Swedy Jr

7.2K posts

Swedy Jr banner
Swedy Jr

Swedy Jr

@SwedyJr2

Gamer 🎮||Content creator ✍️ ||Advance Driver Grade 2 🚗 ||Simba sc Fans||Chelsea Fans|| Man of the People|| Shah Rukh Khan fans|| I ❤ Allah||

Tabora, Tanzania शामिल हुए Şubat 2022
2.5K फ़ॉलोइंग4.1K फ़ॉलोवर्स
Swedy Jr
Swedy Jr@SwedyJr2·
@George_Ambangil Ndugu yako Edo hajakupa mualiko wa Jmosi? Ila hawataki outfit ya PSG
Indonesia
0
0
1
106
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Sema wakuu ukiweza kuishi Tabora na Katavi basi kwa TZ hakuna mkoa utakushinda ..🔥😂😂🙌🏿
Indonesia
48
38
453
18.5K
Wa mipango
Wa mipango@JosephKakolo·
@SwedyJr2 @said9817143 @EngMapundajr Kaka uchawi mwingi kule, wapo waliojaribu kufanya hivyo ila mwisho wa siku wamekumbwa na mambo ya hovyo hovyo, kule sijui kuna laana yaani nashindwa hata kuelewa.
Indonesia
2
0
0
9
Swedy Jr
Swedy Jr@SwedyJr2·
@JosephKakolo @said9817143 @EngMapundajr Miongoni mwa watu aliye jitahidi sana kupanyanyua Ussoke Mlimani ali kuwa mkandala miaka hiyo mm namalizia Kusoma Ussoke hapo na ali jaribu kuwekeza ila kilichokuja mtokea ali haribu maisha yake nahisi ndio funzo watu wengi huogopa kurudi kuwekeza nyumbani
Indonesia
1
0
0
28
Wa mipango
Wa mipango@JosephKakolo·
@SwedyJr2 @said9817143 @EngMapundajr Kaka ndiyo maana mimi nikienda kule simalizi siku 3 nimekwambia, kwanza lile vumbi mpaka unasema mhuu!! Au niko jangwani nini!! 🤣
Filipino
1
0
0
10
Swedy Jr
Swedy Jr@SwedyJr2·
@JosephKakolo @said9817143 @EngMapundajr Dah kweli sema ile kata ina wasomi wengi na wakubwa sana haswa pale Ussoke Mlimani anzia kwa familia ya Muyango sema mkitoka mmetoka hamtaki kuja kuwekeza kusaidia vijana na uchumi wa huko panazidi kuwa pabaya tu
Indonesia
1
0
0
10
Swedy Jr
Swedy Jr@SwedyJr2·
@JosephKakolo @said9817143 @EngMapundajr Sasa mzee Yelayela na Msengesi tofauti yenu nini? Si bora Yelayela wako na irregation Scheme kubwa ya Mpunga sema wale uswahili sana hawaoni hiyo fursa nyie huko msengesi hamna lolote kule
Filipino
1
0
0
9