MULLER 20

2.3K posts

MULLER 20

MULLER 20

@MHelaman67006

Joined Ocak 2026
824 Following265 Followers
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Furahiya na kile ulicho nacho, wakati unafanya kazi kwa bidii ili upate kile unachotaka. Kumbuka, Maisha yenye furaha na mafanikio, huanza na Mungu na kuisha na Mungu. Good morning X Familia 👊🏾
Filipino
65
80
96
693
Joti
Joti@JotiOfficial·
Kwa wanaume. Ukiwe kwenye nafasi ya kumsaidia mwanaume mwenzako, fanya hivyo. Hii ni dunia ni ngumu, watu wanatembea na mizigo mikubwa, unachokiona kidogo, ni kikubwa kwa mwingine.
Filipino
17
39
206
2.9K
ELFUJEROOO…!!!
ELFUJEROOO…!!!@bukujero_1500·
Usilie sasa mrembo. “unasema boyfriend wako ukimuomba hela anakuambia umuombee dua mikeka yake itiki….”?? 😂
ELFUJEROOO…!!! tweet media
Filipino
7
14
40
379
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
Good morning ladies and gentlemen.🤣🤣💔🚮
kibaha_finest tweet media
English
18
21
74
1.1K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Huwezi Kuzuia CHUKI Za Watu Dhidi Yako Ila Unaweza Kugeuza Chuki Zao Kuwa Mafanikio Yako, Haijalishi Ni Mwema Kiasi Gani Watu Kukuchukia Ni Maamuzi. Good Morning My Beautiful Friends
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
10
8
18
141
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
Baada ya mechi ya Jana napenda kuwakumbusha kuwa Kuna watu watalea watoto ambao sio wao ifikapo December 💔😀 Good morning people 😎🌄🤝
Filipino
25
27
59
635
precious”11:11🌸
precious”11:11🌸@iamdoll__·
Kujistukia nao ni ugonjwa wa akili kama magonjwa mengine kama depression 😹😹
Indonesia
7
4
20
197
Jino Ukucha
Jino Ukucha@JinoUkucha·
@MHelaman67006 Nyumba ilikua na geti la mbao so walitegesha mbati fulani kwa nyuma ili nikifungua mlango upige kelele kutokana na nilishtuka mchezo bas nilirud home usiku mwingi sana ila walijua nimerud nilivyo ingia ndani kaka alikua ashapangwa anifungie mlango Kwa nje nisitoke oyaaa🤣
Indonesia
1
0
1
108
Jino Ukucha
Jino Ukucha@JinoUkucha·
Nakumbuka zaman nilipo kua shule ya msingi niliibaga elfu 30 nyumbani nikaendaga nayo shuleni nikanunua sambusa za wamama wote wa pale shuleni afu nikapanga madawati matatu hivi kwenda juu nikapanda juu kabisa nikaanza kuwarusihia sambusa wanafunzi wenzangu kama nagawa misaada🤣.
Filipino
22
30
134
5.2K
MULLER 20 retweeted
Bois
Bois@wee_boiss·
Kugongesha Msolombo kwa kinembe hukuwa underrated skill 😂
Filipino
30
102
334
5.8K
MULLER 20 retweeted
Being 6 💊💉🌡️🩺
Ukimpenda mtu mwambie wala usisite sisi ni binadamu huwa tuna nafasi moja tu ya ukweli huwenda usiipate tena.
Indonesia
5
23
57
448
MULLER 20
MULLER 20@MHelaman67006·
I must not fear, Fear is the mind-killer Fear is the little-death that brings total obliteration !!
English
0
0
0
3
knockout
knockout@Rabison09·
Shemeji yenu anapenda sana mapenzi nifanyeje?
knockout tweet media
Indonesia
23
12
59
1.9K
MULLER 20
MULLER 20@MHelaman67006·
@zoetjesheeftX Hiyo siyo sababu ya kuachishwa kazi,sema kuna mambo yako nje ya uwezo wetu Ambayo ni siri ya mwajiri na mwajiliwa basi, kama mnaitaji uongo basi tupige umbeya tuu Mbona kazini Na Leo Alikuepo,😂😂
Indonesia
0
0
2
21
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Yule kondakta mrembo kuliko wote aliye jipatia umaarufu kupitia kampuni ya Mabasi ya Tilisho, inasemekana Kwa Sasa hayupo na kampuni hiyo licha ya urembo wake kutumika kuipa jina kubwa kampuni hiyo. Kwa mjibu wa Carry Mastory anasema binti huyo alianza Kujiona ni mkubwa Kuliko Kampuni yenyewe, Carry anasema Kuna kipindi alihitaji kufanya naye mahojiano (interview), lakini binti alimzungusha na mwisho wa siku akamuambia hana muda licha ya Kila mara Kumuona akila bata sehemu mbalimbali. Ila Kwa upande mwingine huyu binti hii tasnia kaipa ukubwa Sana kiasi kwamba watu Wana iheshimu sana, hata kampuni ya Tilisho yenyewe ilijitangaza kupitia binti bila kutumia nguvu wala gharama.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Filipino
52
12
393
69.7K
Billy
Billy@BillyTronix1·
Hii Escape from Outland ni bonge la movie aisee 🙌🙌🙌🙌
Français
15
27
312
12K
MULLER 20 retweeted
Revocatus Millambo, Ph.D.
Ifikapo December Mafanikio Yako Yatapimwa kwa: 1. Ahadi zako ulizotimiza 2. Connections mpya ulizojenga 3. Kutumia vidogo kupata vikubwa 4. Circle yako (marafiki+mentor) 5. Speed ya ukekelezaji 6. Signal to noise ratio 7. Uwepo na kuenjoy moments 8. Kujenga na kukuza vitu
Filipino
2
28
139
2.2K
MULLER 20 retweeted
𝐌𝔸𝐍 _🅂🅷🄴🅺🄰😎
Mwanaume unaweza ukawa na vitu vingi vya thamani ila hamna kitu cha thamani kama kuwa na mwanamke mwenye heshima alafu pia anajitambua✍️
Indonesia
29
66
151
1.9K