
@kibaha_finest Na mwanae anamkingia kifuan et huyu sio mwanaharakat Kwan wasanii walikua wanaharakati?, in short michezo ni mingi umu unafiki,njaa na utapeli hamn harakt umu
Indonesia
looney
740 posts




#TajiriLaKihaya WANAHARAKATI UCHWARA…. Walituaminisha kwamba Tuachane na Wana CCM na Products zao… Hadi kutulazimisha Tuwa BLOCK Wana ccm mtandaoni… kuachana na Ushabiki wa mpira wa SIMBA/YANGA…. Ila Kuanzia leo kuendelea hao hao ndio Watakuwa wanaPromote VUNJABEI BETTING! Ikumbukwe VunjaBei ni CCM lia lia… amechanga hela kibao tu kwenye kampeni na hata juzi tu alikua anawania UBUNGE kabla ya kukatwa 😅 NJAA na MSIMAMO havikai meza moja 😂🙌🏽





