IMANI 🇹🇿

17K posts

IMANI 🇹🇿 banner
IMANI 🇹🇿

IMANI 🇹🇿

@Imani_js

Tanzania Katılım Ağustos 2020
949 Takip Edilen1K Takipçiler
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Kwa sasa tumebaki na hawa 1. Tundu lissu 2. Jonh heche 3. Mdude nayangali 4. Deus soka 5. Tito magoti na 6. Lema kwa mbali 🫡🫡
Filipino
38
25
258
8.7K
IMANI 🇹🇿 retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Habari za Asubuhi JANJA wa Timber… Kulikua na haja gani ya kunitukana na kuniMention kwenye mambo yenu?? Mbona nlisha KuBLOCK kila mtu afanye mambo yake? Jana nlikua Safarini nlichoka saana,sikupata muda wa kukujibu on time! Aahh nmesahau nlikua nasafiri na ndege ya kuunganisha Bukoba-mwanza alafu Dar… Ila saa hizi muda ninao wa kutosha nkasema nianze Na hili kabla sijasahau! Iko hivi, kwanza kabisaa Naomba Mnisamehe kama nliwakwaza nlikosea saana mimi naomba yaishe 🙏🏽 Ila hata nkiishia hapo kwenye msamaha najua uta QUOTE Na matusi yako kama kawaida,Maana akili zako kidogo bangi iliharibu😅 BADO mimi ntasimama kwa maneno yangu nlioyasema kipindi kile Na hii Post yako imekuja KU Confirm my Points vividly! Siku zote mimi huwa nasema kinacho tuponza sisi waTanzania ni UBINAFSI na UMIMI… Kwanza kabisa HONGERENI saana kwa ushindi huu mnono ma milionea tunazidi kuongezeka jambo zuri saana - 13m sio hela ndogo mtaji kabisaa huu.. Ila swali la msingi la kujiuliza 13m at WHAT COST??? Hebu turudi nyuma kidogo labda utanielewa vizuri- Kipindi bwana mdogo katekwa- watu wote tuliStopisha mambo yetu ya kila siku, tukawa tunashinda SPACE humu hadi tukaunda na chama cha vijana wa X ,kupush #FreeSativa hadi ikafikia hatua kuwaBlock wale wote waliokua wanaPush # tofauti na hio wakiwemo mboga mboga… Baada ya Sativa kupatikana kila mtu alisikitika saana kutokana na yale mazingira - Nchi nzima magazeti,vyombo vya habari vyote ikawa habari ni SATIVA hadi vyombo vya kimataifa ikiwemo BBC ilireport- hadi watetezi wa haki za binadamu waliingilia kati- That was a Golden Opportunity ya kupata #JusticeForSativa … hadi serikali tuliwabana vizur saana! Na tulitaka SATIVA ndio awe kijana wa mwisho kutekwa- jambo hilo lisiwahi tokea tena! Lakini Ghafla mtu ambae dunia nzima inasubir atoe Tamko anaanza kupost mikeka😅 it was a big disappointment! Na hapo ndipo kupata haki kulipo potea hadi leo hii! Alafu unakuja kutuambia, tulipoteza jambo la msingi kama hili kisa milion 13??? Laiti tungebaki kwenye mstari Na kuwabana vile kwa UMOJA ule… leo hii hatungekuwa tunaongea habari za akina SOKA Na wengineo KUTEKWA tena… Vijana wanaendelea kutekwa kwa sababu ya 13m what a JOKE! Sisi ambao kidogo tulikua tunakutana Na wabunge/mawaziri kipindi hicho tunafaham ni jinsi gani tulikua tumewakamata pabaya serikali Na walikua wanakiri. Kama unakumbuka kipindi kile nliwauliza kama ni hela ndio tatizo semeni tujichangishe tena! Au mliona kipindi kile kwa kua ana viewers wengi mtumie huo mwanya kupush mambo yenu? Kwa hio mlitutumia? Then you are an opportunistic. Laiti kama mngeliweka wazi hili toka mwanzo- tungetumia account nyingine Au hata ya kwako na labda angekuwa namba moja africa nzima! Mbona kipindi ametekwa wewe JANJA. Haukua unapost mikeka?? Maana shindano lilikua bado linaendelea? Maana ulikua unatupatia update kila siku ya kinachoendelea hadi muda mwingine ulikua unapost umezunguka vituo vya polisi hadi umeishiwa nauli ya Bolt- alafu leo unakuja kutamba online jinsi mna mamilion kwenye account 😅 kwa hio kipindi kile ulikua unatudanganya-ulitaka Huruma?? Huu kama sio Utapeli ni nn? Anyway- tumewaelewa from your Post mlifaham mnachokifanya sio sawa kutoa watu kwenye Reli Ila mliona kwa wakati huo HELA kwanza.. Sasa kuanzia leo, Hamna morale authority ya kuwakemea wa push hashTag, Maana na wenyewe wanapata pesa! Kuanzia leo hamna morale authority ya kumkemea spika wabunge na wabunge ambao wameshindwa kuongea maswala ya UTEKAJI bungeni Maana na wenyewe wana linda Kibarua chao… Kuanzia leo hamna morale authority ya kumsema Shangaz Fatma kukataa kumuita huyu raisi Evil wakati hayati alimuita hivyo… KARIBUNI MNIPIKE- muda leo ninao wa kutosha kabisaaa😅
Indonesia
191
118
599
52.9K
IMANI 🇹🇿 retweetledi
Salim Alkhasas
Salim Alkhasas@salim_alkhasas·
Freeedom is not freeeeeee… asante kwa Vunja bei 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
English
18
32
165
8.1K
IMANI 🇹🇿 retweetledi
Reuters
Reuters@Reuters·
Africa's richest man Aliko Dangote offered to lead the construction of an oil refinery in Tanzania, with plans modeled on Nigeria's Dangote reut.rs/4mOKZjx
English
37
551
1.7K
117.1K
Koku Shekya🇹🇿
Koku Shekya🇹🇿@koku_shekya·
Helicopter 🚁 tour 15 minutes Laki 4 🙂‍↕️🙂‍↕️ jamani bora kwenda Bali camp ⛺️ sasa
Filipino
21
18
291
15.7K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Watu wanaweza chukulia utani Hadi siku yakukute, shuka na huu mkasa wa jamaa angu aliyempiga manzi ake alafu Asubuhi akampeleka Hospital 😂 Uzi mfupi. 🧵 Jamaa angu mmoja bhana alikuwa na demu wake mkali sana nilimuona mara ya kwanza alivyokuja..
Bony 📚@bonifacejoseph_

Zamani nilikuwa nadhani Wanaume wanaopiga wapenzi wao au wake zao basi ni wajinga kichwani. Lakini wanawake wengi ni wapumbavu sana kichwani, sometimes they deserve it

Indonesia
16
9
174
24K
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu·
Una sababu gani za msingi za kutokula nyoka/mbwa/Simba/paka? Sababu ambayo ukisema unaonekana upo timamu na unatumia akili zako kama inavyotakiwa.
Filipino
120
58
711
55.6K
Dr. Ranya
Dr. Ranya@MayengoDr·
I am honored to be recognized —at least for the 1st time in my career— among Tanzania’s Top Scientists. Ranked #871 nationally, this milestone is a reflection of a continuous journey in research, learning, and contributing to knowledge that shapes our society
Dr. Ranya tweet media
English
18
13
57
6.1K
IMANI 🇹🇿
IMANI 🇹🇿@Imani_js·
@MayengoDr Huu ukaribisho ni balaa kwakweli, sema nitapambana Daktari. 😅
Indonesia
1
0
1
27
Dr. Ranya
Dr. Ranya@MayengoDr·
@Imani_js Hapa hauji kuchukua, ni kupambana 😀😀
Indonesia
1
0
0
50
Centipede
Centipede@ADUII_007·
Ivi mbona maafisa wa Maliasili wanayo pesa chafu hivyo
Indonesia
1
0
0
43
Mputa Maseko
Mputa Maseko@Mputamaseko·
@chapo255 Kweli kuna taasisi intern anafika 4M+ Kwa Mwezi.
Indonesia
1
0
2
252