OLOFU
3.7K posts


@OLOFU09 @RaphaelMheta S23 ultra full display inazidi hiyo
Català

@anuskills3 Hii jezi aliyovaa bruno qmkk nitainunua nkaoshee chuo Test 2😅😂😂🙌🏾
Eesti

Haya letee kama hii.😂🔥

John kalage 🇹🇿@kalage_jr
Bruno anaweza kudhani Rice kabeba mtungi wa gas😃
Indonesia

@anuskills3 Sema hawa Wachezaji wa As far miguuni hawana kitu....first touch,dribbling za wachezaji wote wa As far sio nzur
Čeština

“I cant wait to return to Manchester utd”
Onana akionekana mwenye furaha baada ya mkataba wake wa mkopo utakao malizika mwezi june, katika klabu ya Trabzonspor ya nchini Uturuki na alipoulizwa na waandishi wa habari kuhusu future yake alisema huku kutabasamu kua yey bado ni mchezaji wa man u ana hamu sana yakurejea kwenye klabu yake
Nimemiss maisha ya England na ligi ya Epl, nimemiss Watu, na hasa Mashabiki uzuri najiona kukua na kuimarika zaidi hivyo nipo tayari kurejea kupambania badge ya manchester onana akamaliza
Onana hata sisi tumekumiss baba, rudi uendelee kutupa burudani😄

Indonesia

@George_Ambangil @AliceTalksFooty Mjamaa wewe unamkubali baleba😂😂😂🙌🏾🙌🏾
Sijui anakuvutia wapi?
Eesti

@AliceTalksFooty Third choice should be either of Alex Scott or Baleba
English

@meamswahili 😂😂😂😅Kama hutaki kufanyiwa sub kwenye mpira unda team yako uwe kocha mchezaji
Indonesia

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Kutolewa kwa METACHA ni Taswira mbaya kwa mpira wetu na kwake binafsi kama mchezaji….. Haya ni Matusi makubwa saaana, leo hii imeondoka kutukanwa na mashabiki sasa wanatukana WAKUFUNZI.
.
Alifungwa Goli Yona Amosi wakatukana saana, akafungwa GOLI Kassali watu kimya, alifungwa DIARA kimya leo Kafungwa METACHA anadhalilishwa….. Ukiwa KIPA MZAWA kuna Shida kubwa saanaa.
.
Mpira wa MIGUU TANZANIA unatukawa na kuvuliwa NGUO, Kuna matusi mengi hapaa hata nyie mnaweza kuchambua kwangu mimi niliepo UWANJANI nimeumizwa.
.
CHAMBUENI……..
.
NB:
Matatizo na mafanikio mengi ya mpira wetu yatatokea MKOANI SINGIDA..!
✍️|| Biko Scanda
#MeaMswahiliUPDATES

Indonesia

@George_Ambangil @Bob_sanchoo @WideEdson @ManUtd Nitaomba dua zote msimpate anderson
Mtatutesa sana kwenye vijiwe🙌🏾😂
Fernandez lipo aggressive sana ndo anawafaaa Manjesta😅
Filipino



















