
@HakiBalozi255 @IAMartin_ Unaridhiana kitu gani Odero ? Yani mtu kakuibia na kuuwawa baadhi ya watu ktk familia yako ,,wewe unataka uridhiane nae ?be serious kidogo hata kama unataka cheo ,,,CCM ni magaidi na sehemu pekee wanayo paswa kuwa ni jela sio kutwambia eti maridhiano.
Indonesia






























