
@k_mjege @MarekaMalili Na hapo Hana PhD
Lakini mwenye PhD unataka watu waendelee kunywa pombe kisa Kuna Kodi nyingi IPO huko licha ya matatizo madhara. Ya pombe.
Anyway ni PhD ya chuo gani? Kipo wapi,? Pakistan?
Filipino
Daniel Samson
37.5K posts




Baada ya kutofaulo Kidato cha nne, mwaka 1983 hadi 1986, alijiunga na Chuo cha Maendeleo ya Uongozi Mzumbe (IDM) kwa ajili ya masomo ya juu katika Utawala wa Umma upande wa cheti. Aidha, alipata mafunzo mbalimbali katika Taasisi ya Chuo cha Utawala wa Umma Lahore, Pakistan 1987, Taasisi ya Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI) 1991, na Taasisi ya Uongozi ya Hyderabad India 1998 kwa ajili ya Astashahada ya Utawala. Baada ya hapo, …………?? ONA CHUO CHA PAKISTAN





