ambu john

10.1K posts

ambu john banner
ambu john

ambu john

@ambujohn

Chamazi Temeke Tanzania Inscrit le Ekim 2012
2.4K Abonnements2K Abonnés
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
@Ibrah_Sheby Sasa hapo mjomba huomzigo ukute hata ofisini hawajui.,umebeba Adjust 😅
Filipino
2
0
1
467
IbRaH
IbRaH@Ibrah_Sheby·
Moja kati ya baraka ambazo dereva lorry anaziomba kila siku😅,,hapa mjomba angu @EngMapundajr na ndugu zake Tanroads wanasonya tu😅
IbRaH tweet media
Indonesia
10
4
102
5.1K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Wazee wa kuzingatia Brand na Quality ,ni TCL au HISENSE..?😳🤔
HT
77
38
440
44K
ambu john
ambu john@ambujohn·
@EngMapundajr Anko kumekucha tayari watu watutoe akili ili mambo yetu yaende
Indonesia
0
0
0
12
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Kumekucha Anko Zangu..,Goodmorning X Fam ...!! 🙏🏿🙏🏿
Eng.Mapunda Jr tweet media
Polski
55
46
176
5.2K
dirty11
dirty11@krazydrazy100·
@prossoff Nyanda za Juu kuoa Single Mothers ni kitu cha kawaida mno kuna tatizo kubwa sana kwa Wanaume wa Nyanda za Juu wengi wanaoa Single Mothers na Malaya weupe wa Mbozi, Kondoa( Warangi) Wanyaturu na Wambulu wanaokuja huku kuuza Baa
Indonesia
5
0
7
1.5K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Nimetoka kumuelekeza jamaa yangu jirani hapa ALIYEOA SINGLE MOTHER mwenye watoto wawili wakati yeye hana mtoto. Aache na akome kutumia simu ya mdogo wangu ku BET Nimemueleza sitaki mdogo wangu azoee michezo ya kubet. Dogo ndio kwanza kamaliza form four, sitaki aanze wizi mapema. Amenielewa na amesema harudii.
Indonesia
21
22
332
15.3K
ambu john
ambu john@ambujohn·
@EngMapundajr Alafu usiombe kazi iwe ya kuajiliwa utaomba bora usingepata kazi
Indonesia
1
0
4
592
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Mzazi mwenzio akiwa anasubiri upate kazi ili akupeleke ustawi wa jami.😂😆😆
Eng.Mapunda Jr tweet media
HT
80
109
931
18.3K
ambu john
ambu john@ambujohn·
@EngMapundajr Kmmmk watu wabaya sana mpaka anko wamekuloga sio mchezo
Indonesia
1
0
1
235
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
@iMajeshi_ @Tweener003 Noma sana mzee..,hawa wachache wanaharibu reputation ya wale wenye sifa nzuri humu..,Next time fanya biashara na huyu mchaga @NjiwaFLow hana Makuu.👊🏿
Indonesia
6
3
36
2K
TOXIC DAWG
TOXIC DAWG@iMajeshi_·
Wafanya biashara wa Twitter jitahidini muwe waaminifu mkiaminiwa. Bro kamzurumu hela mshikaji wangu halafu ni hela ndogo sana. Mshikaji wangu alitaka Pixel 7 pro, nikamuunganisha na jamaa (Mlinganya mabikira) wakakubalia atamuuzia Pixel 7 pro kwa 620k. Baadaye Mlinganya akamwambia kuna Pixel 8 pro anaiuza kwahiyo amuongezee 50k iwe 670k ili amuuzie 8 Pro mshikaji wangu akakubali. Mzigo umefungwa, umetumwa mshikaji wangu kuupokea anakuta ni pixel 7 pro ila kwenye jina la simu Mlinganya na genge lake wamebadilisha jina wakaweka (Pixel 8 pro) japo model ya simu haiwezi badilika (Na wanalijua hilo) Bro alijua anamuuzia mporipori ambaye haelewi kuhusu simu, sasaivi anapigiwa simu arudishe hela (ambayo ni 50k alioongezewa ili alete pixel 8 pro) jamaa hapokei simu mara anajifanya anaumwa, mara "ntakutumia" halafu anakausha, meseji hajibu, mara hapatikani. NimemDM tangu juzi kati hapa hajibu. Aliwahi kuniuzia simu ila kwa sababu kamzurumu rafiki yangu siwezi kumuamini tena. HUYU NI TAPELI NA KAMA SIO, BASI ANA DALILI ZA UTAPELI HAAMINIKI.
TOXIC DAWG tweet media
Indonesia
112
66
324
46.8K
ambu john
ambu john@ambujohn·
@TBoundBuses Hapo kawaida tuu maana treni inaweza kukaa hata nusu saa hapo hiyo ya gongo la Mboto
Filipino
0
1
0
1.1K
akili
akili@akilnyingi·
Watu wenye hela kummako zenu mkizoesha hawa mademu kuwapa hela na kuwapeleka sehemu za gharama WAOENI,, huyu namtongoza ananiambia twende dinner date nikaongee shida zangu wakati mm nimezoea dinner date anakuja kuilia geto💔🙌
Indonesia
9
15
92
2.5K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Dada Wanaume wote ni waaminifu huyo anaye kusumbua sisi hatujui Umemtoa wapi 😹😂😂🙌🏿
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
29
33
125
2.1K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kuna wale marafiki zako umewa save kwenye simu yako wakikupigia au ukiwapigia hauwezi kuweka loudspeaker unajua tu neno la kwanza lazima aongee upuuzi au atukane. Ukipokea tu simu yake neno la kwanza utasikia anasema " we mbwaaa niambie " 😃😃
Indonesia
15
31
287
5.8K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Mtag rafiki yako ambaye tangu umemjua hajawahi kuwa single, hata akiachwa saivi bado hatokuwa single. 😂😂🙌🏿
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
30
28
111
2K
ambu john
ambu john@ambujohn·
@GodemaE Anko nilivyiona vidio nikasubiri kuona hub mnyama huyu
Indonesia
0
1
1
98
ambu john
ambu john@ambujohn·
@EngMapundajr Anko hii stori ya kweli ambayo imenikuta mimi wakati huo anawaambia watu wake mimi naishi naye nikiingia kazini yeye anatoka maana nilikuwa natoka saa kumi usiku kila siku mwaka mzima narusi saa nne usiku acha kabisa anko ni vile tu basi sasa hivi kanipeleka mahakamani nina kesi
Filipino
1
0
2
59
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
@ambujohn Kubabake sema Anko hiki kisa chako utusimulie siku moja kuna ya kujifunza humu
Indonesia
1
0
0
157
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Mpenzi Wako Huko Kazini Kwake Akiulizwa Mumeo hajambo Anajibu Umenipa wewe Huyo Mume..😅😅😅
Indonesia
93
126
769
21.6K
ambu john
ambu john@ambujohn·
@Adventure_36 Ni maneno yako anko sio yangu mke mmoja anatosha sanaa hilo ziwa Victoria wacha waogelee wengine
Indonesia
0
0
0
9
ambu john
ambu john@ambujohn·
@EngMapundajr Pale alipoanza kutoa siri za nyumbani kuja kumwambia bosi wangu ili nifukuzwe kazi aingie yeye
Suomi
1
0
1
9
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Kitu gani kilifanya ugundue RAFIKI yako sio RAFIKI yako.?😅😅😅
Indonesia
9
0
18
411