@eaglethought

78 posts

@eaglethought

@eaglethought

@eaglethought

Being positive

Beigetreten Mayıs 2019
10 Folgt5 Follower
@eaglethought
@eaglethought@eaglethought·
@am_gudie @Dr_DGwajima Uwepo wake kaka nj uponyaji tosha nataman ujue kias gan ana utu, kujihusisha kwake na mamb ya jamaii , waziri pekee aliyeruhusu kumtafuta akatoa mpaka no ya somu , umuelekeze shid sehemu fulan atatafuta ufumbuz bil kukuuliz wewe ni nani. Kiongoz wa pekee sana hana mamb ya kuvimba
Indonesia
0
0
0
12
@eaglethought
@eaglethought@eaglethought·
Hongera @Dr_DGwajima kwa kuteuliwa tena kuwa Waziri wa maendeleo ya jamii jinsia, wanawake na makundi maalumu. Binafsi wew ni icon ya uongozi umefanya wadau wako wakujue haraka na wakufikie pale kweny uhitaji. Ubarikiwe🙏🏾
@eaglethought tweet media
Indonesia
10
3
86
6.7K
G.O.
G.O.@NgukuOG·
@eaglethought @Dr_DGwajima Whoever accepted such postions supported the kilings!!! the blood of the innocent will hunt them and their children, ... The Creator is oir witness!!!
English
1
0
0
72
@eaglethought
@eaglethought@eaglethought·
@am_gudie @Dr_DGwajima Tumpongeze ni faraja kwa wizara yake kama unachangamoto wasilisha atakusikiliza mbona muelewa sana, kwa nn nimempongeza yeye? Hajawai kuchelewa kweny kukemea wala kushughulikia tatiz pale linapomfikia na aangalii nani nampa suala la kulitatua atafanya awezavyo iwe ushauri n.k
Indonesia
1
0
0
46
@eaglethought
@eaglethought@eaglethought·
@English_snow2 @Dr_DGwajima You’re still replying to an insane? Maybe you’re also looking for food in a madman’s house , I hope you enjoy eating the filth you find there, because that place is clearly not meant for someone like you.
English
0
0
0
9
Chelsea
Chelsea@English_snow2·
@eaglethought @Dr_DGwajima Am not here to applauds any forms of #Ccm tandem with rigid elections as results of murderous citizens for her to stand on minister! Am wondering how fool you are to have joy on this elections!🚮 Such insane youth! And savage one!🚮😠
English
1
0
0
10
People's🕯️
People's🕯️@am_gudie·
@eaglethought @Dr_DGwajima Kingereza vingi nimecomment Kiswahili, anyway angekua ni muungwana na mwenye ubinadamu kwanza angekua wa mfano kukataa ubunge wa damu za watanganyika kabla hajakubali kuwa waziri na kuapa kufanya kazi chini ya katiba ikiwa watu wamekufa kama wanyama wakipinga uchaguzi batili
Indonesia
1
0
1
61
@eaglethought
@eaglethought@eaglethought·
@am_gudie @Dr_DGwajima She is fantastic and full of humanity in her role. It may take a while to realise that she is not only a minister, but also a mother who cares deeply about families. Mothers feed their children with whatever they can afford. Please read the last paragraph carefully.
English
2
0
1
371
People's🕯️
People's🕯️@am_gudie·
@Dr_DGwajima @eaglethought Unafirahia teuzi zenye damu za watoto wa kitanganyika kama ulionao wewe, hongera sana Mungu akupe nguvu na miaka mingi uendelee kushuhudia teuzi nyingi zenye damu za wazalendo watanganyika 🙏
Indonesia
1
0
4
427
@eaglethought
@eaglethought@eaglethought·
@English_snow2 @Dr_DGwajima She is fantastic and full of humanity in her role. It may take a while to realise that she is not only a minister, but also a mother who cares deeply about families. Mothers feed their children with whatever they can afford. Please read the last paragraph carefully.
English
1
0
1
100
Chelsea
Chelsea@English_snow2·
@eaglethought @Dr_DGwajima Uyu atumtambui wala kutamua serikali hii ya #Damu. @Dr_DGwajima acha ushamba wa V8 toka uko before #D9 maandamano utajuta kufurai dam za watanganyika zilizomwagwa ety uwe waziri wake. #D9 inchi nzima inatoka itakua msako kwenu wabunge wote na madiwan wote
Indonesia
1
0
2
131
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Leo nilikuwa bize na kuweka ushahidi zaidi sawa nikakuta hii picha ya “mwanajeshi wa Marekani” na hand grenades za tear gas alafu zimebandikwa sticker zenye rangi ya bendera ya Chadema 🙄 Like how stupid are these people?? Mwachieni mkaka wa watu - this is clearly a very childish set up 🚮 Nyie suburini #D9 - msiweweseke! #SamiaMustGo #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
118
172
987
123.5K
Getrude Mollel 🇹🇿
Getrude Mollel 🇹🇿@Getrude_mollel·
🚨Hizi ndio Ph.D zao ukitaka kujua kwamba hii ni michongo tu. • Fr. Laurenti Magesa — PhD in Theology • Fr. Charles Nyamiti — PhD in Systematic Theology • Fr. Wolfgang Pisa — PhD in Social Ethics • Fr. Gerald Kimario — PhD in Moral Theology • Fr. Ewald Kilasara — PhD in Gender Studies / Social Sciences Hukuti Ph.D ya Ai, Microbiology, Engineering. 🤣🤣 Hizi sio mtu yeyote akitaka anapata anytime tu..🤣🤣
Getrude Mollel 🇹🇿 tweet media
313
20
392
84.1K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Tangu nitoke mahabusu ya polisi leo ni siku ya 6 line yangu @VodacomTanzania haifanyi kazi.. Hakuna simu inayoingia wala mimi siwezi kupiga simu ikatoka, hata namba 100 ya huduma kwa wateja haitoki: Nimekuja Voda shop kujua na wao wanasema hawaoni shida au nisubiri masaa 24. Kuna uwezekano mkubwa yakawa yale ya ndugu yetu Erick. Voda ni muhimu mkaniambia kuna tatizo gani. Nimeweka kwenye public ili kila mtu ajue.
Indonesia
282
710
3.7K
142.7K
@eaglethought
@eaglethought@eaglethought·
@airtel_tanzania kwa nin mnakata pesa ambazo sio zetu kwa watumiaji wa kamilisha? Mteja amekopa 4000 den analipa ikiingia pesa bado mnakata, mteja aliwah outumia huduma amelip mnamuwekea den la laki 2 na point ikiwa kiwango chake cha kukopa hakifiki tuwaeleww vip?
Indonesia
0
0
0
16
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Kusema kweli mimi naona kama niendelee tu umbea wangu na niachane na siasa kwa asilimia 100 maana hii issue ya Lissu kila nikiifatilia najikuta naumia tu nakosa hata mood ya kufanya chochote. Seriously naumia mnooo. . Naumia sio tu kwa ajili ya anachopitia Lissu ila naumia kwa upuuzi na uwoga wa Watanzania. Leo ndo ilikuwa siku yenu ya kwenda Kisutu na kukiwasha instead mmeacha watu wachache ndo waende Kisutu wapigwe na polisi na kuumizwa. Hivi mnadhani hata Watanzania elfu 10 tu mnngefika Kisutu polisi wangewamudu wale??? Polisi wangeweza kupiga watu elfu 10 au elfu 20? Wangeweza kukamata watu elfu 20 na kuwatia ndani? Mngewashinda in 2 mins ila instead mmekalisha mikun** yenu mnaangalia kwenye mitandao kilichotokea mnaweka comment kwenye posts kulalamika. Hivyo vi comment vinasaidia nini? Matusi mnayomtukana hiko kimama kiuwaji kwenye mitandao mnadhani yanasaidia nini? Mnadhani CCM wanajali comments na matusi ya mitandaoni? They don’t care. Hawahitaji kura zenu wala nini maana tayari system yao ushindi wanao tayari, wanachohitaji kwenu ni kodi zenu that’s it. . . Hivi mtanyanyaswa ma CCM mpaka lini maboya nyie??? . Haki acha niendelee zangu na umbea niangalie maisha yangu, na sio kuendelea kuharibu biashara yangu kwa kuitukana serikali na huku wananchi wenyewe wangese hivi. I hope Lissu nae kama atatoka huko, akitoka aachane na siasa. Mkafilie mbali huko mbwa nyie. Mtawaliwe ma CCM vizazi vyenu vyote. Mnatia hasira mnooo. Watu wanajiingiza kwenye matatizo makubwa kwa ajili yenu ila nyie mmekaaa tu kwenye mitandao mnaweka comment badala leo mngeenda kupambana Kisutu. Wengine hapa tumepoteza almost 50% ya biashara zetu sababu ya kuwapambanania, Lissu amepata kilema cha maisha sababu ya kuwapambania, leo anakesi ya kunyongwa ila nyie mko tu kwenye mitandao mnaweka vicomment vya kisenge badala muende Kisutu. Mamae zenu.. . Hao polisi wenyewe mnadhani wanapenda kuwapigania CCm hivyo? Polisi wenyewe wanatamani muwa overwhlem ili wapate sababu kwanini waliwashindwa? Sasa hivi watajitetea nini kazini? Watasema walishindwa kuwamudu wananchi 100 tu pale Kisutu. Polisi wenyewe wanamaisha magumu zaidi yenu?z wameichoka CCM kama nyinyi ila wafanyanye ?
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Filipino
551
445
3.3K
351.9K
@eaglethought
@eaglethought@eaglethought·
@mangekimambi Ooh watanzania waoga ooh wazembe mlifanya nini mlipokuwa Tanzania? Kuonyesha kias gani ni waoga nyie ndio mlikuwa wa kwanz kukimbia nchi yenu sasa nani mzalendo kati ya sisi waoga na nyie waoga haswa? Unaogopa kufa alaf unamwambia mwenzako onja sumu haiui hy ni sukari😄 wajinga
Indonesia
0
1
2
644
Kante
Kante@MkulimaKante·
@ajirapsrs Kwenye hili mmejitahidi hongereni sana Hii itawasaidia ndugu zangu wa Inyalikungu kuwaondolea usumbufu wa kutoka Inyalikungu hadi Dodoma kufuata barua. Jambo la muhimu watu waitwe kazini mapema lakini pia marks za oral ziwekwe wazi ili watu wasiishi kwa matumaini yasiyojulikana
Indonesia
2
0
27
3.1K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Serengeti imepata mwali mwingine! And this time, it’s not just any lodge—ni moja ya lodge bora kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya utalii barani Afrika! If you’ve ever dreamt of the luxury experience ya Ibiza au Hawaii—guess what? You don’t have to fly far. Thread:👇
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
English
61
113
1.4K
221.7K