Asombwile David

12.3K posts

Asombwile David banner
Asombwile David

Asombwile David

@ASOMBWILE

Information Technology |Daddy's day out|

Tanzania 参加日 Nisan 2011
994 フォロー中1.2K フォロワー
Asombwile David
Asombwile David@ASOMBWILE·
@MarekaMalili Dar wazee wao wako hivi vijana sasawanashindana drama mara wanaibiana nyeti!!?ndio maana katikati ya mji asubuhi na mapema linanuka mavi,unajiuliza kama kunakigezo cha kunyang'anya hadhi ya jiji
Indonesia
0
0
1
99
Asombwile David
Asombwile David@ASOMBWILE·
@pluto__hndrx @mhdhamad @millardayo Kwanza akuzungumzii wewe unaepata huduma kwa kadi ya ccm bora ungekaa kimya ukasubiri agenda za bi.msumi,Heche anaongelea mustakabali wa majority baada yakuona serikali zalimu haijitikisi wala kujali hii changamoto
Indonesia
0
0
0
13
TAVOR X95
TAVOR X95@pluto__hndrx·
@mhdhamad @millardayo Heche uwa ni kasha basi tu, kila kitu anafanya mtaji wa siasa yupo kwa ajili ya audience ya watu wapumbavu
Indonesia
1
0
2
84
millardayo
millardayo@millardayo·
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amehoji kupanda kwa ghafla kwa bei ya mafuta Nchini, akitaka ufafanuzi kuhusu uhalali wa ongezeko hilo licha ya uwepo wa hifadhi ya mafuta iliyotangazwa na Serikali. Heche ametoa kauli hiyo leo, Aprili 6, 2026, akirejelea taarifa ya awali ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt, James Mataragio. Kwa mujibu wa Heche, Katibu Mkuu huyo aliwahakikishia Watanzania kuwa Nchi ina akiba ya mafuta inayoweza kutumika kwa takribani miezi mitatu. Hata hivyo, amesema inashangaza kuona Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ikitangaza ongezeko la bei ya mafuta siku chache baadaye, hali inayozua maswali kuhusu uhalisia wa hifadhi hiyo na namna bei zinavyopangwa. Aidha, ameeleza kuwa kihistoria, Tanzania iliweka miundombinu ya kuhifadhi mafuta tangu baada ya Vita vya Kagera mwaka 1979, ambapo hayati Mwalimu Julius Nyerere alianzisha matenki ya kuhifadhia mafuta katika eneo la Kigamboni ili kujikinga na athari za dharura za kiuchumi na kiusalama. Kwa msingi huo, Heche amehoji mantiki ya kupanda kwa bei wakati mafuta yaliyopo yalipaswa kuwa sehemu ya akiba hiyo ya ndani. "Tutakumbuka Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, anayeitwa Bw. Mataragio, alitoka na akawaambia Watanzania kwamba bado tuna hifadhi ya mafuta ya kutumia kwa miezi mitatu. Na kama mnavyokumbuka, tangu baada ya vita ya Uganda na Tanzania mwaka 1979, Mwalimu Nyerere alijenga matenki ya kuhifadhia mafuta ya TIPER ambayo yapo Kigamboni, baada ya kujifunza kwamba kunaweza kutokea dharura na nchi ikaingia kwenye matatizo." Na matenki haya yamekuwa yakihifadhi mafuta ya ndani ya Nchi na mafuta ambayo yanasafirishwa kwenda kwenye Nchi zinazotumia Bandari yetu. Ndiyo maana Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati alituambia kwamba kuna mafuta ya miezi mitatu. Sasa kama tuna mafuta ya miezi mitatu ambayo, huu mgogoro ulipoanza, yalikuwa tayari yako ndani ya Nchi, inakuwaje hayo mafuta yapande bei ghafla kabla ya kuingizwa kwa mafuta mapya ambayo yameingia Nchini?" amesema Heche. #MillardAyoUPDATES.
Indonesia
13
30
256
10.4K
Dr. Thadeus Mihayo
Dr. Thadeus Mihayo@Dr_Thadeus_19·
Mwanetu alikuwaga Anajionaga Florentino Perez wa bongo😂😂😂
Dr. Thadeus Mihayo tweet media
Filipino
49
10
444
47.1K
Asombwile David
Asombwile David@ASOMBWILE·
@Cowwbama Na tunapoelekea na bibi msumi asiyejali kitu dawa ya ukimwi haitakuwa bure ituzwa
Indonesia
0
0
0
115
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Wanangu UKIMWI sio ugonjwa wa kawaida 🙌🏿🙌🏿, ruka ruka ila usipate ukimwi Imagine unywe dawa miaka yako yote
Indonesia
34
41
440
56.4K
𝙓𝙨
𝙓𝙨@Excess300·
@Cowwbama Siku hizi ni sindano mbili tu kwa mwaka kama unaogopa kunywa vidonge kila siku
Indonesia
2
0
9
2.1K
Eng.Harrison HR
Eng.Harrison HR@Buberwa_·
Ukiwasikia sasa wasukuma wavyopasifia kama vile masaki 😂😂😂
Eng.Harrison HR tweet media
Indonesia
16
12
167
13.8K
Asombwile David
Asombwile David@ASOMBWILE·
@MarekaMalili Unatupanga ili tusishtukie utajiri wako wa ghafla yaani samaki na viwanja ndio umiliki showroom
Indonesia
0
0
1
380
Asombwile David
Asombwile David@ASOMBWILE·
@jwise017 We mzee juzi japa ulikuwa una muunga mkono imekuaje tena mbona ghafla
Indonesia
0
0
0
172
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Unanunua suti nyeusi halafu unalipishwa 50k ili uende ukaambiwe huwezi kutomba mkeo mpaka umnunulie kitu kipya. Mafundisho ya kisenge kabisa yanayoshabikiwa na wapumbavu. Mwanaume unatoa hela ili ukafundishwe kuwa mwanaume? Mwanaume aliyepita JANDO hawezi kufanya ujinga kama huu.
Indonesia
47
35
304
16.2K
Asombwile David
Asombwile David@ASOMBWILE·
@TitoMagoti Wakili msomi huyu sikakayako kabisa au umevunja undugu,kalikuwa kadalali wakumtafutia jiwe waganga wa kumuagua na kumzindika
Filipino
0
0
0
125
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Chini ya Nyegezi Stendi njia ya kwenda kwako unakuta watu wamejipanga na matumbo yao 😆😆
Filipino
22
18
361
22.3K
Asombwile David
Asombwile David@ASOMBWILE·
@HecheJohn Una deni kaka mkubwa Mungu akuongoze CHADEMA sio chama tena bali ni imani
Indonesia
0
0
0
27
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Asante sana
Español
46
300
1.3K
22.8K
Asombwile David
Asombwile David@ASOMBWILE·
@MarekaMalili Tena kama sisi millenia ndio tutaonekana mapimbi kabisaa,maana tumezaliwa na kushuhudia mabadiliko makubwa sana ya kidunia na niwengi na tumebahatika kuwa na ushawishi na nguvu lakini nguvu nyingi tumemalizia kwenye mambo ya hovyo kama umalaya na ulevi
Filipino
0
1
6
501
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Finally tunaanza kuishi yale mambo ambayo tulikua tunasoma kama historia. Si Babu yako ulikua unasema ni mzembe bwana 🤭
Filipino
8
31
313
8.7K
MKANDARASI
MKANDARASI@JamesMagsir·
Kwa wale msiomjua NYANI MZEE @jwise017 Huyu hapa sasa..! 😂😂😂
Indonesia
8
3
12
2.1K
Singeli Za Bongo
Singeli Za Bongo@singelzabongo·
Here, if you don’t have inches, you won’t break through.😁
English
38
113
1.3K
79.1K
fifi_catering_service
fifi_catering_service@FamWorld2025·
Kama kuna mtu anapenda kujifunza juu ya neno la Mungu, can i introduce you to Pastor FREDY MSUNGU, he is the coming Mwakasege this Man can teach bana 🙌🏾💒
Indonesia
13
12
120
4.6K
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Nimekumbuka miaka ile Beni alipewa(ga) zawadi ya kitofali cha gold kule mgodini ingekua ndio zama hizi za mitandao sijui hali ingekuaje.
9
6
94
7.3K
Asombwile David
Asombwile David@ASOMBWILE·
@jwise017 Kuna mwanangu alikuwa ajua kusimulia mpaka background sound zinasimulizi
Indonesia
0
1
0
79