
@am_gudie @Dr_DGwajima Uwepo wake kaka nj uponyaji tosha nataman ujue kias gan ana utu, kujihusisha kwake na mamb ya jamaii , waziri pekee aliyeruhusu kumtafuta akatoa mpaka no ya somu , umuelekeze shid sehemu fulan atatafuta ufumbuz bil kukuuliz wewe ni nani. Kiongoz wa pekee sana hana mamb ya kuvimba
Indonesia



















