Sabitlenmiş Tweet
Revline Mbugi
1.2K posts

Revline Mbugi
@RevlineMbugi
Naibu katibu mkuu BAVICHA bara 2024-2029.
Iringa Katılım Kasım 2023
690 Takip Edilen2.7K Takipçiler

youtu.be/fcbUGvMc5ok?si… Uminywaji wa haki za binadamu, ukandamizwaji wa Democrasia,wajibu wa Vijana.

YouTube
Indonesia

"You can't build an alter of reconciliation on the foundation of abduction, torture and blood."
#FreeLissu
#KijanaNaKatiba
#KatibaMpyaNisasa

English
Revline Mbugi retweetledi

Naibu Katibu Mkuu Bara, Kamanda @RevlineMbugi atakuwepo kwenye baraza la kidigital.Usikose kufuatilia.
#LissuSioMuhaini
#FreeTunduLissuNow

Indonesia
Revline Mbugi retweetledi

“Tozo na kodi mbalimbali kwenye mafuta zinazofikia 18 ziondolewe ili kuwapa wananchi ahueni”.Mhe @HecheJohn Makam Mwenyekiti CHADEMA Bara.

Indonesia
Revline Mbugi retweetledi
Revline Mbugi retweetledi
Revline Mbugi retweetledi
Revline Mbugi retweetledi

Revline Mbugi retweetledi

Viongozi wa BAVICHA Taifa wakiongozwa na @AdvMahinyila wamekutana na Kamati ya Uratibu ya BAVICHA Kanda ya Pwani kwaajili ya kijadili Mambo yanayohusu Vijana hususani wa Kanda ya Pwani.



Indonesia

youtube.com/shorts/TugbQVG…
Upendo na Heshima hudumu kwa matendo mema, mabavu na vitisho havijawahi Kuwa rutuba ya Upendo.

YouTube
Filipino
Revline Mbugi retweetledi

Mwenyekiti wetu wa vijana Mkoa wa Iringa aliyepotea mikononi mwa polisi mpaka leo kimya.Hii hali haitakubalika na wala hatutanyamaza.Tunawataka Jeshi la polise limuachie Ibrahimu au limfikishe mahakamani.Kelele yetu itakuwa kubwa soon.
#FreeHimNow

Indonesia
Revline Mbugi retweetledi

Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa @AdvMahinyila ameungana na Mwenezi @FeliusFesto pamoja na Mwenyekiti BAVICHA Mkoa wa Manyara Josephine na Mwenyekiti Mwenyeji Machira kufuatilia mwenendo wa Kesi inayomkabili Aliyekuwa katibu mkuu BAVICHA 2019-2024 kamanda Yohana Kaunya Mkoani Mara.


HT

"Chozi la Mwanamke halina rangi ya Chama, Dini au Kabila ila Limebeba laana ya kijamii.Leo hii inatokea kwa CHADEMA, kesho yanaweza kutokea kwenye Dini au Kabila au kwa alienacho na asienacho"
#HappyWomensDay kwa wanawake wote wanaopambania #HakiNaUsawa.
Indonesia

"Miaka yote mabinti wa CHADEMA tumekua tukiungana na mama zetu wa @BawachaTaifa kusherekea siku ya wanawake duniani, lakini mwaka huu imekua tofauti wanawake wamenyanyaswa na vyombo vya Dora chini ya Serikali halamu ili wasisherekee siku yao Muhimu"
Indonesia








