NYANI MZEE

221K posts

NYANI MZEE banner
NYANI MZEE

NYANI MZEE

@jwise017

Mtanganyika | Mkulima | Polygamist |Afisa Ubashiri | Babu | Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru 🙏🏿 #VituVyaPeponi #MatomboStyle⭐️

Matombo, Morogoro, Tanganyika Katılım Kasım 2010
515 Takip Edilen66.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
UKWELI MCHUNGU: Kama baba yako angeamua kukwambia mabaya aliyokuwa anafanyiwa na mama yako hiyo heshima unayompa mama yako leo wala usingempa. Mama zetu tunawaheshimu na kuwapenda kwa sababu tu baba zetu waliamua “kufa kiume” na mambo yao moyoni. Heshima kwa wababa/wanaume wote!!
Filipino
32
187
919
87.8K
NYANI MZEE retweetledi
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Jitihada za kuanzisha programu zinazoendana na soko la ajira zinaendelea. Programu mpya; mitaala iliyoboreshwa.
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
8
11
1.2K
NYANI MZEE retweetledi
Lil Jizzy
Lil Jizzy@heisliljizzy·
@jwise017 Na ukiwapa task, kumbuka kutimiza ahadi. Otherwise wape sababu kwanini hauwezi kutimiza ahadi kwa mda huo!
Filipino
1
1
1
60
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Kama wewe ni baba/mama jenga utamaduni wa kutoa “task” kwa watoto wako pale wanapokua “wanakudai” uwafanyie jambo fulani. Hii itawafanya wakue wakijua kabisa hakuna pesa huwa inatoka bure bila kufanya kazi. Itawasaidia sana kwenye maisha yao wakishaanza kujitegemea.
Indonesia
5
19
91
1.6K
NYANI MZEE retweetledi
DorothNengai
DorothNengai@DorothNengai·
@jwise017 Tunakunywa kahawa, tunajadili maisha yalivyo magumu Tunatiana moyo kibishibishi Tunapeana deals Tunarudi makwetu🙄
Indonesia
1
1
1
143
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Hivi ukiwa na rafiki ambaye hanywi pombe mkikutana mnaongea nini? Kwanza wanakua(ga) wambea wambea sana mamae zao 🚮🚮😂
Indonesia
12
10
67
5.5K
NYANI MZEE retweetledi
DorothNengai
DorothNengai@DorothNengai·
Stay close to anything that makes you feel alive ♥️
DorothNengai tweet media
English
3
3
14
715
NYANI MZEE retweetledi
Albert 
Albert @Albertjk_tz·
@jwise017 Kuna mshua ili kuwafundisha thamani, madogo wakiomba kitu anawapa kidogo kidogo watunze pesa mpaka ifike ndo wanaenda dukani. Eg Dogo kiomba bicycle anapewa 10k, 20k mpaka 200k ifike. Itachukua ata miezi mitatu. Mwishowe madogo wanaheshimu vitu vyao kichizi. Discipline.
Indonesia
1
1
1
86
NYANI MZEE retweetledi
Pablo
Pablo@MoruoKing·
@jwise017 Mimi Sina uwezo kaka 🤣
Indonesia
1
1
2
72
Pablo
Pablo@MoruoKing·
Chindo Man x Black Desert -Acha Ubraza Man
Español
1
2
0
243