C4

1.7K posts

C4

C4

@EdwardSamson255

Better Die Standing than Live Kneeling

Se unió Şubat 2024
128 Siguiendo55 Seguidores
C4
C4@EdwardSamson255·
@Elsukay0 Mnavyo toa hizo elfu 50 ,50 wakati wa Kulomba mna Hesabu pia. !?
Indonesia
3
0
1
2.6K
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Kuingia tu kwenye kikao cha wanaume cha IPM ni 50k × watu 500 = million 250 Tshs Million 250 × vikao 10 = billion 2.5 Huyu mchungaji anapiga sana hela Bahati mbaya zaidi watu hawashituki Oyaa mjini shule
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Indonesia
140
57
991
63K
C4
C4@EdwardSamson255·
@EsirEid Labda niwe Mmama..
Lietuvių
0
0
1
123
C4
C4@EdwardSamson255·
@BlacDaady Kila Shetani na mbuyu wake
Indonesia
0
0
0
6
Black Dady
Black Dady@BlacDaady·
Kuna jirani yangu hapa huwezi kusikia miziki ya kidunia wala movies, muda mwingi anapinga ngoma za injili tu. Kinachonishangaza ndo jirani pekee anayeongoza kuleta wanawake wa kila rangi na rika tofauti tofauti daily.😀
Indonesia
29
18
333
13.6K
C4
C4@EdwardSamson255·
@Sisimizi3 Hana akili timamu
Indonesia
0
0
0
78
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Leo BWANA CHUGA kamchapa sana Mzalendo wa Madhabahu kamwambia "Shetani ni Shetani tu hata ujifanye unajitenga na Serikali ya Mama Samia" na kasema atamshughulikia
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
38
10
374
45.7K
C4
C4@EdwardSamson255·
@JoyceHuru @Therealngassa Ni Kitu kidogo sana hicho kwa MOSSAD. Wakati CIA wananunua Wana wa ndani. MOSSAD Wana recruit mtu within. MOSSAD ni hatari sana. MOSSAD ndo Kitu pekee kilicho Fanya Israel iishi miaka 70+ katikati ya maadui zake. Ujasusi ndo una shinda Vita
Indonesia
0
0
1
75
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Between mosad and CIA Nani mtabe zaidi ya mwenzake kwenye intelligencia na operation
HT
42
12
135
13.5K
C4
C4@EdwardSamson255·
@awarenesskills @Therealngassa Huyu ndo mbumbumbu kabisaa. Una shindwa kufuatilia mambo Ina kimbilia Chart GPT hovyo kabisa
Indonesia
1
0
1
45
C4
C4@EdwardSamson255·
@Therealngassa MOSSAD Hana wa kumlinganisha nae
Indonesia
0
0
1
179
C4
C4@EdwardSamson255·
@CavityDamas23 TID awe TIT Ani Top in Tanzania. TID ana Ung'eng'e bhana
Indonesia
1
0
0
174
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Sema kiingereza cha awa wajomba waga kimenyooka sana , kuna msanii gani mwingine anatema yai kama Q na Tid
STUNNA tweet mediaSTUNNA tweet media
Indonesia
63
42
477
29.1K
S.SIMON.
S.SIMON.@simon_sich90728·
@CavityDamas23 Hivi kibamia ni kuanzia nchi ngapi,Nataka nichague upande wangu
Indonesia
2
0
2
1.5K
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Pole yenu wenye vibamia😂
STUNNA tweet media
HT
38
25
186
15.5K
C4
C4@EdwardSamson255·
@hericharles15 @kim_wokingham @DuniaSlaveDunia Kilikuwa si Cha TPDF. Ile mission mamba haiku involve MBT. Na huwezi kupambana na Insurgent kwa MBT kwa Sababu Wana fight in guerrilla walfare tactics. Ambush ni nyingi so kifaru Sio suitable choice
Indonesia
1
0
0
16
Dunia🌍
Dunia🌍@DuniaSlaveDunia·
Nilikua sijui kumbe Majeshi yetu hayana mawasiliano Yaani siku Tukivamiwa Na nchi jilani Wanajeshi kutoka Mwanza wanaweza kutana Vitani na Jeshi kutoka Bukoba Wakatwanga Risasi za kutosha waje kujua ni wenzao Kwisha habari 🙆🙄
Indonesia
19
38
632
33.5K
C4
C4@EdwardSamson255·
@tazamaMbali @DuniaSlaveDunia Walevi wengi hawajui hayo. Wanadhani vita ni kama fumanizi. Kwamba ni kufumba na kufumbua tu
Indonesia
0
0
1
10
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
@DuniaSlaveDunia Jeshi lina utaratibu na mpangilio wake vitani. Vita haipiganwi hovyo hovyo. Kuna Squad, Platoon, Kombania, Battalion, Brigade,.. Kutoka kwenye ngazi ya unit mpaka kikosi kikubwa kabisa kuna uongozi. Ndiyo maana wanajeshi wa Tz wanaweza kuungana na wa Ug kulinda amani Kongo.
Filipino
2
0
14
1.4K
mng'anzagala
mng'anzagala@kitindisemitz·
@kim_wokingham @DuniaSlaveDunia Haya unayoyasikia inawezekana ni kweli maana nasikia hata kiongozi wajuu huchaguliwa yule asiye na ukaribu sana na wenzake ili asije fanya mapinduzi.niliambiwa na mmojawapo,swali lako namm nitawauliza wahusika
Indonesia
2
0
1
399
Kimmitt J. Wokingham
Kimmitt J. Wokingham@kim_wokingham·
@DuniaSlaveDunia Haya madai kwamba kambi iko sehemu X halafu silaha ziko Y yana ukweli gani? Hivi kambi zilizoko maeneo hatarishi kama mpakani na Msumbiji kweli hazina silaha pale pale? Ukitokea uvamizi wanafanyaje? Watasubiri silaha zitoke Mafinga? Kuna mfumo wa aina hii kweli?
Indonesia
8
0
19
3.1K
C4
C4@EdwardSamson255·
@DuniaSlaveDunia 😂😂😂 CDF Mange kimambi doctrine
Español
0
0
0
10
C4
C4@EdwardSamson255·
@mananajr_ Sasa kwanini itoke,kwani ni mkosi..!? Acha utamaduni utambe
Filipino
0
0
0
2
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Kama umekulia kijijini na bado una ile accent ya kwenu hakikisha ukioa usioe mtu wa kwenu, Ukioa mtu wa kwenu ile accent haitoki hata upigiwe ramli, maana humo ndani nyie ni kilugha tu muda wote.
Filipino
6
10
63
2.8K
C4
C4@EdwardSamson255·
@kioma_1 Matunda ya mti wa uzima
Indonesia
0
0
0
1
kyoma.🌴
kyoma.🌴@kioma_1·
Watu wenye allergy ya asali, na maziwa sijui mkifika mbinguni mtakula nini?😂
Indonesia
50
70
364
14.5K
C4
C4@EdwardSamson255·
@Therealngassa Labda milima ya mawe na wasukuma
Indonesia
1
0
1
2
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Mwanza inaizidi dar es salaam vitu vingi sana aisee
Eesti
41
8
147
23.6K
C4
C4@EdwardSamson255·
@unique_asmer Mmekuwa Rahisi na mna Uza Sana
Polski
0
0
0
3
asmer de unique
asmer de unique@unique_asmer·
Siku hizi hata hawa tongozi tena, ni mwendo wa 50k au 100k….🤦🏻‍♀️ Ni mistari mmeishiwa ama hamjui kutongoza…!?
Indonesia
104
27
395
30.5K
C4
C4@EdwardSamson255·
@mlinganya 😂😂😂 Hana Ex ok thanks
English
0
0
2
253
Malcolm 🏆
Malcolm 🏆@mlinganya·
Nitaoa mwanamke ambaye:- 1. Hajawahi kutoa mimba 2. Hajawahi lala na mwanaume YEYOTE 3. Hana ex 4. Hajawahi kutibu gono 5. Akiwa na mimi kitandani havuti hisia za boya mwingine Kifupi NITAOA BIKIRA. Raha sana
Indonesia
48
56
366
16.2K
C4
C4@EdwardSamson255·
@kikotiofficial Hata Muajiri mwenye akili haangalii G.P.A kwa Sababu tuna mfumo mmbovu wa Elimu unao zalisha job seeker na Sio professional expertise ndo unaweza kuta mchumi kutoka IFM au palee CBE ana hangaika na yeye kutafuta ajira akiwa na simu ya million moja au laki nane
Indonesia
0
0
1
32
KITASA🔑🧥
KITASA🔑🧥@kikotiofficial·
Mwisho wa siku mnafikiri hizo GPA tunataka kupeleka wapi? GPA ni ‘status’ wanayotumia masikini kujitofautisha na masikini wengine kuchuana kwa waajiri, Kiuhalisia kusurvive au kutoboa katika maisha sio lazima GPA yeyote unless unataka tu ku-depend kwa waajiri. Tufikiri tena🤔
Indonesia
6
3
24
686