Kirahi
36.6K posts

Kirahi
@kirahiJS
Anonymous Patriot | Private Citizen | The Guardian Angel | Prophetic Social Engineer |
Tanzania Beigetreten Nisan 2011
6.8K Folgt6.9K Follower
Angehefteter Tweet
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet

Yaani NI kama sasa hivi uwarudie watu walioishi mwaka 1500 kuhusu simu, uwaambie unaweza piga simu ukiwa Tz unaongea na mtu wa China
Hawataamini kabisaaa 😅😅
888@444holywitch
Nawe unaamini kuna mtu alikuwa na wake 700-1000 sio? Unaamini kuwa bahari ya shamu ikagawanyika kati watu wakapita afu ikajirudi😂. Kwamba mtu akamezwa na samaki akakaa zake siku tatu huko kisha akatapikwa akiwa hai😁. Kwamba mbinguni ni huko angani sio😂
Indonesia

@erickbyabato7 @EduTalkTz @HazimoMbongo Kinachikusumbua ni shule anaposema muda wa kuishi umeongezeka hazungumzi mtu mmojammoja anazungumzia wastani
Suomi

Kwa maelfu ya miaka tuliyoishi hapa duniani wanadamu tulishindwa kufanya chochote cha maana zaidi ya kubishana na kuuana kumpigania Mungu.
Fikra za udadisi zikazimwa, watu wakalazimishwa kuamini story za Mungu pasipo kuhoji. Theolojia ikawa mawazo pekee yasiyopingwa kwa hofu ya Mungu.
Tukaendelea kuuawa kwa magonjwa, majanga, na kuishi maisha duni ya tabu na mateso kwa sababu tu ya fikra mgando.
Tuliishi maisha ya tabu na mateso makubwa kwa miaka kibao yote kwa sababu ya kukaririshwa story za Mungu na kulazimishwa kuziamini.
Leo miaka michahe tu baada ya scientific revolution, binadamu anafanya mambo makubwa kuliko kawaida.
Tunatibu magonjwa, tumeongeza umri wa kuishi, tumepunguza umaskini, tumepunguza vita na ushenzi wa kuuana, tunawasiliana kwa simu, tunabrowse mitandao, tunasafiri kwa ndege, treni, na magari ya kisasa, tunatabiri hali ya hewa, tunatuma vyombo kwenye anga za mbali, na mengine kibao.
Story za Mungu na ubabe wa Kanisa vimetuchelewesha sana, leo tungekuwa mbali mara dufu.
Indonesia
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet

Psychologists wamewahi Ku Prove kuwa
Mwanadamu hawezi Fikisha
Taarifa kama zilivyo kutoka
kwenye Original Source...
kwasababu anapozipokea
Hisia zake na namna anavyofiri
yeye hutumika kubadilisha kipande
cha taarifa aliyoipokea...
"Humans Do Not Act Like
Video Recorders;Instead, They
Filter, Delete, And Distort Information"
Emu Imagine...
Biblia imekuwa ikiwa Copied,
Tafsiriwa na ku editiwa kwa Lugha
mbali mbali kwa zaidi ya miaka 1500
mmmh... Unauhakika Gani
Mungu uliambiwa ndani yake Ndiye sahihi?
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Indonesia
Kirahi retweetet
Kirahi retweetet












