Maxence M. Melo retweetet
Maxence M. Melo
1.5K posts

Maxence M. Melo
@macdemelo
Executive Director - JamiiAfrica | International Press Freedom Awardee | Digital Innovator
Dar es Salaam Beigetreten Kasım 2010
2.7K Folgt43.9K Follower

@ikariiah Ubora wa space ni lugha , napendekeza lugha itumike kiswahili hapa coz were so many different peolple within this space and others we do know english language in proper.
English

@JangoBist Wanaonekana wazi si Polisi rasmi. Hii si ishara nzuri hata kidogo
Indonesia
Maxence M. Melo retweetet

⚠ Update: #Tanzania remains offline ~8 hours after a national blackout on election day, as news emerges that a curfew is now in place; the measure marks a significant decline in the country's internet freedom, threatening the transparency and credibility of the election process

English

Adui unayemuweza, usimuachie Mungu! Sasa @macdemelo si walisema wakitupoteza tutapiga kelele mwezi mmoja tutasahau?
Indonesia
Maxence M. Melo retweetet
Maxence M. Melo retweetet
Maxence M. Melo retweetet

Today we kicked off #WorldPressFreedomDay celebrations in Arusha with powerful panel discussions and vibrant side events!!
Together, we’re reflecting on the future of journalism in the age of AI and reaffirming our commitment to press freedom, free speech and inclusive development. #WPFD2025




Arusha, Tanzania 🇹🇿 English
Maxence M. Melo retweetet

The launch of #JamiiAfrica is a milestone in civic innovation, rooted in Tanzania & supported by Sweden.
It’s a space where African voices call for action & stories spark reform. Here’s to more transparency, dialogue & courage.💪🏽 #CivicTech
#SwedenTanzania💚🇹🇿🇸🇪
@JamiiForums

English

@Egasenergiestz @JamiiForums Am here to assist, naomba nitafute DM nikusaidie. Pole sana
Eesti

@JamiiForums Jamiiforums mmenipiga ban kwenye platform yenu,lini mnanirudisha?
Indonesia

@ClimateActionug Still there’s disruption from my side. Can’t hear you!
English
Maxence M. Melo retweetet

Join us today in collaboration with Jamii Forums. Click the link below.⬇️
jamii.app/AbductionSpaces
Utekaji, Watu Kupotea katika Mazingira yasiyoelezeka na wengine Kukutwa Wameuawa ni Matukio yanayokiuka Haki za Msingi za Binadamu na Utawala Bora
-
Je, ni nini chanzo na sababu zinazochochea Matukio haya?
-
JamiiForums kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) tutajadili hali ya Matukio hayo kupitia XSpaces ya JamiiForums. Ni leo, Novemba 15, 2024 Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku.
-
#JamiiForums #HumanRights #LHRC #SayNoToAbductions #Governance #UtekajiSpaces

Indonesia
Maxence M. Melo retweetet

DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024
Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika Digitali
Waziri Riziki ameupongeza Uongozi wa JamiiForums, kwa shughuli na miradi inayoilenga jamii inayoendeshwa na Taasisi na kutaka kuwepo kwa mashirikiano katika shughuli za kijamii hasa kampeni ya “MTOTO NI MBONI YANGU” na Wizara ya Maendeleo kwa kushirikiana na Taasisi ya “Ndoto Ajira” itakayofanyia Novemba na Desemba 2024 katika Mikoa mitano ya #Zanzibar (Unguja na Pemba)
Naye Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo ameipongeza Wizara hiyo kwa kuwa tayari kushirikiana na Wananchi kupitia Majukwaa ya Kimtandao katika kuwalinda Watoto na kuahidi kuwapa ushirikiano katika kutimiza azma hiyo
Soma jamii.app/WaziriRizikiJF
#JFMatukio #ChildRights #HumanRights #JamiiForums #HakiZaBinadamu #SocialJustice




Indonesia
Maxence M. Melo retweetet
Maxence M. Melo retweetet

NENO LA SHUKRANI ✍🏻
----------------------------
Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa Tuzo hii ya kipekee.
Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali.
Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyeniamini na kunipa nafasi na fursa ya kutumikia jamii kupitia wizara hii ya maendeleo ya jamii jinsia wanawake na makundi maalumu.
Vilevile, heshima hii iende kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu na watumishi wake wote na wale wa kisekta ambao, hupokea na kuyafanyia kazi maelekezo yangu kufuatia maoni na hoja za wananchi ambazo nimekuwa nimezipokea kutoka kwenye Jukwaa la Jamii Forums.
Aidha, Heshima hii iende kwa familia yangu na mume wangu mpenzi Advocate Gwajima ambaye, amekuwa akinipa ushirikiano mkubwa wakati wote wa kutumia hata muda wa familia kwa ajili ya kufuatilia hoja za wananchi kwenye Jukwaa hili.
Naahidi kuendelea kujitahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Wananchi ili kuhakikisha sauti zote zinasikilizwa na kufanyiwa kazi inapowezekana.
Kila mmoja wetu ana nafasi muhimu katika mchakato wa uamuzi, na ni wajibu wetu kama viongozi kusikiliza na kujibu yale yanayohitaji majibu ya wananchi.
Tunapofanya kazi pamoja, tunafanikisha kuchochea maendeleo na kuboresha maisha ya wananchi wetu.
Kwa mara ingine tena, ningependa kutoa shukrani za pekee kwa Jamii Forums (JF) na watanzania kwa ujumla kwa utambuzi huu.
Majukwaa kama Jamii Forums (JF) ni muhimu kwa ajili ya kuleta uwazi na ushirikiano, na ni matumaini yangu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kujenga jamii bora zaidi.
Shukrani nyingi kwenu wanaJukwaa wote wa JF na wote ambao mmewahi kutoa hoja kuhusiana na eneo langu la kazi, kwani hakika, mmekuwa sababu ya mimi kupata Tuzo hii adhimu. Naomba tuendelee kuwa pamoja katika safari hii ya maendeleo.
Mungu awabariki 🤝🇹🇿
@JamiiForums @macdemelo @taccitz @maendeleoyajami




Indonesia
Maxence M. Melo retweetet

@macdemelo has challenging the idea of restricting Citizen Journalism, that the world have changed so much and we cant restrict citizen reporting.
#ReflectingOnMediaSpaceOverTheYears
@TheCitizenTz
English
Maxence M. Melo retweetet

Leo, Julai 12, 2024, Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalum, ametembelea JamiiForums na kufanya mazungumzo na uongozi wa JF ili kuweza kuifahamu kwa kina taasisi na shughuli zake kwa ujumla
Dkt. Gwajima amesema amenufaika kwa kuwa Mwanachama wa JamiiForums.com ambapo huwa anashiriki kwa kuanzisha na kuchangia mijadala. Ameongeza, kwake Mitandao imekuwa njia rahisi na nafuu kama Kiongozi katika kuwasiliana kwa ukaribu na Wananchi
Dkt. Gwajima ameeleza kuwa kutambua umuhimu wa #UhuruWaKujieleza, na kuongeza kuwa, "kutoshiriki au kutosikiliza Sauti za Wananchi unaowahudumia kunaweza kusababisha matatizo makubwa"
Aidha, Dkt. Gwajima ameonesha utayari wake kushughulikia Kero na Madokezo yote toka kwa Wananchi yanayohusu Wizara yake kupitia Jukwaa la #FichuaUovu
Zaidi jamii.app/GwajimaAtembel…
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Governance #FreedomOfExpression




Indonesia
Maxence M. Melo retweetet

📍Dar es Salaam, Tanzania
I had the privilege of making a courtesy visit to @JamiiForums, where I met Mr. @macdemelo, the Founder and CEO. @JamiiForums operates JamiiForums.com, Tanzania’s most visited Swahili citizen-journalism content platform, founded in 2006.

English











