Most Kenyans are like our politicians. Wangekua uko juu wangekua wezi. Tabia mbaya Na dysfunctional families all over. We are our leaders and our leaders are us. Ndo maana unashangaa watu mbona wote Kwa nchi tu wasirally behind Maraga.
Juu values zao Ni mbovu ajab.