Kama tu aliwahi jiteka ilimradi apige hela za Ford Foundation na zile za George Soros kutoka Open Society Foundations unadhani anaweza kuwa na uchungu wa LISSU kutoka ngome mchuzi wake ukate?
@MariaSTsehai mtu wa deal ndio maana saivi anajiona kama Supreme Leader wa Ufipa 😂😂
CHADEMA KIKIPOTEZA MWELEKEO KIHAMENI - FREEMAN MBOWE
Kuna namna wanachama wa CHADEMA mmeanza kusahau vitu vingi muhimu mlivyowahi kuusiwa na aliyekuwa Mwenyekiti wenu Freeman Mbowe.
Kinachoonekana sasa si kutosahau tu yale aliyokuwa anawaeleza bali hata yeye mwenyewe mmeamua kumsahau na kupuuza ukweli kuwa alikuwa kiongozi aliyewajali na kuwatumikia kwa weledi mkubwa sana.
Alifanya kila kitu kwa kadri ya uwezo wake kwa akili, mali na hata kifikra kuhakikisha kuwa CHADEMA inakuwa hai na yenye nguvu ya kiushindani.
Katika vitu vikubwa alivyowahi kuwausia ni hiki cha kutokulazimisha kuendelea kubaki ndani ya chama ikiwa tu kitapoteza mwelekeo, dira na misingi yake ya asili ya uanzishwaji.
Kinachoumiza ni kuona namna ambavyo leo hii wanachama wanashindwa kusimamia maneno hayo licha ya ukweli kuwa tayari mmeona hakuna mwelekeo wowote wa maana uliobaki kwenye chama hiki.
Tangu viongozi hawa waliopo waingie hakuna matumaini yoyote mapya yaliyoonekana na wala hakuna namna inayonyesha kama bado wako hai kimkakati.
Mpaka sasa kinachoonekana ndani ya CHADEMA ni mitafaruku isiyoisha, migawanyiko na kukinzana kwa kauli na vitendo.
Mbaya zaidi wamefanikiwa kujenga matabaka makubwa baina yao lakini bado wanachama mnasita kuchukua hatua na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu.
Msikubali kabisa kuendelea kutumika wala kupelekeshwa na watu wasio na dira.
Huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu na uamuzi huo ni kufuata kauli na wosia wa Mbowe uliowataka msing’ang’anie taasisi iliyopoteza misingi yake.
Tumieni wakati huu vizuri kabla mambo hayajaharibika zaidi.
MPANGO WA CHADEMA KUICHAFUA SERIKALI HII MITANDAONI HUU HAPA.
Golf Mike Uniform.
Kumekuwepo hofu kubwa miongoni mwa Viongozi wakuu wa Chadema kuelekea kukamilika kwa Ripoti ya Tume ya Ex- JAJI MKUU,Othman Chande.
Hofu hiyo inakuja kutokana na ukweli kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inaweza kutaka uwajibikaji kwa wale wote walioratibu vurugu za Oct 29 kutokana na ukweli kuwa ZIPO kauli za wazi kabisa ambazo zilitolewa na viongozi wakuu wa Chadema kwamba watavuruga Uchaguzi Mkuu wa Oct 29.
Ili kuweza kukabili HOFU hiyo,Chadema wameamua kuja na mpango maalum wa (I)kuizima RIPOTI ya Tume ya Ex Jaji Mkuu Chande.Chadema sasa wanaratibu mpango wa mawasiliano mitandaoni kwa kutoa MAFUNZO MAALUM KWA VIJANA WAO ya jinsi ya kukabilia na Serikali(Demonization Strategy).
IPO HIVI👇🏽👇🏽
Mafunzo hayo maalum yanaratibiwa na watu wawili Ndugu Twaha Mwaipaya na Shija Shibeshi ambayo yanahusisha kuchagua na kuwafunza VIJANA mbinu za mbalimbali za kuishambulia,kuitukana na kuidogosha Serikali ya awamu ya sita mitandaoni.
Miongoni mwa mbinu ambazo vijana hao watafundishwa ni 👇🏽👇🏽
I.Conspiracy Flaming👉🏿 Ni njia ya kutengeneza taharuki kwa wananchi kwa kuunda habari za Uongo zenye lengo la kuichafua Serikali na Mh Rais.
Mfano,Wiki moja nyuma Chadema kupitia kurasa zao za mitandaoni walikuja na habari ya UONGO kuwa Serikali imepanga kumuua Mwenyekiti wa Chadema Tundu lissu kupitia kikosi cha KMKM kutoka Zanzibar atakapokuwa anatoka Mahakamani.
II.Hostile Language and Emotional Manipulation👉🏿ni mbinu ya kutumia lugha za kuudhi dhidi ya Mh Rais pamoja Serikali yake.
Mfano,Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche amesikika jana Radioni akimwita Mh Rais Samia "mwizi" kwani amekopa Trilioni 60 ndani ya miaka yake mitano lakini hazijulikani zimeenda wapi.
III.Scapegoating👉🏿mbinu hii itatumika kwa kumlaumu Mh Rais Samia kuwa ndio chanzo cha changamoto ndani ya Taifa hili.Moja ya tukio ambalo litatumika sana ni tukio la Oct 29 kwamba lilisababishwa na serikali yake mwenyewe.
IV.Deligitimization👉🏿👉🏿mbinu hii itatumika ili kuweza kuinyima uhalali kwanza(I)Repoti ya Ex Jaji Chande na pili(II)Serikali ya awamu ya Sita kwamba wao Chadema hawaitambui.
Wananchi wanapaswa kuelewa kuwa huu ndio mpango ambao ndugu zetu hawa wanakuja nao kwa malengo ya kuichafua Serikali ya awamu ya Sita mbele ya Wananchi.
Sasa Lissu akithibitisha kauli ya wakili Paul Kasabo itakuwaje hapo?
Lema ananufaika nini lissu kuendelea kuwa nyuma ya nondo ukonga?
Chadema kwani haimuamini wakili wa lissu mpaka taarifa zake mziwekee wasiwasi.
Kwa hiyo Lisu sasa anatambua uwepo wa serikali halali au?
#TajiriLaKihaya
Hata kama Arsenal tungeshinda Jana MAN CITY…
BADO ingehitajika tushinde mechi zilizobakia ili tuwe Champions…
Hii Ni Ligi sio KnockOut stage…
Man city anaweza chapwa hata na timu ndogo ambayo hatukuitegemea…
Our hopes are still High…
#COYG
@Thommunkondya@EduTalkTz Eti acheni maisha yaende mmeua WATU wengi kwa makusudi alafu unakujaa kusema acheni liende sisi tupo na nyie Hadi kiama Kuma nyie
@EduTalkTz Mushi tutasema hili mpaka lini.? Tutaliweka hili kama ajenda mpaka lini.? Nini kifanywe cha kufuta maumivu ya hili.? Pamoja na maumivu yote acheni maisha yaendelee mkuu hakuna la kuonya kovu la hili wazee
Chadema inaharibiwa na wanaharakati hasa mwanamke chama kinatakiwa kuongwa na wanasiasa sio wanaharakati asilia 90 wakili wanaeee mpiga vita leo huyo ndio msaada kwa asilimia kubwa wanachama wanapokamatwa mkono wake wa kuwapambania kuwa towa upo
Kama Mwenyekiti wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Songwe, jukumu langu ni kuhakikisha wasomi wanaunga mkono sera, siasa na itikadi ya Chama Cha Mapinduzi huku nikitetea maslai ya vijana.
Songwe ni kijani 🔥💪🏿.Tunduma tunamalizia kuondoa chembe za kaki.
CCM oyeeeee! 💚
@depedrodeniss Nani kaomba kuachiwa huru? Si Lissu kaomba aachiwe na kasema yupo tayari kwa Mazungumzo. Kama serikali ingekua inaotaka kumuachia ingeondoa kesi muda tu kama kesi ya FAM. Jamhuri imedhamiria na ndio maana haimuachii wala haiogopi, Endelea kujifurahisha😀