
@hamzaalbhanj Ngumu sana..kwa anayeanza Mimi napunguza gari taratibu ikifika muda naacha kabisa ntabaki na gari kwaajili ya kazi zangu zingine ..
Indonesia
Eng.S.Chambo
33.3K posts

@Eng_chambo
Mechanical engineer|fabricator|sgt ltd owner| former oil & gas specialist|heavy equipment operator.







( Mfumo wa Afya ) Ukielewa kuwa mfumo huu Unaratibu Magonjwa Lakini hauzuii magonjwa Unaacha Kukabidhi Afya Yako Mikononi Mwa Mfumo Unaanza kujali: ↳ Tabia zako ↳ Usingizi wako ↳ Mwili wako (movement) ... FRANCIS | ABRACADABRA







Chuo cha DIT kimesema Agosti 1, 2026 kitarusha Satellite Angani, ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa Ujuzi, Ubunifu na Teknolojia. Hii itakuwa ni Satellite ya kwanza kurushwa angani hapa Tanzania.