Angehefteter Tweet

Wewe ni Dingi wa ukweli?
Kuna mchongo wako wa Tsh 200,000 kutoka CRDB ambayo itaingizwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mwanao ya Junior Jumbo kwenye mwezi huu ambao tunasherekea Siku ya Mtoto wa Afrika na Siku ya kina baba duniani.
*Unachotakiwa kufanya*
1. Follow page ya CRDB @crdbbankplc
2. Post picha kwenye page yako ukiwa na mwanao ikiwa na hashtag #dingiwacrdb kisha elezea kwenye caption umuhimu wa Mtoto wa Afrika kuwa na akaunti ya Junior Jumbo.
*Vigezo na Masharti*
1. Watu 🔟 wenye post zenye caption nzuri ndio wataibuka washindi endapo kama watoto wao watakuwa na akaunti za Junior Jumbo zilizofunguliwa kabla ya Juni 16, 2024 na zenye akiba si chini ya Tsh 50,000/= (Jaza tukujazie zaidi😆)
2. Mwisho wa kushiriki ni Jumapili Juni 16, 2024 na washindi kutangazwa Juni 17, 2024.
Kila la kheri Dingi 😁
#dingiwacrdb
#crdbbank
#tunakusikiliza




Indonesia
























