Pinned Tweet
SimbaScot
37.1K posts

SimbaScot
@Simbascot
☞ MUSLIM. It is Allah who gives and it is Allah who takes away, simba 🇹🇿& man united 🏴 & Real Madrid 🇪🇸 ☞ 𝕏 Banter All Time.
Zanzibar South and Central Joined Mart 2020
2.4K Following2.8K Followers
SimbaScot retweeted
SimbaScot retweeted

@shibobo___ @BracuszCadabra Lakin Tender haikutangazwa. Kama ilivyo tender ya Jersey.
Indonesia
@BracuszCadabra Kuna mambo kwa nature yetu mnalazimika kuanzia mwsho na si mwanzo,
Ukizingatia aloshinda tender ni God Father
Indonesia
SimbaScot retweeted
SimbaScot retweeted
SimbaScot retweeted
SimbaScot retweeted

🚨Njia sahihi na Rahisi ya kufanikiwa mchezaji ni kutanguliza timu mbele kucheza kwa ajili ya kutimiza malengo ya Klabu sio matamanio binafsi
Inno Loemba Jospin ana kipaji halisi Cha mpira na anajituma sana anapokuwa uwanjani ila tatizo linalompotezea focus ni ubinafsi na uchoyo,anajifikiria sana yeye anafikiria sana kufunga kuliko kutengeneza na kurahisisha mtiririko wa mashambulzi
Kwa ubora alionao mambo mengi yapo ndani ya uwezo wake Cha muhimu awe na maamuzi sahihi hasa nyakati muhimu na kwenye matukio yanayohitaji Ushirikiano na ufanisi wa haraka
Atatengeneza jina haraka ikiwa tu ataamua kucheza kwa ajili ya timu kutuliza kichwa na kutoa pasi panapohitajika kufanya hivyo Kupiga mashuti penye ulazima huo Mwishoni Loemba tunakupenda ila unapaswa kubadilika.

Indonesia
SimbaScot retweeted
SimbaScot retweeted
SimbaScot retweeted
SimbaScot retweeted
SimbaScot retweeted
SimbaScot retweeted
SimbaScot retweeted























