Bavovna

5.2K posts

Bavovna

Bavovna

@dandy12_

Dar es Salaam, Tanzania Inscrit le Şubat 2011
1.3K Abonnements493 Abonnés
Bavovna retweeté
Kremlin
Kremlin@therealsemsii·
Mbowe ni mtu mmoja mshenzi sana.
Indonesia
3
13
53
1.2K
Bavovna retweeté
SIMA
SIMA@abelsima45·
"Majaji ni maccm, majaji ni watu wa raisi, majaji wanajipendekeza pendekeza kwa raisi ili wachaguliwe kwenye Tume, kwenye Tume ndo kuna hela" Hon. Tundu AM Lissu.
Indonesia
0
17
56
515
Bavovna retweeté
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Huyu ni kijana wa Kitanzania akipigwa na vijana wa Afrika Kusini.. Huyu ameenda kutafuta maisha kwasababu hapa kwetu haoni kesho yake.. Ameacha Nchi pekee yenye Tanzanite Duniani, Nchi ya tatu kwa dhahabu, Nchi yenye gesi, makaa ya mawe, chuma na ardhi ya kutosha, ameacha maji na mbuga za wanyama.. Leo anafanyiwa hivi na watu ambao walipata hifadhi yao hapa wakati wakipigania Uhuru wao.. Leo Nchi yetu iko mikononi mwa kikundi kidogo na wachina huku vijana wetu wakifanywa kama mbwa kwenye Nchi za wageni.!!! Nimeumia sana x.com/jimNjue_/statu…
Filipino
24
67
313
11.4K
Bavovna retweeté
Ellen Johnson Sirleaf
Ellen Johnson Sirleaf@MaEllenSirleaf·
In my role as Patron of the @AWLNetwork, I joined former Ethiopian President @SahleWorkZewde and Executive Director, Joyce Mends-Cole on a network visit to Dar es Salaam, at the invitation of President @SuluhuSamia of Tanzania. We engaged stakeholders to better understand the causes and implications of the October 29 unrest.
Ellen Johnson Sirleaf tweet mediaEllen Johnson Sirleaf tweet mediaEllen Johnson Sirleaf tweet media
English
48
19
86
9.6K
Bavovna retweeté
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Pres @SuluhuSamia: Hawa (pichani) wako jela kwa makosa makubwa ya ugaidi kwa maelekezo ya Sabaya na genge lake, wanadai. Walikamatwa Hai wakati wa uchaguzi wakihusishwa na CDM & Mbowe. Waliteswa sana - see how weak they were, & the scars. Wako jela Segerea.
Tito Magoti tweet mediaTito Magoti tweet media
Indonesia
165
464
2.2K
0
Bavovna retweeté
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Je, wale waliopoteza viungo vyao vya mwili? Waliokatwa masikio? Waliogongwa misumari miguuni? Waliofanya ukatili wa kutisha kama kulawitiwa wakati wakimtetea Mzee MBOWE akiwa mbunge wa HAI, wamepewa faraja au kuombwa msamaha? Wengine walilazimika kutelekeza familia zao na kuwa wakimbizi kwa kuhofia usalama wao. Hali hii inajenga picha kuwa Mzee MBOWE ameweka maslahi yake binafsi mbele na kusahau gharama kubwa waliyolipa wafuasi wake. Hii ni dhihaka kwa watu wote ambao waliwahi kuamini katika njia zake. Hii inatuogopesha ambao tumewahi kumpambania hadharani. Hata hivyo, SABAYA anatakiwa kuomba msamaha mwenyewe, siyo kuombewa msamaha. Kimsingi, msamaha ni jambo la kibinafsi na la kimaadili kati ya mtu aliyekosea na yule aliyekosewa. Msamaha wa kweli unahitaji sauti ya mkosaji mwenyewe.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
108
212
793
29.3K
Bavovna retweeté
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹
tume ya chande siyo tu imewachora watanzania kama mijitu fulani mijinga na isiyokuwa na uwezo wa kufanya ‘rational thinking,’ lakini pia kama mikatili iliyodhamiria kusababisha maafa. zaidi 👇
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹 tweet media
Indonesia
10
41
128
3K
Bavovna retweeté
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kuanzia leo Odero Odero sio mwanachama wa CHADEMA. Hongereni sana Tawi la Olovisa japo mmechelewa sana kumfukuza huyu msaliti. Chadema sio kijiwe cha wasaliti aende akaungane na wasaliti wenzake.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
59
165
741
23.6K
Bavovna retweeté
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
@prossoff Chama Cha CHADEMA Kwa Watanzania Ni Imani Kama Ilivyo DINI Kamwe Hakiwezi Kufa Chadema Ilisimikwa Rasmi Kwenye Mioyo Ya Watanzania Mwaka Jana Mwezi January Sijutii Muda Wangu Na Bundle Langu Nilivyotumia Kupush Kampeni Za TUNDU LISSU Na JOHN HECHE Washinde Ule Uchaguzi.
Indonesia
23
85
487
5.9K
Bavovna retweeté
#NiYeye
#NiYeye@InnocentJLS·
Kuna wakati Lazaro Nyalandu alitaka kuwa Mwenyekiti wa Chadema😭
Filipino
25
27
426
14.9K
Bavovna retweeté
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Chaula Ndugu yetu!! Mungu akasimame na wewe daima!
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
8
72
501
5.4K
Bavovna retweeté
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
This interview imetusaidia sana mno Nyalandu amekuwa cooked kwenye international media inayofuatiliwa sana Uzuri kwetu na ubaya kwao lazima watembee na hii narrative ya Nyalandu ambayo ni mbovu na imeoza
Indonesia
13
64
299
11.5K
Bavovna
Bavovna@dandy12_·
Mbowe yuko tayari kukaa pamoja na Sabaya ila kufungua kinywa chake kupinga uonevu dhidi ya Lisssu ndo amechora mstari
Indonesia
0
0
3
13
Bavovna retweeté
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
Sitaki kisingizia Ubinadamu lakini ni nature ya Binadamu kukosea, kati ya MAKOSA nimefanya tangu niwe na 21yrs + ni Kujitia nahama CHADEMA. Na kati ya maamuzi sahihi nimefanya ni kutoka Chaumma na kwa haraka nikaomba kurudi CHADEMA. Nafsi yangu imeturia, roho yangu ni nyeupe.
Vitus Nkuna tweet mediaVitus Nkuna tweet media
Indonesia
102
163
920
34.9K
Bavovna retweeté
Sammy Awami
Sammy Awami@awamisammy·
Katika makala hii, nimejaribu kujenga hoja kadhaa juu ya kilichotokea wiki ya uchaguzi na kinachotukabili kama nchi; 1) Si cha kipekee kwa Tanzania tu. 2) Si kweli kwamba kimesababishwa na wapinzani na wanaharakati. 3) Si kweli kwamba vijana walilipwa kwenda kuandamana. 4) Vijana wana mahitaji ya dhati na ya msingi lakini hawaoni kwamba kuna mtu ana nią ya dhati ya kuyatatua. 5) Hichi ni kizazi cha tofauti; kinajua kinachotaka, na kina ujasiri wa kukidai kutoka kwa serikali/viongozi/watawala, ikibidi hata kwa njia zisizo za kawaida.
Indonesia
45
429
1K
26.4K
Bavovna retweeté
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
Kwa yeyote amjuae huyu mama au ana mawasiliano yake au watu wa karibu wanaoweza kumpata naomba utusaidie. Mtoto wake aliuawa October 29, mama alihudhuria graduation ya mtoto na hiyo picha. Wapo wanaopendezwa kumjulia hali na kusaidia na kuwa wanae wapya. Tafadhali Retweet 🙏🏽
Spana & V.A.R Movement tweet media
Indonesia
34
425
1.3K
22.6K
Bavovna retweeté
GASTON SHUNDO GARUBINDI
GASTON SHUNDO GARUBINDI@ShundoGaston·
BUNDA UPDATE 24/ 04/2026 Mungu ni mwema, tumepata dhamana ya Kaunya na wenzake 4 sasa yuko nje kwa dhamana baada ya kuwa mahabusu kwa kipindi cha miezi sita. Watuhumiwa wengine 3 dhamana zao zitakamilika siku ya Jumatatu tarehe 27/04/2026. Tunawashukuru kwa maombi yenu.
Filipino
16
121
464
6K