Madueke? Mbona sisi huku ukimuuzia mtu TV ikazingua anakurudishia
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
29
24
272
7.7K
Olesangka
Olesangka@OleSangka·
Kamishna jenerali wa DCEA ameamua kwenda ulalo ulalo na wauzaji wa madawa ya kulevya aisee mtaani raia wameingia ngijave mbaya hacheki na yoyote, hapokei Wala hatoi ni mwendo wa maelekezo kutoka juu 🔥
Indonesia
26
16
307
21.8K
I AM
I AM@francismtey·
kama unaiamini Taasisi ya NASA nakufananisha na wale watoto wanaotizama Spiderman kwenye TV alafu akailini mwao yule ni mtu halisi🤣 anaeruka ruka kwa utando wa Buibui.
Filipino
30
10
90
10.5K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Biashara za mitandaoni najiona kabisa nimestaafu... Kuna mwanangu nilisoma nae Olevel,.. akawa anapost vifaa vya electronics na jina la biashara ni lake , nikajua ni biashara yao ya familia, kumbe ni winga, hilo sio tatizo, nikamuagiza aniletee Hisense tv, kweli wakafanya delivery ikafika nikalipia fresh, kufika, nimetumia siku moja tu, kesho yake HDMI hazisomi,.. inaniandikia no signal for HDMI,. nikamwambia, wakaja kuichukua tv na warrant,.. kwenda huko mafundi wa hisense wakasema Tv ina matatizo makubwa,.. nikamwambia mchizi, fanyeni mnibadilishie Tv kwa sababu sipo comfortable nayo, wakakataa Tv ikakaa huko week na zaidi, mbaya zaidi huyo mchizi wangu niliyemuamini, yupo busy na mambo mengine hafatilii jambo langu, amemuachia mtu mwingine, wakati kwenye ile biashara nimefanya sababu namuamn yeye!!,.. wanakuja kurudisha tv ile ile na remote wamebadilisha wameleta mbovu,.. yani kiukwel nilijutia kumuamn mwana, na ushkaji wenyewe sikuuona kama una maana tena,.. wanetu, tukiwaamn sio kwamba hatuwezi kwenda kariakoo ila tunaamn kwenye kugawana ridhki , acheni tamaa, fanyeni kazi hiyo inalipa,.. msitufanye tuwalaani,.. 🤝🙏.
Filipino
58
75
371
21.1K
Mputa Maseko
Mputa Maseko@Mputamaseko·
@Hippopotamuc @fintanjr_ Acha tu ikabidi niingie tu gharama mimi maana nina mahusiano nao ya kikazi hao victim ,Fast forward ulitokea mchongo wa kazi na mwanangu ndio kitu kabisa alichosomea na hana kazi mwaka wa 2 sasa na tena angepata pay nzuri sehemu safi 4M amekosa kisa ganji ya laki !
Indonesia
1
0
1
109
Abikerae
Abikerae@abikerae·
@ibn_wittig Not me checking out jobs right now on NASA and I don’t see anything humbling in these requirements. Here are some of the requirements for an Aerospace Engineer, AST, Research Pilot
Abikerae tweet mediaAbikerae tweet mediaAbikerae tweet media
English
1
0
2
270
Wittig Lyon
Wittig Lyon@ibn_wittig·
The level of education required to work at NASA is humbling.
English
255
2.4K
45.1K
1.7M
Mputa Maseko
Mputa Maseko@Mputamaseko·
@gabyconscious Mwalimu wangu wa Shule Sec alikua anatuhusia hii misemo miwili 4 years straight 1.You can't grow beyond your exposure 2.Education is nothing than exposure Nikichukua Sample Size asee naanza kumuelewa.
Filipino
1
1
1
280
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Ooh uwezi ajiriwa na ukawa Tajiri, mnawajua wafanyakazi wa TPA na TRA kweli?.
Indonesia
43
15
493
42.5K
Hater Central
Hater Central@TheHateCentral·
Kylian Mbappe vs Real Madrid Did the Thinkable. 💎
English
350
4.2K
43.3K
1.1M
Mehrab
Mehrab@Khamis95Jr·
@Mputamaseko @BillyTronix1 Tena years years and alot of sabotages wanafanyiwa lkn they have achieved something special 🙌
English
1
0
1
17
Mputa Maseko
Mputa Maseko@Mputamaseko·
@lin4330 @Sirajitz1 Kozi za Afya na Nyumbani hakuna hela uende diploma kusoma degree utasoma Mbinguni.
Indonesia
1
0
0
19
looney
looney@lin4330·
@Sirajitz1 Inategemea anatk asome nini baadae kama anatak kusoma coz za engineering au afya mwambie akimbie kusoma diploma apige hela mapem Ila Kam ni coz za art mwambie tu aende advance anaaja yakuuwai ujobless
Indonesia
2
0
9
428
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Hivi kati ya 1. Kusoma Advance 2. Kusoma Diploma Ipi unashauri kijana akasome kabla ya kusoma Degree? Na kwanini?
Filipino
42
31
186
12.4K
SAM | Instagram Guru
SAM | Instagram Guru@samsonmbembela·
Ni ujuzi gani kutoka kwenye kozi yako unaweza kukuingizia pesa kweli?
Indonesia
9
3
45
1.9K
Mputa Maseko
Mputa Maseko@Mputamaseko·
@3dmabango @Sirajitz1 Vijiwe vingi hiyo hela inatumika kama mfuko wa kikundi 1.kukopesha mwanachama 2.Mwanachama anaweza paya matatizo kama Msiba ,Polisi na hata ajali kuna share itatoka kumsaidia mwanachama. 3.Mwanachama anaweza kuwa na tafrija mf. Harusi mfuko utamchangia.
Indonesia
0
0
0
84
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Kumbe vijiwe vya Bodaboda Kuna kiingilio kabla ujawa mwanachama wao..? Kuna sehemu nimepita nikaongea na Mwenyekiti wao anasema Ili uwe mwanachama wao kiingilio ni shilingi laki 3 nikashangaa akasema "unashangaa nini kijana wakati pale magufuli stand ni laki 8..🙌🏿
Indonesia
28
22
131
14.2K
Mputa Maseko retweetet
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Chagua kitu kimoja unakiwaza daily ukipate. → Kazi →Popularity → Product →Kuretire →Pisi kali Nenda Agressive →Apply →Create →Build io product →Onyesha move Ikiisha week jiangalie →Kaa chini jiambie sahi “SISUBIRI” niko sehemu ya MCHAKATO
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
Indonesia
5
36
119
2.4K