@prossoff Nyanda za Juu kuoa Single Mothers ni kitu cha kawaida mno kuna tatizo kubwa sana kwa Wanaume wa Nyanda za Juu wengi wanaoa Single Mothers na Malaya weupe wa Mbozi, Kondoa( Warangi) Wanyaturu na Wambulu wanaokuja huku kuuza Baa
Nimetoka kumuelekeza jamaa yangu jirani hapa ALIYEOA SINGLE MOTHER mwenye watoto wawili wakati yeye hana mtoto.
Aache na akome kutumia simu ya mdogo wangu ku BET
Nimemueleza sitaki mdogo wangu azoee michezo ya kubet.
Dogo ndio kwanza kamaliza form four, sitaki aanze wizi mapema.
Amenielewa na amesema harudii.
@iMajeshi_@Tweener003 Noma sana mzee..,hawa wachache wanaharibu reputation ya wale wenye sifa nzuri humu..,Next time fanya biashara na huyu mchaga @NjiwaFLow hana Makuu.๐๐ฟ
Wafanya biashara wa Twitter jitahidini muwe waaminifu mkiaminiwa. Bro kamzurumu hela mshikaji wangu halafu ni hela ndogo sana.
Mshikaji wangu alitaka Pixel 7 pro, nikamuunganisha na jamaa (Mlinganya mabikira) wakakubalia atamuuzia Pixel 7 pro kwa 620k.
Baadaye Mlinganya akamwambia kuna Pixel 8 pro anaiuza kwahiyo amuongezee 50k iwe 670k ili amuuzie 8 Pro mshikaji wangu akakubali.
Mzigo umefungwa, umetumwa mshikaji wangu kuupokea anakuta ni pixel 7 pro ila kwenye jina la simu Mlinganya na genge lake wamebadilisha jina wakaweka (Pixel 8 pro) japo model ya simu haiwezi badilika (Na wanalijua hilo)
Bro alijua anamuuzia mporipori ambaye haelewi kuhusu simu, sasaivi anapigiwa simu arudishe hela (ambayo ni 50k alioongezewa ili alete pixel 8 pro) jamaa hapokei simu mara anajifanya anaumwa, mara "ntakutumia" halafu anakausha, meseji hajibu, mara hapatikani.
NimemDM tangu juzi kati hapa hajibu.
Aliwahi kuniuzia simu ila kwa sababu kamzurumu rafiki yangu siwezi kumuamini tena.
HUYU NI TAPELI NA KAMA SIO, BASI ANA DALILI ZA UTAPELI HAAMINIKI.
Watu wenye hela kummako zenu mkizoesha hawa mademu kuwapa hela na kuwapeleka sehemu za gharama WAOENI,, huyu namtongoza ananiambia twende dinner date nikaongee shida zangu wakati mm nimezoea dinner date anakuja kuilia geto๐๐
Kuna wale marafiki zako umewa save kwenye simu yako wakikupigia au ukiwapigia hauwezi kuweka loudspeaker unajua tu neno la kwanza lazima aongee upuuzi au atukane.
Ukipokea tu simu yake neno la kwanza utasikia anasema " we mbwaaa niambie "
๐๐
@EngMapundajr Anko hii stori ya kweli ambayo imenikuta mimi wakati huo anawaambia watu wake mimi naishi naye nikiingia kazini yeye anatoka maana nilikuwa natoka saa kumi usiku kila siku mwaka mzima narusi saa nne usiku acha kabisa anko ni vile tu basi sasa hivi kanipeleka mahakamani nina kesi