Geofrey Lugutu..
3.6K posts

Geofrey Lugutu..
@GLugutu
Lugutu Geofrey,. medical student.(MD), Paediatrics-Oriented# Man united,Simba SC and Real Madrid fan
Morogoro, Tanzania 参加日 Eylül 2020
1.1K フォロー中546 フォロワー

Niseme tu Kwa umri wake wa Sasa huyu Ray Kigosi hastahili kunyoa namna hii, basi tufanye haya ni maisha yake.
Lakini kitendo Cha yeye kwenda msibani akiwa hivi tena kavaa na hereni ni kitu ambacho Kwa upande wangu naona siyo sawa, nimemuona Joti Kila mtu anajua staili yake ya nywele, Lakini alikuwa kavaa kofia na kanzu safi anaendana na tukio.
Msiba wa Hashim Kambi siyo wakwenda ukiwa namna hii yule alikuwa kama mzazi wake.

Indonesia

@Sirajitz1 Mbona mimi niko Mbeya na ni kijana sina hiyo pesa chafu unayo iongelea
Filipino

@chapo255 Kuna watu hawato pokea hela ya mchezo mpaka wanakufa
Indonesia

“Mama Samia aanzishe mchezo kila mwananchi anatoa @ 1,000/= kila siku
Tupo raia milioni 65
Hivyo kila siku anatoa mtu anapokea bilioni 65(65,000,000,000)
Mama kwa kuwa kijumbe atachukua milioni 500”
Adventure-360@Adventure_36
KWAHIYO MMEKUBALIANAJE?
Filipino
Geofrey Lugutu.. がリツイート


























