Black Dady

207.5K posts

Black Dady banner
Black Dady

Black Dady

@BlacDaady

Med💉 | Football | Graphics designer | Internet services

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2017
4.2K Takip Edilen29.7K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Black Dady
Black Dady@BlacDaady·
VODACOM 5G ROUTER BURE KABISA POPOTE ULIPO - Gharama ya Kifurushi ni sh 120,000 kwa mwezi - Utapatiwa kifurushi kitakacho kuwezesha ku'download, ku'upload na kupost bila kikomo -Router ina uwezo wa ku'connect vifaa 64 kwa wakati mmoja WhatsApp au piga simu☎️: 0743303484
Black Dady tweet mediaBlack Dady tweet media
Indonesia
20
82
123
35.8K
Black Dady
Black Dady@BlacDaady·
Ndugu zetu hawaamini katika priority wala kuamini maendeleo yanajengwa hatua kwa hatua. Unanunua zako gari wajomba wanakuweka katika kapu la watu waliofeli kisa tu walitaka waone mjengo ukisimama kwanza before gari.😀
Indonesia
2
8
59
987
tiba asili
tiba asili@tibaasili3·
@BlacDaady ndo maana mimi ningeombwa ushauri ningesema wote wafanyakazi wa TRA wawe na biashara ingekuwa rahisi sana kuimpliment wafanyayo
Indonesia
1
0
1
15
Black Dady
Black Dady@BlacDaady·
Mtu anakufundisha kutake risk kwenye biashara alafu yeye ukimu- assess hajawahi kufungua hata genge. Bongo bana 😀
Indonesia
9
7
52
1K
Black Dady retweetledi
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Ni sahihi mtoto wa kiume kutumia hii emoji 🥰.
Indonesia
50
18
119
4.8K
Black Dady retweetledi
TheBoss.💰
TheBoss.💰@BOSSferdd·
Hivi kuandika Uzi nafasi mnatoa wapi nyie watu. Nchi ngumu Sana kwaiyo unajipinda kabisa.!
Indonesia
8
20
38
439
The brand wiz
The brand wiz@miracleboytz·
Napenda... → Kujifunza. → Kufanyia kazi yale nayojifunza. → Ku’connet na watu wenye mawazo tofauti. Hii strategy ndio imenisaidia Kujifunza skill nyingi + kutengeneza connections za maana na watu wakubwa on and off this App. 2026 is definitely the year of doing GREATNESS.
English
2
4
15
151
Abdul Ally
Abdul Ally@AbdulAlly253493·
@BlacDaady Hahaha hiyo ndo movie ya kila siku 😄 Pia wakati mwingine watu wanatoa advice ya kuongea tu ili wajisikie smart, siyo kwamba wamepitia 😅
Filipino
1
0
0
20
Black Dady retweetledi
AM💡
AM💡@TonnyUnfiltered·
Muache kijana aliyekata tamaa na aende akawinde. Akimuua tembo, umaskini wake unakwisha; na tembo akimuua yeye, umaskini wake pia unakwisha.📌
Filipino
19
38
83
1.3K
Black Dady retweetledi
Fundi viatu na mabegi
Fundi viatu na mabegi@Mshonaviatu·
Waliotimiza ndoto zao si wale waliokuwa na haraka bali ni wale waliokuwa na msimamo thabiti pasipo na kukata tamaa. Good morning wasakatonge wenzangu
Filipino
15
28
64
571
Black Dady retweetledi
Miss Chelsea1221
Miss Chelsea1221@MissChelsea1221·
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Bei 27,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Miss Chelsea1221 tweet mediaMiss Chelsea1221 tweet media
Filipino
23
146
139
1.6K