mng'anzagala

2.1K posts

mng'anzagala banner
mng'anzagala

mng'anzagala

@kitindisemitz

mjasiliamali fulan hiv yan,tupendane sote ni ndugu 👊👊👊 fan:young Africa &Chelsea

Iringa, Tanzania Katılım Mayıs 2014
257 Takip Edilen58 Takipçiler
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Trump ameomba msaada wa kijeshi kutoka nchi mbalimbali, kupalinda mlango wa bahari Hormuz, tunawakumbusha kwamba Trump alisema vita ameshinda na ameharibu majeshi ya Iran kwa asilimia 95, Sasa huu msaada anaomba ni wa nini wakati alishajitangazia ushindi wa magazetini 😁
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
8
2
32
1.3K
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
Akihojiwa katika Kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV, Mhandisi Aron Joseph, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma amesema kama Mtu amechimba kisima cha maji kwenye eneo la huduma ambalo tayari miundombinu yao ya maji ipo anasisitizwa atumie yeye na familia yake, asitoe huduma kwa wengine. Anasema, "Sababu ni kwamba kama Wananchi wanaokuzunguka unataka uwapatie maji labda siku ambazo kuna mgao, huwa haturuhusu hilo kwa sababu walio wengi wenye visima huwa hawapimi ubora wa Maji na maji ya chini ya ardhi yanabadilika sifa zake kila siku." Ameongeza, "Leo mazuri kesho yanabadilika au choo cha jirani kimetiririsha kwenye kisima, ukianza kusambaza kwa Watu unaweza kushangaa unaua Watu Mtaa mzima". Aidha amesema mtu binafsi anaruhusiwa kwenda kutoa huduma ya maji kwenye eneo lao la huduma kwa makubaliano maalum, ambapo atapewa utaratibu wa kufuata. Mjadala zaidi jamii.app/WenyeKisimaMsi… #JamiiForums #JFHuduma #JFAccountability #PublicHealth
Filipino
40
12
98
18.6K
Shine
Shine@ShineTz_·
Mtu una muheshim kabisa ni boss wako kazini kama Baba ako, anakuita sehem mkutane unajua labda kuna issues ya maana ya kazini kumbe anataka umpe😓, anakwambia ukikataa kazi huna ukikubali mezani kuna pesa.. WANAWAKE TUNAPATA TABU SANA KWENYE HAYA MAISHA🥲
Filipino
89
17
205
18.3K
mng'anzagala
mng'anzagala@kitindisemitz·
@ShineTz_ Daa pole sana wanawake hasa mabinti mnateseka kiukweli.huwa nawaza mabinti zangu itakuwaje mdawao ukifika
Indonesia
1
0
1
1.2K
mng'anzagala
mng'anzagala@kitindisemitz·
@meamswahili Trump na putin ni marafiki wa mda mrefu alafu nikama wamejimegea dunia
Indonesia
0
0
1
54
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 KUNA MCHEZO UNAENDELEA NYUMA YA VITA YA IRAN 🇮🇷 NA MAREKANI, KUNA MTIHANI WA MRUSI DHIDI YA CHINA 🇨🇳 JE MAREKANI ATAFANIKIWA…!? Cc. @jr_farhanjr #MeaMswahiliUPDATES
Indonesia
3
4
35
2.2K
mng'anzagala
mng'anzagala@kitindisemitz·
@sukununu01 Sio zamani juzi tu wakati vita haijaanza wachambuzi wanajua wenyewe tafiti walitoa wapi
Indonesia
0
0
0
27
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Zamani tuliaminiswa jeshi la Israel 🇮🇱 ndio jeshi imara kuzidi majeshi yote duniani
SUKUNUNU 🇹🇿 tweet media
HT
39
9
212
11.9K
mng'anzagala
mng'anzagala@kitindisemitz·
@AlexSamoja Tatizo kubwa na tunapenda kusifia vya watu hili bara nikama limepata uhuru mwaka uliopita kwa mambo yake
Indonesia
0
0
0
61
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Kwanini mabara mengine kama Asia, Europe na North America watu wanapenda sana nchi zao na wanasimama kuzilinda, Huyu Mwaafrika roho ya upendo kwa bara lao na nchi zao nani aliwapora, ukiulizwa ni nchi gani Africa inaweza kusimama imara na kukataa kupangiwa cha kufanya utakosa jibu, saa hivi vijana wa Africa wako bize kuchambua Technologia ya mabomuya Iran na US, ukimuuliza Technology ya kwenye nchi yake ikoje anabaki kmya 😭👎,
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
2
1
32
2.8K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
IRAN wamewekewa vikwazo vigumu ndani ya Miaka 42 Ila Leo wanakuja kushinda Vita against Marekan na Israel, tena vita ya anga na Technology. Hii ni Aibu Kubwa Marekan na Trump.
Indonesia
15
12
166
5.9K
mng'anzagala
mng'anzagala@kitindisemitz·
@francismtey Hadi sasa Iran ni mbabe mpya.inashndana namataifa mengi na bado yupo vitani
Filipino
0
0
0
13
I AM
I AM@francismtey·
Leo ni siku ya 15 ya VITA Hii imekaaje WACHAMBUZI Wa VITA... Mbabe wa Dunia nimeona Anaomba Msaada ... Binafsi nilijua Vita ishaisha kwa Siku mbili tu... Kwamba IRAN Ndio mbabe mpya? au tumsubiri Mwingine 👀
Indonesia
21
9
191
9.5K
Dr Lwaitama
Dr Lwaitama@lwaitama1·
Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?
Indonesia
55
107
822
28.4K
mng'anzagala
mng'anzagala@kitindisemitz·
@mshambuliaji Hapa ndio tunaujua uhalisia wa kelele zote zile, mwamba ni Iran wengine wamebakiza midomo tu
Indonesia
0
0
0
741
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Marekani imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 (TZS bilioni 26) kwa yeyote atayayetoa taarifa kuhusu viongozi kadhaa wa Taifa la Iran, akiwemo kiongozi mpya wa juu wa nchi hiyo, Mojtaba Khamenei. Sambamba na hilo, Marekani pia inatafuta taarifa kuhusu mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, Waziri wa Ujasusi, Esmail Khatib, Waziri wa Mambo ya Ndani, Eskandar Momeni, pamoja na maafisa wawili wanaohudumu katika ofisi ya Khamenei. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
37
10
336
24.7K
___Aiman
___Aiman@___Aiman90·
@mshambuliaji Taifa kubwa kipindi hiki wamekutana na panyarodi nchi ndogo ndio imekua tishio kwao
Filipino
3
0
6
2.3K
GABBY
GABBY@IamGabby_01·
Jamilah anataka kuzalia yeyote bhana 😎.
GABBY tweet media
हिन्दी
32
34
171
12.8K
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Imagine mtu una ofisi ya uwakala wa pesa ambao service levy tu kwa Mwaka unalipa 150k na bado hawa wanaokusanya taka kila mwisho wa mwezi uwape 5k Kuna namna wafanya biashara tunateseka sana na hizi tozo za serikali.😭🚮
Indonesia
9
16
115
4K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Fatma Hassan alikuwa anasoma Sheria Iran, tena yeye ni miongoni mwa Watanzania Saba waliokuwa wanasoma Jijini Tehran. Yeye na wenzake wamefanikiwa kurudi nyumbani salama ila anasimulia namna ambavyo vita ilikuwa. Fatma anasema mashambulizi yanayofanywa na Israel sio ya kawaida.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
58
34
821
64.1K
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·
Wakati kesi ya UHAINI inaanza kusikilizwa walikuwa na matumaini mengi hadi wakadiriki kusema "Wamejichanganya." pasipo kujua kunae mtaalamu wa darasa huru la Sheria wakili wa serikali nguli kabisa Nasoro Katuga. 🤞✍🏿 The rest Is history, Chiba anakabiwa juu kwa juu 😀😀🤭
Stori za Pombe 👽 tweet mediaStori za Pombe 👽 tweet media
Indonesia
19
18
28
4.9K
millardayo
millardayo@millardayo·
Baada ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuongeza Mtoto mwingine katika Familia yake kwa kumuasili Mtoto Mchanga aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan, Wakili Juma Mwambo, amesema Kisheria Mtoto huyo anatambuliwa kama sehemu ya Familia na ana Haki ya kurithi mali. Mwambo, ambaye ni Mbobezi wa Sheria za Uwekezaji wa Kimataifa kutoka Wintrust Attorneys and Consultants, amesema kuwa mara baada ya mchakato wa kuasili kukamilika kwa mujibu wa Sheria, Mtoto aliyeasiliwa hupata haki sawa na Mtoto wa damu katika masuala ya Familia, ikiwemo Haki ya urithi. Amefafanua kuwa mchakato wa Kisheria wa kuasili Mtoto unahusisha hatua mbalimbali, zikiwemo uchunguzi wa ustawi wa Mtoto, tathmini ya mazingira ya Mlezi anayetarajiwa kumlea pamoja na idhini ya Mahakama ili kuhakikisha maslahi ya Mtoto yanapewa kipaumbele. Hatua hizo, amesema, zinalenga kuhakikisha Mtoto anayelelewa anapata Ulinzi wa Kisheria na malezi salama, huku haki za Wazazi wa asili zikizingatiwa endapo watatokea baadaye. #MilardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
88
17
516
51.4K
Mthesalonike wa KIANDA✍️
Mthesalonike wa KIANDA✍️@KiandaWa14·
Kibongo bongo ukiwasikiliza sana Mama zetu unaweza jikuta unamchukia FATHER bila hata sababu ya Msingi, kuja kuligundua hilo inakuwa ni too late💔🥲
Indonesia
19
32
167
4.6K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Marekani ametoa ruhusa kwa mataifa mengine kununua mafuta kwa Russia 😂😂😂😂 Marekani, Russia na China hawa jamaa inawezekana ni marafiki wa damu wanatuzuga
Indonesia
40
48
950
34.3K
Jçķý
Jçķý@jckyTheBon·
Mwanaume anayechagua kukaa na mwanamke wakati ana mimba ya mwanamume mwingine huyo ndio Gentleman.
Filipino
80
26
181
25.2K