Maxence M. Melo

1.5K posts

Maxence M. Melo banner
Maxence M. Melo

Maxence M. Melo

@macdemelo

Executive Director - JamiiAfrica | International Press Freedom Awardee | Digital Innovator

Dar es Salaam Katılım Kasım 2010
2.7K Takip Edilen43.9K Takipçiler
Maxence M. Melo retweetledi
Rahuuuum
Rahuuuum@RahmaMwita·
Tanzania itapata HAKI nayasema haya katika Jina La Yesu kristo. 🙏🏾
Rahuuuum tweet media
Filipino
206
327
1.9K
54.4K
Ahmadi SamtombE
Ahmadi SamtombE@Ahmadi1834041·
@ikariiah Ubora wa space ni lugha , napendekeza lugha itumike kiswahili hapa coz were so many different peolple within this space and others we do know english language in proper.
English
2
0
2
80
Maxence M. Melo
Maxence M. Melo@macdemelo·
@JangoBist Wanaonekana wazi si Polisi rasmi. Hii si ishara nzuri hata kidogo
Indonesia
2
2
25
1.5K
Maxence M. Melo retweetledi
NetBlocks
NetBlocks@netblocks·
⚠ Update: #Tanzania remains offline ~8 hours after a national blackout on election day, as news emerges that a curfew is now in place; the measure marks a significant decline in the country's internet freedom, threatening the transparency and credibility of the election process
NetBlocks tweet media
English
21
328
596
530.7K
Vicensia Shule
Vicensia Shule@vicensiashule·
Adui unayemuweza, usimuachie Mungu! Sasa @macdemelo si walisema wakitupoteza tutapiga kelele mwezi mmoja tutasahau?
Indonesia
1
4
28
2K
Maxence M. Melo retweetledi
Jakaya Kikwete
Jakaya Kikwete@jmkikwete·
Ukweli una tabia moja: haujali mkubwa wala mdogo; haujali adui wala rafiki. Kwake watu wote ni sawa, na hulipiza kisasi pale unapopuuzwa.
हिन्दी
206
899
1.4K
0
Maxence M. Melo retweetledi
Hussein M Bashe
Hussein M Bashe@HusseinBashe·
Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi Kama mtu Ana makosa ufatwe utaratibu wa kisheria kumkamata sio utekaji.
Indonesia
162
934
2K
0
Maxence M. Melo retweetledi
UN Tanzania 🇺🇳
UN Tanzania 🇺🇳@UnitedNationsTZ·
Today we kicked off #WorldPressFreedomDay celebrations in Arusha with powerful panel discussions and vibrant side events!! Together, we’re reflecting on the future of journalism in the age of AI and reaffirming our commitment to press freedom, free speech and inclusive development. #WPFD2025
UN Tanzania 🇺🇳 tweet mediaUN Tanzania 🇺🇳 tweet mediaUN Tanzania 🇺🇳 tweet mediaUN Tanzania 🇺🇳 tweet media
Arusha, Tanzania 🇹🇿 English
2
4
29
6.6K
Maxence M. Melo retweetledi
Sweden in Tanzania
Sweden in Tanzania@SwedeninTZ·
The launch of #JamiiAfrica is a milestone in civic innovation, rooted in Tanzania & supported by Sweden. It’s a space where African voices call for action & stories spark reform. Here’s to more transparency, dialogue & courage.💪🏽 #CivicTech #SwedenTanzania💚🇹🇿🇸🇪 @JamiiForums
Sweden in Tanzania tweet media
English
2
19
62
7.3K
KIPIMA GESI
KIPIMA GESI@Egasenergiestz·
@JamiiForums Jamiiforums mmenipiga ban kwenye platform yenu,lini mnanirudisha?
Indonesia
1
0
0
179
Maxence M. Melo retweetledi
LHRC
LHRC@humanrightstz·
Join us today in collaboration with Jamii Forums. Click the link below.⬇️ jamii.app/AbductionSpaces Utekaji, Watu Kupotea katika Mazingira yasiyoelezeka na wengine Kukutwa Wameuawa ni Matukio yanayokiuka Haki za Msingi za Binadamu na Utawala Bora - Je, ni nini chanzo na sababu zinazochochea Matukio haya? - JamiiForums kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) tutajadili hali ya Matukio hayo kupitia XSpaces ya JamiiForums. Ni leo, Novemba 15, 2024 Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku. - #JamiiForums #HumanRights #LHRC #SayNoToAbductions #Governance #UtekajiSpaces
LHRC tweet media
Indonesia
0
6
24
7.3K
Maxence M. Melo retweetledi
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024 Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika Digitali Waziri Riziki ameupongeza Uongozi wa JamiiForums, kwa shughuli na miradi inayoilenga jamii inayoendeshwa na Taasisi na kutaka kuwepo kwa mashirikiano katika shughuli za kijamii hasa kampeni ya “MTOTO NI MBONI YANGU” na Wizara ya Maendeleo kwa kushirikiana na Taasisi ya “Ndoto Ajira” itakayofanyia Novemba na Desemba 2024 katika Mikoa mitano ya #Zanzibar (Unguja na Pemba) Naye Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo ameipongeza Wizara hiyo kwa kuwa tayari kushirikiana na Wananchi kupitia Majukwaa ya Kimtandao katika kuwalinda Watoto na kuahidi kuwapa ushirikiano katika kutimiza azma hiyo Soma jamii.app/WaziriRizikiJF #JFMatukio #ChildRights #HumanRights #JamiiForums #HakiZaBinadamu #SocialJustice
Jamii Forums tweet mediaJamii Forums tweet mediaJamii Forums tweet mediaJamii Forums tweet media
Indonesia
0
3
34
15.2K
Maxence M. Melo retweetledi
NemcTanzania
NemcTanzania@NemcTanzania·
NEMC yashinda tuzo ya "Stories of Change* inayotolewa na Jamii Forums kipengele cha Taasisi ya Serikali inayohabarisha Umma kwa wakati na kuwajibika kwa wananchi katika utatuzi wa kero za kimazingira ikiwemo udhibiti wa kelele za sauti, uondoaji wa taka na harufu za kemikali
NemcTanzania tweet mediaNemcTanzania tweet mediaNemcTanzania tweet mediaNemcTanzania tweet media
Indonesia
0
7
27
4.3K
Maxence M. Melo retweetledi
Dr. Dorothy Gwajima
Dr. Dorothy Gwajima@Dr_DGwajima·
NENO LA SHUKRANI ✍🏻 ---------------------------- Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa Tuzo hii ya kipekee. Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali. Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyeniamini na kunipa nafasi na fursa ya kutumikia jamii kupitia wizara hii ya maendeleo ya jamii jinsia wanawake na makundi maalumu. Vilevile, heshima hii iende kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu na watumishi wake wote na wale wa kisekta ambao, hupokea na kuyafanyia kazi maelekezo yangu kufuatia maoni na hoja za wananchi ambazo nimekuwa nimezipokea kutoka kwenye Jukwaa la Jamii Forums. Aidha, Heshima hii iende kwa familia yangu na mume wangu mpenzi Advocate Gwajima ambaye, amekuwa akinipa ushirikiano mkubwa wakati wote wa kutumia hata muda wa familia kwa ajili ya kufuatilia hoja za wananchi kwenye Jukwaa hili. Naahidi kuendelea kujitahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Wananchi ili kuhakikisha sauti zote zinasikilizwa na kufanyiwa kazi inapowezekana.   Kila mmoja wetu ana nafasi muhimu katika mchakato wa uamuzi, na ni wajibu wetu kama viongozi kusikiliza na kujibu yale yanayohitaji majibu ya wananchi. Tunapofanya kazi pamoja, tunafanikisha kuchochea maendeleo na kuboresha maisha ya wananchi wetu.   Kwa mara ingine tena, ningependa kutoa shukrani za pekee kwa Jamii Forums (JF) na watanzania kwa ujumla kwa utambuzi huu. Majukwaa kama Jamii Forums (JF) ni muhimu kwa ajili ya kuleta uwazi na ushirikiano, na ni matumaini yangu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kujenga jamii bora zaidi.   Shukrani nyingi kwenu wanaJukwaa wote wa JF na wote ambao mmewahi kutoa hoja kuhusiana na eneo langu la kazi, kwani hakika, mmekuwa sababu ya mimi kupata Tuzo hii adhimu. Naomba tuendelee kuwa pamoja katika safari hii ya maendeleo. Mungu awabariki 🤝🇹🇿 @JamiiForums @macdemelo @taccitz @maendeleoyajami
Dr. Dorothy Gwajima tweet mediaDr. Dorothy Gwajima tweet mediaDr. Dorothy Gwajima tweet mediaDr. Dorothy Gwajima tweet media
Indonesia
25
28
129
7.5K
Maxence M. Melo retweetledi
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
Leo, Julai 12, 2024, Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalum, ametembelea JamiiForums na kufanya mazungumzo na uongozi wa JF ili kuweza kuifahamu kwa kina taasisi na shughuli zake kwa ujumla Dkt. Gwajima amesema amenufaika kwa kuwa Mwanachama wa JamiiForums.com ambapo huwa anashiriki kwa kuanzisha na kuchangia mijadala. Ameongeza, kwake Mitandao imekuwa njia rahisi na nafuu kama Kiongozi katika kuwasiliana kwa ukaribu na Wananchi Dkt. Gwajima ameeleza kuwa kutambua umuhimu wa #UhuruWaKujieleza, na kuongeza kuwa, "kutoshiriki au kutosikiliza Sauti za Wananchi unaowahudumia kunaweza kusababisha matatizo makubwa" Aidha, Dkt. Gwajima ameonesha utayari wake kushughulikia Kero na Madokezo yote toka kwa Wananchi yanayohusu Wizara yake kupitia Jukwaa la #FichuaUovu Zaidi jamii.app/GwajimaAtembel… #JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #Governance #FreedomOfExpression
Jamii Forums tweet mediaJamii Forums tweet mediaJamii Forums tweet mediaJamii Forums tweet media
Indonesia
1
5
39
5.6K
Maxence M. Melo retweetledi
Dr. Jabhera Matogoro
Dr. Jabhera Matogoro@Dr_Matogoro·
📍Dar es Salaam, Tanzania I had the privilege of making a courtesy visit to @JamiiForums, where I met Mr. @macdemelo, the Founder and CEO. @JamiiForums operates JamiiForums.com, Tanzania’s most visited Swahili citizen-journalism content platform, founded in 2006.
Dr. Jabhera Matogoro tweet media
English
1
14
23
2.5K