clementc

33.6K posts

clementc banner
clementc

clementc

@cycleclement

Be yourself and keep it simple

Beigetreten Eylül 2021
4.6K Folgt5.8K Follower
clementc retweetet
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Good morning, SC Tundu Lissu. Good day, compatriots! I speak for humanity in calling for Tundu Lissu’s release from jail. His nearly year-long, unjust incarceration is deeply troubling. It is imperative that he be released effective immediately. Aluta continua.
Tito Magoti tweet media
English
4
52
160
926
clementc retweetet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Mauaji ya #MO29 yalipangwa na kutekelezwa na vyombo vya dola na walipanga tokea zamani! Tukumbuke walianza kuua na kupiga risasi tokea mchana ila wananchi walikataa kurudi nyuma - ndo wakaamua watangaze KINYUME na sheria curfew na waue mtaani yeyote watakayemkuta na hadi majumbani! Tuna ushahidi na mashahidi! Litume lao likija na ripoti tofauti tunao! Mafaili yapo na tushawasilisha kimataifa! Hakuna maridhiano bila wauaji WOTE kuwajibishwa #SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #TutaelewanaTu
Indonesia
13
99
259
8.7K
clementc retweetet
Mbishi ⚖
Mbishi ⚖@bizy94·
Heartbreaking 💔 kuwaona watoto wakitetemeka kwa baridi, wakiwa na njaa wakati wengine wanapiga picha kwa likes na views! 😭🔥 Yule aliyerekodi video? Mshenzi kabisa!Alichukua video badala ya kuwasaidia au kuwataarifu maafisa ni unyanyasaji wa watoto! Wale wazazi au walimu wanaosimamia chakula ni Wanyama! Watoto wanahitaji ulinzi🇰🇪💔 #HakiKwaWatotoKenya #AcheniUnyonyajiWatoto
Indonesia
0
1
3
66
clementc
clementc@cycleclement·
Muumba wetu mwingi wa baraka na neema tele akulinde na akuepushe na waovu na wabaya wote duniani. Akujalie AFYA Njema na maisha marefu. HAPPY BIRTHDAY kaka Mshabaha @lifeofmshaba 🌹🌹🌹🥂🥂🥂❤.
Indonesia
0
0
0
8
clementc retweetet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Happy birthday brother @lifeofmshaba Mwenyezi Mungu akulinde na kukujali afya njema, mafanikio makubwa na furaha tele Keep the fire burning 🔥 and more power to you 💪🏽
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
14
50
281
3.1K
clementc retweetet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️EXTRAJUDICIAL KILLINGS CONTINUE IN #Tanzania ‼️ This young man was killed while handcuffed by community police! After wide publicity @SuluhuSamia govt is pretending to care But these are the same thugs who were part of the killing machinery of #TanzaniaMassacre last year! It is a tip of the iceberg Yaani hii kesi moja - hawa wauaji hawatafanywa kitu maana walisaidia kuua ili Bi Msumi atutawale kimabavu! Nchi inanuka damu na dhulma! Bila kuamka hali itazidi kuwa mbaya Sina cha kuongeza #TutaelewanaTu lakini!
English
8
46
145
2.9K
clementc
clementc@cycleclement·
@ForsonN34 I take you do not have a driving license, and perhaps you have just started your driving lesson, at best✌.
English
0
0
0
2
Bobo
Bobo@ForsonN34·
Which car should go first ??
Bobo tweet media
English
1
0
5
77
clementc retweetet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Happy birthday in heaven Super Daddy You are missed but always in our hearts ❤️
Maria Sarungi Tsehai tweet media
English
22
60
675
6.9K
clementc retweetet
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
MAWAKILI WA CHADEMA WAKIWASILI DODOMA KUTETEA CHAMA CHAO: Ni haki kwa mlalamikaji yeyote kutafuta haki yake mahakamani ila historia inaonesha matumizi ya mifumo ya mahakama kutatua migogoro ya vyama vya siasa hayajaonesha mafanikio ya kudumu barani Afrika. Mfano mashuhuri ni ANC iliyopigwa marufuku mwaka 1960 na Makaburu, ikalazimika kufanya shughuli zake kwa siri, takriban miaka 32 viongozi wake wakifungwa au kukaa uhamishoni. Matokeo ANC ikajijengea uhalali mkubwa ndani na nje ya nchi na hatimaye, Mfumo wa ubaguzi ulipoanguka, ANC iliibuka ikiwa na nguvu zaidi na kushinda uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia mwaka 1994 chini ya uongozi wa Nelson Mandela. Jaribio la kukiondoa chama hicho kupitia sheria liliishia kukiimarisha. Pili ni Senegal, chama cha PASTEF kilipigwa marufuku mwaka 2023. Hatua hiyo ilichochea hisia za wananchi dhidi ya kile kilichoonekana kama ukandamizaji wa kisiasa, na mwaka mmoja tu baadaye, 2024, viongozi wanaohusishwa na chama hicho walishinda urais. Tukio hili linaonyesha jinsi hatua za kisheria zinavyoweza kubadili chama cha upinzani kuwa alama ya mapambano ya kisiasa. Tatu, Gambia, wakati wa utawala wa Yahya Jammeh, vyama vya upinzani vilikumbana na vizuizi vikali, ikiwa ni pamoja na kupigwa marufuku. Hata hivyo, vyama hivyo vilijipanga upya, vikaungana, na hatimaye kushinda uchaguzi wa mwaka 2016. Hivyo basi, ukandamizaji haukuondoa nguvu zao bali uliwafanya wawe na mshikamano zaidi. Tanzania tunatambuliwa kuvisaidia vyama vya ukombozi wa Afrika hadi uhuru wao, huku vikiwa vimepigwa marufuku na tawala za kikoloni ikiwemo: ZANU-PF ya Zimbabwe, MPLA ya Angola, na FRELIMO ya Msumbiji. Matumizi ya mahakama katika ushindani wa kisiasa hakulipi. USHAURI WANGU TUJISAHIHISHE NDANI NA NJE YA VYAMA VYETU kushindania uongozi bora hasa wakati huu tunapohitaji MARIDHIANO na MSHIKAMANO ili kulileta taifa letu Pamoja.
Anna Tibaijuka tweet media
Indonesia
66
246
842
25.9K
clementc retweetet
Joyce Evaristi
Joyce Evaristi@JoyceHuru·
Kwa majirani sala zao zinakaribia kujibiwa!
Joyce Evaristi tweet media
Indonesia
10
10
199
17.8K
clementc retweetet
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Father ameongea vizuri sana, Kuna ujinga uliingia serikalini na watu wamefundishwa sana huu upuuzi Unapofanya kiapo ni kwa mujibu wa katiba kwa maslahi ya nchini Ukiingia kwenye ofisi kisha ukaanza ambiwa mambo mengine mengi ya kuvunja sheria, ina maana hiyo ofisi inafanya uharifu na uwajibikaji ni lazima hata kama ni Bi Msumi Kwenye kufanya uharifu kinyume na katiba moja kwa moja kiapo chako hakifanyikazi kwenye hizo siri maana umeapa kulinda katiba na sheria, watu wanapouwawa ana kutekwa hakuna sheria inaruhusu upuuzi wa aina hiyo, moja kwa moa unakuwa unashiriki uharifu na unakuwa mshenzi kama wao hapo hakuna siri unafanya unachofanya ni uovu kufanya uovu wenyewe, ni kinyume na imani yako yoyote ile uliyonayo na kinyume na sheria zetu zote
Indonesia
4
32
117
3.9K
clementc retweetet
Dr Lwaitama
Dr Lwaitama@lwaitama1·
“Kumshika Tundu Lissu ukamweka kizuizini bila kosa ni hatari kama vile kusafiri na Mwili wa Osama bin laden akiwa ameuwawa na unakatiza Yemen 🇾🇪” I like the sentence
Dr Lwaitama tweet media
2
39
151
4.3K
Unkonfined
Unkonfined@unkonfined·
Stop unfollowing people after they follow you back!
English
1.1K
509
1.9K
66K