Projectors! We are not meant to fit in!
You were designed to stand out to see differently, feel deeply, guide wisely. To be playful, expressed, imaginative, radiant, and wildly YOU.
@francismtey Hii imetokea juzi kati hapa.
Kuna mtoto wa mama yangu mdogo yuko form four alimuuliza mchungaji, sadaka tunazotoa zinaenda wapi. Dogo baadae baada ya ibada aliitwa akaambiwa kuwa makini dogo utaniharibia punguza maswali.
Ulishawahi Kujiuliza
Kwanini "DINI" zinakataa
Kuuliza Maswali
Yaani namaanisha KUHOJI.
Wewe ni wa kukaa Na kuwa-
Sikiliza wanachokwambia
na Unatakiwa Ukubali
hata kama Hakimake Sense.
Mfano; Wanatuambia
"MUNGU ( ANAKAA ) kwenye kiti cha ENZI"
Alafu wanatuambia Tena...
"Mungu ni Roho"
Sasa Hoja ni kwamba.
Kinachoweza Kukaa Chini
ni Chenye "Physical Body" - MWILI
Sasa ROHO inawezeje kukaa
kwenye Kiti na wakati haina MWILI?
👀
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Ukishapoteza au kuharibu tu ile charger ambayo uliinunua pamoja na simu kuna vihela vya kijinga sana hapo vitakuwa vinatoka tena muda ambao hutegemei 😂
Dunia haimtambui mnyonge mwanangu, pambana sana bila excuse, panapohitaji damu usimwage jasho, panapohitaji Mungu usipeleke dumba, panapohitaji Chale usipeleke Fungu la kumi. Panapohitaji Cash 💸 usipeleke Barua ✅️
Ikitokea umepoteza basi poteza kama Kylian Mbappe au Iran 🇮🇷
Wengi huniita mshamba kwa sababu zifuatazo👇
1. Siwezi kumsema vibaya mwanamke nilioachana nae.
2. Siwezi kuwa na mademu wengi kama wao 10+.
3. Sio mambo yangu kukesha kila siku club mpaka asubuhi.
4. Sipendi kununuliwa kitu na mwanaume mwenzangu
Je na wewe ni mshamba...
Afrika tuna safari ndefu sana kuwa kama Iran.
Mtu anaweka bendera ya Israel kwenye Gari lake mbele akiamini inamkinga na ajali za barabarani.
Anaweka bendera kwenye nyumba yake akiamini itamfanya afanikiwe kimaisha na kumkinga na mikosi.
Swala la Imani ni pana sana
#BilaGanzi
Unajua hii? Lemongrass
Scientifically known as Cymbopogon citratus, lemongrass is a powerful, aromatic herb loved for both its refreshing citrus flavor and its amazing wellness benefits especially during chilly weather.
Helps relieve flu and cold symptoms
Supports immunity
Soothes sore throat and cough
Aids digestion and reduces bloating
Naturally warming and relaxing
A simple cup of lemongrass tea can help you feel refreshed, relaxed, and warmed from the inside out. Just boil fresh stalks in water, add a little ginger or honey, and enjoy a comforting herbal drink on cold mornings or evening