Angehefteter Tweet
๐๐ ๐๐๐๐๐๐โข
1K posts

๐๐ ๐๐๐๐๐๐โข
@kanielou_tis
๐ฌ Medical Laboratory Professional ๐งช Health & Science Educator ๐ Accurate Tests. Better Health.
Beigetreten Eylรผl 2025
380 Folgt254 Follower
๐๐ ๐๐๐๐๐๐โข retweetet

@kanielou_tis @EsirEid Thanks kipenzi changu
English
๐๐ ๐๐๐๐๐๐โข retweetet

Leo ni birthday ya Mama Ryanโค๏ธ
Ila kwa mara ya kwanza, naomba nisiambiwe "Happy Birthday" Sijisikii kusherehekea chochote
Badala yake, niombeeni dua, dua nyingi na kwa wingi
Kiukweli kuna mapambano ambayo nimeyabeba kimya kiasi kwamba hata tabasamu langu kuna muda limekuwa sehemu ya kuficha maumivu. Kuna usiku ambao nimekesha nikimwomba Mwenyezi Mungu anipe sababu ya kuendelea, na kuna siku ambazo nimecheka mbele za watu huku moyo wangu ukiwa umechoka kupita maelezo
Sijui mwaka huu utaniletea nini ila ninachojua ni kwamba nimefika hapa kwa rehema za M/Mungu na si kwa sababu nilikuwa na nguvu kuliko matatizo yangu ila ni kwa kuwa alinipa ujasiri
Kama umewahi kunitakia mema, leo usinipe salamu za birthday bali nipe dua na uniombee kheri
M/Mungu aniondolee yale yanayoniumiza kimya kimya, anifungulie milango ya kheri, anipe utulivu wa moyo, na aniandikie maisha yenye baraka kuliko niliyowahi kuyaota.
Wakati mwingine dua moja ya kweli kutoka kwa mtu usiyemtegemea inaweza kubadili maisha kuliko maneno elfu ya pongezi.
Allah anijaalie umri huu mpya uwe mwanzo wa faraja baada ya maumivu, mwanga baada ya giza, na urahisi baada ya kila ugumu.
Aamiin ๐คฒ๐ฝ
Filipino

@Rosemary_255 @BMushison ๐คฃ๐คฃanadhani ni wote wamefanywa mfano
Polski
๐๐ ๐๐๐๐๐๐โข retweetet

@prossoff Nadhani ni week ya pili sasa ama moja na nusu tokea wameanza.
Nimekujibu mana hupendi kupuuzwa mshua๐๐
Indonesia
๐๐ ๐๐๐๐๐๐โข retweetet

@luobastard @Weyne_west Nakubaliana
Indonesia

Bro to bro: let's connect below here ๐
ONYEKA V โข@Sironyeka
Bro to Bro: Please Build Your X Account ๐ Just Say "Hi" and Gain 1,500+ Mutuals Below ๐๐ฝ
English










