Felius Festo

3.3K posts

Felius Festo banner
Felius Festo

Felius Festo

@FeliusFesto

Perfect melancholy. Analytical thinker, political analyst. former CHASO regional coordinator, BAVICHA chairperson in kagera region, Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa

MOSHI Katılım Ocak 2022
480 Takip Edilen2.3K Takipçiler
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
Ujinga ni pale baadhi ya watu wanapodhani maridhiano ni ya Serikali ambayo ni CCM na Chadema. Maridhiano ni ya taifa na lazima jamii iliyoathiriwa ishirikishwe kikamilifu. Kubwa kuliko yote haiwezekani yakaendeshwa na watuhumiwa; ni lazima wawajibike ili kulileta taifa pamoja.
Felius Festo@FeliusFesto

Familia zinazotafuta wapendwa wao hadi leo mmemaliza kuridhiana nao? Mama anayetafuta mtoto wake je? Baba anayetafuta mwili wa mke wake je? Watoto wanaowalilia wazazi wao je? Watu waliopoteza viungo vyao mmemaliza kuridhiana nao? Ridhianeni na hayo makundi kwanza wauaji wakubwa.

Indonesia
1
5
42
1.3K
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Familia zinazotafuta wapendwa wao hadi leo mmemaliza kuridhiana nao? Mama anayetafuta mtoto wake je? Baba anayetafuta mwili wa mke wake je? Watoto wanaowalilia wazazi wao je? Watu waliopoteza viungo vyao mmemaliza kuridhiana nao? Ridhianeni na hayo makundi kwanza wauaji wakubwa.
Felius Festo tweet media
Indonesia
14
23
103
6.4K
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Nyie mkipata mshutuko wa moyo kidogo tu mnakufa na bado hiyo hauwakumbushi kutenda mema, kuacha kubambikizia watu kesi, kuomba msamaha na kujisahihisha.
Felius Festo tweet media
Indonesia
5
12
58
1.1K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Naona msimuoneshe hii post Mke wa Lema, na kama ni uongo basi aseme suu tumpe ushahidi! Hawa wadada wawili wote ni Waigizaji na ni marafiki sanaa… Sasa kaka Nabii akaona isiwe tabu ngoja awachangaje?? Stori nimetoa TikTok kwa Gen Z !! Aseme suu tuendelee,!!
Filipino
40
15
88
33.8K
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Ndani ya mahakama ya Rufani Dodoma kwenye mapitio ya Mwenendo wa kesi ya Said Issa na wenzake dhidi ya bodi ya wadhamini na Katibu mkuu wa chama.
Felius Festo tweet media
Indonesia
2
22
167
1.5K
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Ibrahim Myovella alifika kituo cha Polisi kuripoti na wenzake wawili kama sehemu ya mashariti ya dhamana zao, wakamuacha nje bajaji aliyewapeleka kwa ahadi ya kuwasubiria, waliingia kituoni na bajaji alisubiri kwa muda mrefu bila kuwaona wakirejea, @tanpol mumewaficha wapi?
Felius Festo tweet media
Indonesia
4
40
139
3.7K
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Upande wa mashitaka waliamua kukatia rufaa uamuzi mdogo ambao kisheria wanatambua siyo sahihi, walifanya hivyo kama mbinu ya kupoteza muda na kuendelea kumtesa Mwenyekiti wetu @TunduALissu gerezani. Masikitiko ni kwamba mahakama imekubali kuingia kwenye mtego huo. #FreeLissu
Felius Festo tweet media
Indonesia
11
30
88
2.3K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Tumeagizwa Upendo❤️❤️. Eid Mubarak.
Eesti
8
5
35
1.7K
DON MINJA
DON MINJA@donminja47·
@FeliusFesto @CoolestDudeOnX @TitoMagoti @Pcombo2407 Vp Mnyaturu Mropokaji Hodari alivyotetewa pamoja na machoko na Bunge la Uropa ulifikiri ni wa akina nani? Kama hawajakuweka kwenye huo mfumo mchafu sepa Vijana wote walio kwa Mwanasarungi Nairobi tayari ksbisa wanalipwa dola 700 kwa mwezi
Indonesia
1
0
0
14
PaYRoLL🗽
PaYRoLL🗽@CoolestDudeOnX·
"Ngorongoro tumewapa ndugu zetu waarabu wawekeze." Ndio maana kulikua na arbitrary eviction ya wamasai ili "ndugu zetu" waarabu waweke ofisi zao pale kwa muda usiojulikana. Are we really okay??
Indonesia
33
110
664
24.1K
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Ikawe njema kwenu nyote
Felius Festo tweet media
Indonesia
0
1
8
139
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Huyu jamaa hivi bado tu hajapelekwa mahakamani?
Fortunatus Buyobe tweet media
हिन्दी
76
62
664
28.9K
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
@judiciarytz Zimepita wiki mbili kesi ya Mhe Lissu ilipokatiwa rufaa na serikali Court of Appeal TZ. Msajili wa mahakama hajaipangia tarehe. Hili ni jambo linalohusu haki na maisha ya raia lenye public interest Mahakama inawezaje kuishawishi jamii kuwa ni chombo cha kutenda haki?
Mamwavi_Nkabasia tweet media
Indonesia
6
36
103
2.4K