Sabitlenmiş Tweet
MK47TA
12.9K posts

MK47TA
@MK47TA
Content creator 🖋️ | Media personality 📹 | Diplomatic 💼 | Political analysis 📚 | Author 📝 | PR & Communications 📺 | Allah Akbar
Tanzania Katılım Ağustos 2023
2.2K Takip Edilen1.3K Takipçiler
MK47TA retweetledi

Mkuu nitakutajia viwanda 5 vya haraka haraka katika hiyo hiyo scope. Karibu.
1. Kiwanda cha kuzalisha vioo cha Saphire, Pwani. Uwezo wa Ajira za Moja kwa Moja kati ya 1600-2000 ( viwanda.go.tz/news/tanzania-…)-Uzinduzi, Sept, 2023.
2. Kiwanda cha kuzalisha Sukari cha Mkulazi, Morogoro. Kinatoa ajira za moja kwa moja 5000+ (nukta.co.tz/rais-samia-azi…). Uzinduzi, August 7, 2024.
3. Kiwanda cha kuzalisha Mbolea cha ITRACOM, Dodoma (mzalendo.co.tz/2025/06/28/rai…) Ajira 1800-3000. Muda wa kuzinduliwa ni June, 2025.
4. Tan Sol, kiwanda kikubwa kabisa Africa cha kuzalisha umeme wa nishati jua, kimezinduliwa Dec 10, 2025. More than 3000 direct Job ( youtu.be/7oEa1JP2po0?si…)
5. Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania Limited Meatu mkoani Simiyu kilizinduliwa Juni 17, 2025. (habarileo.co.tz/rais-samia-azi…)
Hivi ni vile ambavyo ni vya haraka haraka tu na vina cover 10% ya request yako.
Karibu.

YouTube
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz
Swali: Tunaweza kusaidiana kuorodhesha angalau viwanda 50 tu Tanzania vyenye uwezo wa kuajiri angalau watu 2,000 moja kwa moja kila kimoja vilivyoanzishwa kati ya mwaka 2021-2026?🙏🏿🤔 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11. 12. 13. 14. 15. 16. 17. 18. 19. 50. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Indonesia
MK47TA retweetledi
MK47TA retweetledi
MK47TA retweetledi
MK47TA retweetledi
MK47TA retweetledi

Sasa leo lipo jambo limefanyika pale JNICC ila kwa sababu most of our attention huwa ipo katika angle ya siasa pekee basi kuna vitu huwa hatuzingatii. Niskiize kidogo hapa.
1. Rais wa Tanzania emekabidhi leo hundi ya TZS 94.1 Billion kwa OPM-TAMISEMI kwa ajili ya mikopo ya Wanawake na Vijana ambayo imeenda sambamba na makubaliano ya ushirikiano ya uwezeshaji wa hii mikopo kupitia CRDB/CRDB Foundation na Program yao ya IMBEJU!
2. Maana ya Mh Rais kuweka hii mikopo kwa CRDB na TAMISEMI ni kwamba hii Wizara ya TAMISEMI chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, hawa ndio wanamiliki local gvt, na huko ndio kuna watu haswaa na hawa watu wanahitaji some financial push ILA ili kuwe na sustainability katika hizi mikopo ni lazima zipitie Banking Channels maana Banks ndo wataalamu wa KYCs.
3. Infact, CRDB pia wanakopesha aina hii ya mikopo kwa watu kama Mama Lishe ambayo huingia katika kundi la mikopo yao chechefu NPLs kwa kupitia madawati ya Local Govenments (Maafisa Maendeleo) ili walau kila kijana au mMama awe na access ya mikopo yenye masharti nafuu sana. Walau NIDA & Business Plan pekee vitoshe kumpa loan, na pia kama mkakati wao wa muda mrefu wa kirasmisha biashara za kitaa.
Now, fursa hapa ni nini ? Niskiize.
1. Mikopo iko bankly streamlined. Nyooka tu upate hii mikopo na ukuze biashara zako au wazo lako.
2. Sera zetu za kifedha na kiuchumi zimeanza sasa ku operate katika pure fiscal context yetu ( uhalisia wetu wa kiuchumi). Wewe ni machinga, kopa usipolipa utafikiwa kwa taratibu za NIDA/Serikali ya Mtaa na utalipa TU!
3. Mikopo isiyo masharti meeengi ndio uhalisia wa uchumi wetu na lazima tuishi nao. Na katika hili, this regime will go down to history kama one of the best!
Asante.

Filipino

MANGE KIMAMBI NA USANII WA UPASUAJI ILI KUTOROKA MIKONO YA SHERIA
@mangekimambi Inasikitisha kuona mwanamke mtu mzima wa miaka 46 badala ya kujiheshimu na kufanya mambo ya msingi bado anahangaika na sarakasi za kuongeza na kupunguza matiti kama binti wa miaka 18 anayetafuta soko.
Leo hii unatuambia unarudi kwenye "factory setting" huko Los Angeles hivi huna aibu? Katika umri huo ambapo busara inapaswa kuongezeka siyo idadi ya upasuaji wa plastiki.
Huu ni ushahidi tosha wa ukosefu wa utulivu wa akili na nidhamu ya kimaisha.
Unajinasibu kuchagua "usalama" wa Marekani lakini ukweli ni kwamba unachopigania ni muonekano wa bandia huku utu wako ukiwa umeshachakaa kwa uchochezi na matusi ya mitandaoni.
Lakini huwezi kutufanya wajinga huu upasuaji wa ghafla una dhumuni lingine kabisa la kijanja na tumeugundua.
Tunajua kama wewe ni mhusika wa mbele kabisa kwa kilichotokea Tarehe 29 Oktoba na ripoti ya tume ya uchunguzi inakaribia kutoka na ukweli wa madudu uliyoyafanya hapa nchini unaenda kuelezwa kwenye hiyo ripoti.
Unajua fika kuwa mkono wa sheria umeanza kukufikia na kuna uwezekano mkubwa wa kurudishwa Tanzania ili utumikie adhabu zako.
Hii "muvi" ya kulala kitandani na kusingizia kupona upasuaji ni mbinu ya kitoto ya kutafuta huruma na kutengeneza mazingira ya kusema "mimi ni mgonjwa, siwezi kusafiri."
Unaogopa kurudi nyumbani kukabiliana na makosa yako hivyo unaamua kujikata kata miili ili upate sababu ya kujificha chini ya mablanketi ya hospitali za Marekani.
Alafu huu ni usaliti wa hali ya juu kwa wale unaowahimiza waingie mitaani wapate vilema na matatizo wakati wewe unatumia muda wako na pesa zako kufanya "cosmetic procedures."
Wakati Watanzania maskini wakihangaika na maisha "mwanaharakati" wao anahangaika na saizi ya kifua chake.
Unatafuta sababu ya kutokurudi nchini kwa kisingizio cha kuumwa huku ukijua fika kuwa roho inakudunda kwa uoga wa kufikishwa mbele ya sheria.
Siku zote muongo na mchochezi mwisho wake ni aibu na huu upasuaji wako hautakusaidia kufuta ukweli kuwa unakimbia vivuli vya matendo yako mwenyewe.
"Factory setting" ya kweli unayopaswa kurudia ni ya kuwa na uadilifu na kujiheshimu kama mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa kuelekea utu uzima.
Kujificha nyuma ya kuta za hospitali za Los Angeles hakutakuepusha na Tume ya Uchunguzi wala mkono mrefu wa dola.
Watanzania wameshakushtukia huu siyo upasuaji wa urembo ni upasuaji wa "uoga."
Unaweza kubadili umbo la matiti yako mara mia moja lakini hautoweza kubadili ukweli kuwa unatetemeka kwa hofu ya kurudishwa nyumbani kutumikia adhabu ya usaliti na uchochezi ulioupika kwa muda mrefu.

Indonesia
MK47TA retweetledi

MK47TA retweetledi
MK47TA retweetledi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Taifa litaukumbuka mchango mkubwa aliyoutoa marehemu Askofu Bernadin Mfumbusa, enzi za uhai wake ikiwemo kuwa kiungo muhimu wa kuunganisha Kanisa Katoliki na Madhehebu mbalimbali pamoja na Dini zingine.
Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kushiriki Ibada ya kumuaga na kumuombea Askofu wa Jimbo Katoliki Kondoa, marehemu Askofu Bernadin Francis Mfumbusa, iliyofanyika Katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma.
Amesema Marehemu Askofu Mfumbusa alijitolea katika kuunganisha dini na madhehebu ili zifanye kazi kwa kuheshimiana, kushirikiana na kupendana. Ameongeza kwamba Taifa litakumbuka mchango wake katika kuhamasisha elimu pamoja na kufanya kazi kubwa ya kuhamasisha na kusimamia ujenzi na uendelezaji wa huduma za Afya katika Wilaya ya Kondoa na Taifa kwa ujumla.
Makamu wa Rais amesema Marehemu Askofu Mfumbusa ametoa mchango katika sekta ya Mawasiliano na Habari akiwa mbobezi na mwalimu katika fani hiyo. Amesema Marehemu Mfumbusa atakumbukwa kwa kutimiza wajibu wake kwa binadamu kwa kutambua Maisha tunayoishi leo, na kutimiza wajibu wake kwa Mungu kwa kutuongoza katika njia ya uzima wa milele.
Aidha Makamu wa Rais amewasilisha salamu za pole za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizotoa kwa Kanisa, Waumini na Familia na kuiombea familia nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Makamu wa Rais amewashukuru Viongozi wa Kanisa Katoliki kwa malezi ya marehemu Askofu Mfumbusa ambayo yalimfanya kuwa mtume wa Taifa zima.
Ibada hiyo, imeongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma Mhashamu Wilbroad Kibozi na kuhudhuriwa na Maaskofu mbalimbali, Mapadre, Watawa, Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wananchi.
Imetolewa na
Ofisi ya Makamu wa Rais
21 Aprili 2026
Dodoma.




Indonesia
MK47TA retweetledi
MK47TA retweetledi

Ajuza @mangekimambi ana ukimwi mkali sana virusi vimepanda huko presha juu baada ya kuona tume inakuja na majibu kuwa lazima awemo kwenye kundi la waliosababisha maafa virusi vimepanda huko 😅

Indonesia
MK47TA retweetledi
MK47TA retweetledi
MK47TA retweetledi

@SuluhuSamia @_zack255 Baba Lishe na Mama Lishe wana imani kubwa sana kwako, na wanakutazama kama nguzo muhimu katika kuwajengea mazingira rafiki ya kazi yenye staha na hadhi, yanayowezesha kukuza vipato vyao. Asante Mama.
Indonesia
MK47TA retweetledi

SERIKALI KUENDELEA KULINDA HAKI ZA MAMA NA BABA LISHE – SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Mama na Baba Lishe ni kundi muhimu linalochangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya taifa kupitia huduma ya chakula kwa wananchi wa kada mbalimbali.
Akizungumza leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Rais Samia amesema kundi hilo linalisha wafanyakazi, wanafunzi, wasafiri pamoja na wananchi kwa ujumla, hivyo kuwezesha shughuli nyingine za kiuchumi na huduma za kila siku kutekelezwa kwa ufanisi.
“Nyinyi ni kundi muhimu katika nchi, mnalisha wafanyakazi, wanafunzi, wasafiri na wananchi kwa ujumla, na kwa kufanya hivyo mnawezesha kutekelezeka vyema kwa shughuli nyingine za kiuchumi na huduma za kila siku, kwa kuwa chakula ni afya,” amesema Rais Samia.
Aidha, Rais Samia amesema shughuli za Mama na Baba Lishe zinapaswa kutambuliwa na kuheshimiwa kwa hadhi inayolingana na mchango wao katika maisha ya kila siku ya Watanzania.
Amesisitiza kuwa Mama na Baba Lishe hawapaswi kusumbuliwa wala kunyanyaswa, huku akiahidi kuwa serikali itaendelea kusimamia heshima na ustawi wao.
“Mama na Baba Lishe ni sehemu ya mfumo unaobeba uhai, afya na ustawi wa wananchi. Tunawaheshimu na serikali itasimamia heshima yenu,” amesema.
Katika hatua nyingine, Rais Samia amesema serikali imeendelea na itaendelea kuweka mazingira mazuri ya kisera na kisheria yatakayosaidia kutambua hadhi na umuhimu wa kundi hilo pamoja na kuimarisha mchango wao katika uchumi wa taifa.
Ameongeza kuwa hatua ya kuundwa kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum ni sehemu ya jitihada za serikali kuhakikisha makundi mbalimbali katika jamii yanapata usimamizi na maendeleo stahiki.
Filipino
MK47TA retweetledi
MK47TA retweetledi
MK47TA retweetledi





















