Eng.S.Chambo
33.3K posts

Eng.S.Chambo
@Eng_chambo
Mechanical engineer|fabricator|sgt ltd owner| former oil & gas specialist|heavy equipment operator.



( Mfumo wa Afya ) Ukielewa kuwa mfumo huu Unaratibu Magonjwa Lakini hauzuii magonjwa Unaacha Kukabidhi Afya Yako Mikononi Mwa Mfumo Unaanza kujali: ↳ Tabia zako ↳ Usingizi wako ↳ Mwili wako (movement) ... FRANCIS | ABRACADABRA







Chuo cha DIT kimesema Agosti 1, 2026 kitarusha Satellite Angani, ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa Ujuzi, Ubunifu na Teknolojia. Hii itakuwa ni Satellite ya kwanza kurushwa angani hapa Tanzania.

name something you NEVER feel guilty spending money on

@ze_mandevu Kurudi ni free fall mzee sabab unakua unavutwa na gravity ya dunia hauhitaji rocket ambayo itatumia mamilion ya liter za mafuta unahitaji tu chombo kinacho weza kuvumilia kukatiza angahewa ya dunia (ozone layer) bila kuungua then unadondoka baharini








