Revline Mbugi

1.2K posts

Revline Mbugi banner
Revline Mbugi

Revline Mbugi

@RevlineMbugi

Naibu katibu mkuu BAVICHA bara 2024-2029.

Iringa Se unió Kasım 2023
690 Siguiendo2.7K Seguidores
Tweet fijado
Revline Mbugi
Revline Mbugi@RevlineMbugi·
Mjumbe kutoka jimbo la kilolo. "Stronger Together"
Revline Mbugi tweet media
Svenska
209
126
2.1K
238.8K
Revline Mbugi retuiteado
Dua Lyamzito
Dua Lyamzito@duahamud·
“Tozo na kodi mbalimbali kwenye mafuta zinazofikia 18 ziondolewe ili kuwapa wananchi ahueni”.Mhe @HecheJohn Makam Mwenyekiti CHADEMA Bara.
Dua Lyamzito tweet media
Indonesia
2
23
105
1.3K
Revline Mbugi retuiteado
Official Bavicha Taifa
Official Bavicha Taifa@bavicha_taifa·
BAVICHA inawatakia kheri ya Pasaka watanzania wote.
Official Bavicha Taifa tweet media
Filipino
1
32
112
877
Revline Mbugi retuiteado
Official Bavicha Taifa
Official Bavicha Taifa@bavicha_taifa·
Huyu ni Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya Kilosa, Kamanda Yohana Kibasa ambae pia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Nyavisi kilichopo Kata ya Ruaha na Jimbo la Mikumi. Hapa ni Msibani kwa Kamanda na Mwanachama wetu Joseph Mlasu aliyefariki baada ya kupata ajari.
Indonesia
3
38
195
4.5K
Revline Mbugi
Revline Mbugi@RevlineMbugi·
Bungala alikua na tabia ya kusema ukweli bila kujali watawala wataupokeaje na pia hakujali upande aliopo watamuonaje, tunaoviongozi kwenye nyanja mbalimbali hawawezi kusema ukweli hata wananchi wao waliumizwa na Serikali. Pumzika kwa Amani Mzee wetu Bungala.
Indonesia
2
18
114
2.6K
Revline Mbugi retuiteado
Official Bavicha Taifa
Official Bavicha Taifa@bavicha_taifa·
TAARIFA KWA UMMA.
Official Bavicha Taifa tweet media
Indonesia
1
30
130
1.6K
Revline Mbugi retuiteado
Official Bavicha Taifa
Official Bavicha Taifa@bavicha_taifa·
Usikose kumfuatilia Katibu Mkuu wa BAVICHA Taifa @duahamud mapema kesho.
Official Bavicha Taifa tweet media
Indonesia
1
22
86
1.2K
Revline Mbugi retuiteado
Official Bavicha Taifa
Official Bavicha Taifa@bavicha_taifa·
Viongozi wa BAVICHA Taifa wakiongozwa na @AdvMahinyila wamekutana na Kamati ya Uratibu ya BAVICHA Kanda ya Pwani kwaajili ya kijadili Mambo yanayohusu Vijana hususani wa Kanda ya Pwani.
Official Bavicha Taifa tweet mediaOfficial Bavicha Taifa tweet mediaOfficial Bavicha Taifa tweet media
Indonesia
1
42
180
2.9K
Revline Mbugi retuiteado
Dua Lyamzito
Dua Lyamzito@duahamud·
Mwenyekiti wetu wa vijana Mkoa wa Iringa aliyepotea mikononi mwa polisi mpaka leo kimya.Hii hali haitakubalika na wala hatutanyamaza.Tunawataka Jeshi la polise limuachie Ibrahimu au limfikishe mahakamani.Kelele yetu itakuwa kubwa soon. #FreeHimNow
Dua Lyamzito tweet media
Indonesia
7
38
153
1.6K
Revline Mbugi
Revline Mbugi@RevlineMbugi·
A dog may bark at the moon, but the moon cannot fall down. Aluta continua.
Revline Mbugi tweet media
English
2
4
38
692
Revline Mbugi retuiteado
Official Bavicha Taifa
Official Bavicha Taifa@bavicha_taifa·
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa @AdvMahinyila ameungana na Mwenezi @FeliusFesto pamoja na Mwenyekiti BAVICHA Mkoa wa Manyara Josephine na Mwenyekiti Mwenyeji Machira kufuatilia mwenendo wa Kesi inayomkabili Aliyekuwa katibu mkuu BAVICHA 2019-2024 kamanda Yohana Kaunya Mkoani Mara.
Official Bavicha Taifa tweet mediaOfficial Bavicha Taifa tweet media
HT
3
59
321
4.9K
Revline Mbugi
Revline Mbugi@RevlineMbugi·
"Chozi la Mwanamke halina rangi ya Chama, Dini au Kabila ila Limebeba laana ya kijamii.Leo hii inatokea kwa CHADEMA, kesho yanaweza kutokea kwenye Dini au Kabila au kwa alienacho na asienacho" #HappyWomensDay kwa wanawake wote wanaopambania #HakiNaUsawa.
Indonesia
2
26
94
1.2K
Revline Mbugi
Revline Mbugi@RevlineMbugi·
"Miaka yote mabinti wa CHADEMA tumekua tukiungana na mama zetu wa @BawachaTaifa kusherekea siku ya wanawake duniani, lakini mwaka huu imekua tofauti wanawake wamenyanyaswa na vyombo vya Dora chini ya Serikali halamu ili wasisherekee siku yao Muhimu"
Indonesia
4
38
155
3.2K
Revline Mbugi retuiteado
Official Bavicha Taifa
Official Bavicha Taifa@bavicha_taifa·
Leo saa 8.00 mchana,Naibu Katibu Mkuu BAVICHA Bara Kamanda @RevlineMbugi ataongea na waandishi wa habari kutokana na kinachoendelea huko Musoma juu kuzuiliwa kwa wanawake wa CHADEMA kusheherekea siku yao.
Official Bavicha Taifa tweet media
Filipino
0
39
190
1.9K