JAMES ABRAHAM

2.6K posts

JAMES ABRAHAM

JAMES ABRAHAM

@jmunuo

Bergabung Mayıs 2011
119 Mengikuti26 Pengikut
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Mara paaaaa ,Mkeka mpya wa bei ya mafuta unatoka na bei zinarudi kwenye nafuu, hata chini zaidi! 😎 Mama hashindwiii.
Indonesia
104
1
65
12.5K
BaMi Trades
BaMi Trades@MrCandlee·
😱 😱 So Scary
English
122
147
1.5K
1.4M
Odoyo
Odoyo@Odoyo06849275·
@EduTalkTz Kuna wakati nilikuwa na mashaka sana juu ya ukweli wa uwepo wa Mungu hadi pale nilipoamua kuwa mwanafunzi wa unabii wa Biblia. Nilichojifunza kwa unyenyekevu mkubwa ni kuwa Yuko Mungu mwenye kuijua historia ya Universe kabla ya matukio halisi katikati ya historia yenyewe! Jaribu!
Indonesia
2
0
3
467
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Na huu moto katikati ya dunia aliuweka wa nini wataalam wa “iwe ikawa?”🤔
Indonesia
21
6
92
12K
Lembrus Mchome
Lembrus Mchome@LembrusMchome·
Katibu wa @Chademakaskazin Ndonde Totinan amejiuzulu wadhifa wake na kujivua uanachama wa chadema. Jana katibu wa mkoa wa Tanga leo katibu wa kanda. Je bado tupo imara??. Tusijidanganye kunashida inaongozwa na @HecheJohn ipo siku mtakuja kunielewa ndugu watukanaji.
Lembrus Mchome tweet media
Indonesia
111
7
30
9.1K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Komaa kamanda…… huku wewe unaokota…..😂 Vijana stukeni wanawatumia nyie kuishi mjini…..
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
20
3
22
3.3K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Wakuu leo #TBT naomba niwakumbushe jambo muhimu nchini kwetu kwamba Mwanasheria wa kwanza mtanganyika baada ya kupata uhuru alikuwa anatoka kwenye ukoo wetu wa “MNKONDYA” 😎
Indonesia
11
2
24
4.8K
JAMES ABRAHAM
JAMES ABRAHAM@jmunuo·
@YerickoNyerereT Weka CCTV weka bandiko kwamba hapo Kuna CCTV maana CCTV zinavuta + save + share faragha za watu huko nje ndio kilichosemwa, ukiweka bandiko watu watafanya faragha zao kwa tahadhari,ndio nilivyoelewa
Indonesia
0
0
0
11
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Waswahili wa Tz ni watu waajabu sana siku zote huwa wanazinduka kwenye matokeo lakini kwenye mchakato huwasikii kabisa. Ishu ya usajiri wa cctv, drone nk ilileta mvutano sana miaka mitano nyuma kwenye mswada wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi enzi za Magufuli, Mimi ni miongoni mwa tuliosimama kupinga tukitaka irekebishwe kuondoa vikwazo hivi vya kisheria, Lakini hawa wanaopiga kelele leo walikuwa wanatuita sio wazalendo….. Haya pambaneni na matokeo hayo
Mwananchi Newspapers@MwananchiNews

Ukifunga kamera za CCTV unapaswa kufahamu haya mwananchi.co.tz/mw/habari/kita…

Indonesia
6
3
12
6K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Mh @freemanmbowetz, Sisi vijana wako watiifu uliyetulea na kutufundisha siasa na hesabu za nera, HATUTAKUSALITI KAMWE!, Tutabaki watiifu kwako tukiamini wewe ni kiongozi bora na mbeba maono wetu, tutalinda heshima na urithi wako popote! Endelea na mapumziko ya likizo yako ya kisiasa kwa amani na utulivu, usilazimishwe kunyamaza, wala usilazimishwe kusema, sema ukijisikia kusema, likiwepo la kusema! Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet media
Filipino
206
24
329
52.5K
Sheila Mchamba
Sheila Mchamba@SheilaMchamba·
Kwaheri Dodoma Ila tutarejea tena. Na safari hii tutarudi kwenye kata zetu, majimbo yetu na mikoa yetu tukiwa na kombe la ushindi. #STRONGERTOGETHER ✌️
Sheila Mchamba tweet media
Indonesia
13
39
325
3.4K
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
Wanaharakati/Wapinzani‼️ Komeni kumchokoza Rais wetu Dkt @SuluhuSamia . Kuweni na Shukrani kwa wema lukuki aliowatendea. Subirini 2030 mumuweke wenu mmutakaye. “Mkibinywa” na sheria kwa kuvunja Sheria msitoe vilio kedekede na kutia huruma magerezani kwa makosa ya kujitakia.
Suphian Juma Nkuwi tweet media
Indonesia
31
1
9
2.9K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Kauli ya makamo mwenyekiti wa chadema John Heche inaonekana kulenga kuhamasisha hisia za umma kuliko kuwasilisha uhalisia wa kisheria na kiutendaji yani propaganda inayochanganya na hisia,
Indonesia
13
4
36
6.1K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Kula mema ya nchi bro, wewe ni mwanasiasa halisi hukutaka siasa za kijinga za nginjanginja ambazo huishia mahakamani na jela huku taifa linasonga mbele, umri ukisonga mbele na maccm yakiendelea kujiimarisha madarakani….. Ulichagua siasa za hoja za samawati ambazo zitashawishi decision makers kukubali mabadiliko kama ambavyo historia inatuambia Mwalimu Nyerere alitumia siasa za ushawishi kwa decision makers wa London wakakubali kutoa uhuru. Aina hii ya siasa ndizo tunatakiwa kuzijenga Tanzania, lazima tuondoe vyama kichaa vyote nchini kwa lazima au kwa hiyari. Sisi Chaumma tumeanza kujenga msingi huo wa siasa za majadiliano na mashauriano kwa hoja mujarabu…..
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe

#Ngorongoro

Indonesia
62
6
21
14.9K
(fan) Empire
(fan) Empire@GunnerPuls·
Only three players in football history have played for all these three clubs. Chelsea, Arsenal and Barcelona If you can guess 3/3 you're an elite Level: IMPOSSIBLE
(fan) Empire tweet media
English
352
47
201
51.5K
Kivu Info/24
Kivu Info/24@Kivuinfo24·
Rwanda 🇷🇼 : Like father, like son 😲 The son of President Paul Kagame among the special guards 🇷🇼 Service, discipline, and commitment run in the family.
English
82
160
1.9K
403.1K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Mjumbe yule wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa alipokutana na Chadema chini ya Katibu Mkuu Mnyika na Mwanasheria Mkuu Ndugu Nshala alikuwa halali mkatoa taarifa ya mbwembwe na kujisifu sana kwamba UN imeitikia kilio chao, Lakini siku mbili tatu zilizofuata mjumbe huyohuyo alipoanza kukutana na vyama vingine (CHAUMMA, CCM na ACT) ikiwemo Serikali (Ikulu) na Tume ya Uchunguzi, Chadema hiyohiyo ikageuka na kuutangazia umma kwa taarifa ya maandishi kuwa Mjumbe yulr sio halali na haimtambui ati ameletwa na ccm…. Kituko zaidi Barua serious ya Taasisi kwenda kwa Katibu Mkuu UN eti imeandikwa na mkurugenzi wa Diaspora cheo ambacho hata kwenye katiba ya Chama hakitambuliki ni cheo tu cha Wasapu. Katibu Mkuu Mnyika aliyekwenda kuonana ana kwa ana na Mjumbe wa UN hajajishughulisha kuandika barua kupinga uhalali wa mjumbe huyo. Lakini Chadema ya Maria (diaspora) inapinga na wamekomaa kwelikweli hawataki kutambua kikao cha Katibu Mkuu wao na Mwanasheria wao Mkuu na Mjumbe wa UN. Walitaka ili mjumbe yule awe HALALI KWAO basi atoke Makao Makuu ya UN mojakwamojs aje azungumze na Chadema tu kisha ageuke Marekani na mwisho UN itangaze Samia sio Rais wa Tanzania, na nchi itakabidhiwa kwa wazungu kwa mpito kama walivyopendekeza siku za nyuma, wanadhani nchi ni chupi ya kike au boxer ya kilimbulini au pombe za ngomani. Watu wema tunaozifahamu siasa zilizobalehe tunabaki kucheka tu kwakuwa tunafahamu wazi tabia na mwenendo wa Chama kilichofilisika ambapo hugeuka kuwa kituko na pengine kuwa kikundi tu cha harakati uchwara. Atatokea mpumbavu atasema kwanini unawasema chadema, mwambieni wewe ni mpumbavu! Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
16
3
17
4K
JAMES ABRAHAM
JAMES ABRAHAM@jmunuo·
@IsaanKhan_ Norgard wasnt mentioned on subs but was there to celebrate at the corner after dowans goal
English
0
0
0
24
Isaan Khan
Isaan Khan@IsaanKhan_·
Arsenal vs Everton team news: 🔴 Odegaard still out 🔴 Norgaard not in squad but Dowman on bench 🔴 Gyokeres on bench - interesting move 🔴 Havertz starts #afc
Isaan Khan tweet media
English
5
3
31
1.8K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Nikiwa na Mteja wangu CPA(T) CATHERINE RUGE hapa UNUNIO BEACH RESORT, mara baada ya kupata UFUMBUZI wa suala lake. Ninaamini HAKI ITATENDEKA na atapata ANACHOSTAHILI kwa mujibu wa SHERIA.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
135
20
531
52.7K