JAMAA FLANI IVII
256 posts

JAMAA FLANI IVII
@SeanWallac7992
My bio won't help you.
Katılım Temmuz 2023
295 Takip Edilen9 Takipçiler

@Eric__Bernard We saidia mtu bana hakuna perfect hi dunia wacha hizo maneno sio ukristo huo
Filipino

Majobless wapush Hashtag ya Kazi Iendelee Tumeweka chochote kaka tungeweka zaidi ni vile hatuna kazi na ni wapush reli. Upone haraka Kaka! 🙏


M.D (🅨)@ReganTesla_
Kama kuomba msaada ni aibu then kulala kwa kuchomwa sindano ni mateso zaidi kuliko aibu. 💔 Please nisaidie kwa chochote napitia mengi nisiyoyaweza. M PESA 0764122090 REGAN 🙏🏽
Filipino

@mostedCY @maestrochance_ Lyrical peke yake haitoshi, hip-hop ni full package beats, delivery, impact. Hapo ndipo wengine wanamzidi.”
English

@SeanWallac7992 @maestrochance_ Nas?? We jamaa hauko serious, huyo jamaa ni lyrical genius
Suomi

@Trustlucky26135 @maestrochance_ Mnanilazimisha nimuweke kwa sababu ya respect, sio performance 😂 list yangu sio hall of fame.
Filipino

@maestrochance_ Nas ni legend sina ubishi, ila kwenye hii list kuna watu wako more complete kuliko yeye. Lyrically yuko juu, but hip-hop sio bars tu. So kwangu anakaa nje,.simple.
Filipino

@BabJ0N @maestrochance_ Album moja classic haitoshi kushinda consistency ya wengine kwa miaka yote.. atatoka akae slim
Filipino

@dully84188557 @maestrochance_ Ndio legend, but kwenye hiyo lineup kila mtu ni legend… lazima mmoja atoke, kwangu ni yeye
Indonesia

@SeanWallac7992 @maestrochance_ Nas mzeee hiphop umeanza kuiskiliza lin big,KRS1the god rakim,ghost face killer hawa n wakal wa kiuandish ukiwatoa hawa hakuna duniana aliyewah kumfikia Nas lyrical hakuna ‘Em,kdot,ukiwauliz nan ame wa influence kiuandish watakwambia n Nas alf wew unasema asimame so singel iyo
Filipino

@Temianga @maestrochance_ Sijasema ni mbaya, nimesema kuna watu hapo wako complete package kuliko yeye.”
Filipino

@SeanWallac7992 @maestrochance_ Labda km ujawah msikia,uyo ni legend mzee
Indonesia

@mostedCY @maestrochance_ Once Pac said he is a wack mcee
English

@TitoMagoti @mankadolly Ishu ya madenge @rollymsouth binafsi bado inanichanganya sana but still siwezi kuamini kama alilipwa na ccm never.hata nikiangalia wanaomkandia wana uwezo mdogo sana wa kuchanganua mambo. Kitu ninachojiuliza kwanini mpaka leo wanaharakati mashuhuri humu hawajawahi kuongelea?
Indonesia



















