@said9817143@EngMapundajr Kaka yaani ukirudi unabaki unashangaa hivi hawa watu wanaishije ishije huku mbona kama ni mateso unasahau kuwa na wewe ulikuwaga unaishi huko!! 🤣
@SwedyJr2@said9817143@EngMapundajr Sisi wengine koo zetu wazee walikuwa hawapendi kujiweka mbele mbele kwenye maswala mazima ya uongozi ndiyo kabisaa!! Yaani ukisimama hivi hakuna anaekujua popote zaidi ya kulijua jina lako la ukoo wako tu, hapo kupewa nafasi hata ya kusikilizwa sahau kaka!!
@SwedyJr2@said9817143@EngMapundajr Kuwekeza nyumbani hasa kule kwetu ni hatari zaidi ya hatari yenyewe, ndiyo maana akaamua kutafuta mamlaka baada ya kuona mambo si mambo. Sasa hivi ni diwani so hii itamsaidia baadhi ya mambo yake kwenda vile anataka lakini tofauti na hapo sidhani kama angeendelea kuwekza huko.
@JosephKakolo@said9817143@EngMapundajr Miongoni mwa watu aliye jitahidi sana kupanyanyua Ussoke Mlimani ali kuwa mkandala miaka hiyo mm namalizia Kusoma Ussoke hapo na ali jaribu kuwekeza ila kilichokuja mtokea ali haribu maisha yake nahisi ndio funzo watu wengi huogopa kurudi kuwekeza nyumbani
@SwedyJr2@said9817143@EngMapundajr Wanufaika zilikuwa ni koo kubwa kubwa kijijini kama wewe ukoo wako ni mdogo basi utakaa unasikilizia hapo hapo ulipo.
@JosephKakolo@said9817143@EngMapundajr Kaka mimi kule nilipita tu katika harakati za utafutaji nikawa sina budi ila nyie ndio kwenu mrudi ku support kwenu
@SwedyJr2@said9817143@EngMapundajr Kaka uchawi mwingi kule, wapo waliojaribu kufanya hivyo ila mwisho wa siku wamekumbwa na mambo ya hovyo hovyo, kule sijui kuna laana yaani nashindwa hata kuelewa.
@JosephKakolo@said9817143@EngMapundajr Dah kweli sema ile kata ina wasomi wengi na wakubwa sana haswa pale Ussoke Mlimani anzia kwa familia ya Muyango sema mkitoka mmetoka hamtaki kuja kuwekeza kusaidia vijana na uchumi wa huko panazidi kuwa pabaya tu
@SwedyJr2@said9817143@EngMapundajr Kaka ndiyo maana mimi nikienda kule simalizi siku 3 nimekwambia, kwanza lile vumbi mpaka unasema mhuu!! Au niko jangwani nini!! 🤣
@JosephKakolo@said9817143@EngMapundajr Sasa mzee Yelayela na Msengesi tofauti yenu nini? Si bora Yelayela wako na irregation Scheme kubwa ya Mpunga sema wale uswahili sana hawaoni hiyo fursa nyie huko msengesi hamna lolote kule
@SwedyJr2@said9817143@EngMapundajr Tumbaku sio, unateseka mwaka mzima halafu pesa unayokuja kuipata inaishia kwenye madeni labda utanunua na baskeli tu basi.
@JosephKakolo@said9817143@EngMapundajr Tumbaku msimu juzi na msimu jana ili wateka sana watu na hicho kipindi raia walipiga hela sana sasa kilicho tokea mwaka huu itakuwa ana jilaumu kwanini ali acha kazi
@JosephKakolo@said9817143@EngMapundajr Isongwa baba pakavu kule mzee hiyo una ongelea kata ya Ugalla ah sio bure karogwa aliona akalime tumbaku ya kujitegemea 😂
@SwedyJr2@said9817143@EngMapundajr Yes nimesoma na kina Bakari Yeye, Edward Muyango (hawa wote ni wa ussoke mlimani). Mwalimu mkuu kipindi hicho alikuwa anaitwa Edwin Mwesiga.
@JosephKakolo@said9817143@EngMapundajr Msengesi na Yelayela kule ni Gaza mzee hakuna center hivyo vijiji alafu Ussoke mlimani kila kitu kipo juu sana na hakuna maji ya Kunywa alafu izimbili kule mzee ukahaba na Umeme ni mwingi mno haswa center ya Mwana Kasele pale