Mi kitasa kama Cafu kama Dunga...!
Dili kila miji mara Magu mara Chuga...!
Elimu ni ufunguo niko down natafuta
Game jau so nabaki underground
mpaka kufa....!
@dizastavina
kabla ya kuja tunaposettle manguri....!
ongeza kazi ongeza kanda mseto sampuri...!
afu kesho acha mapuri... yanafanya uhisi umekua
na bado hauj+piga nyeto vizuri...!
@dizastavina
Nimetoka kuangalia vizuri THE OVERLAP kuhusu Rooney alichoongea kuhusu Neymar ? Aiseee kama mtu alisikiliza kipande kifupi cha humu Twitter lazima umpike Wazza but ukisikiliza sentensi nzima unapata context alikuwa anamlinganisha Neymar na waki nani katika hiyo " TOP PLAYER"😀
@George_Ambangil Pele amecheza zama ambazo hamna academy za vipaji wachezaji walikua wanapimwa kwa stamina na kujua kukimbia na kupiga mpira tu, aliwakokota atakavyo, watu asubuhi wanaranda mbao jioni wanaenda kwenye mechi ndo alikua anacheza nao, leo mpira ni ajira kabisa ila Pele ni TOP player?
Haka katoto kalitamba sana kipindi cha magufuli eti kanaakili kalikuwa kanataja viongozi wote wa duniani na watu wakakapa sifa eti kana akili nasikia mwenye matokea yake ya lasaba mswaki😁😁🙌🙌👇👇
STEREO aliwahi ku~rap “ SINA SONGS KAMA TREY”
Huu ni mfano wa zile wordplay za kawaida ( not clever), hata kama alimaanisha habani pua still that line is the weakest link
Msiwacheke akina KONTAWA. sometimes ni pronounciation trick(how it sounds) pengine likafurahisha tu.