Gillsant v10

95.7K posts

Gillsant v10 banner
Gillsant v10

Gillsant v10

@GillsaInt

I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Advanced Social Media course👇🏾

Dar es Salaam, Tanzania 参加日 Mart 2009
5.4K フォロー中165.9K フォロワー
固定されたツイート
Gillsant v10
Gillsant v10@GillsaInt·
Imekuwa muda kidogo. Nilikaa na Msasa Podcast kuzungumzia kazi, digital, fursa na maisha. Full episode iko hapa YouTube: youtube.com/watch?v=wg58K8…
YouTube video
YouTube
Filipino
15
68
176
41.7K
Gillsant v10 がリツイート
Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro)
Miaka michache iliyopita Wise walikuwa wana wapa USD account wabongo. Kwa connect mbili ulikuwa unaweza omba kazi hadi Upwork. Payoneer walikuwa wanatoa akaunti binafsi kwa freelancers. Now vyote hivyo ni historia. Usikubali kuwa sehemu wa historia fungua akaunti Grey, uPWORK, fiverr sasa kabla hawajaanza kuweka vikwazo.
Filipino
7
3
79
7.6K
Gillsant v10 がリツイート
MRKONGA
MRKONGA@Mrkongajr·
"Followers wengi utapeleka wapi !? , we unahitaji wachache wanaoweza kununua product zako" - @GillsaInt
Indonesia
1
1
9
438
Gillsant v10 がリツイート
Elon Musk
Elon Musk@elonmusk·
𝕏 Money early public access will launch next month
English
15.4K
15.9K
158.8K
65.5M
Gillsant v10 がリツイート
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Nilienda Dubai na karibu milioni tano tu na plan ya kuuza laptops. Miezi michache baadaye nimepata 𝗨𝗔𝗘 𝗿𝗲𝘀𝗶𝗱𝗲𝗻𝗰𝘆 ya miaka miwili. Hii ndio reality ya Dubai ambayo watu wengi hawakwambii. Acha nishee hii story hapa baada ya hapa utakua na majibu ya kila kitu kuhusu DUBAI 𝙈𝙖𝙗𝙖𝙮𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙠𝙪𝙝𝙪𝙨𝙪 𝘿𝙪𝙗𝙖𝙞 𝙆𝙬𝙖 𝙀𝙭𝙥𝙚𝙧𝙞𝙚𝙣𝙘𝙚 𝙮𝙖𝙣𝙜𝙪 -Utakuwa umefika Dubai -Umejua kila kona ya Dubai -sehemu za kulala, sehemu za kutalii,Biashara nk 𝗕𝗼𝗼𝗸𝗺𝗮𝗿𝗸, Chukua kahawa,Popcorn tuendelee👇 Kiukweli hayajawahi kuwa maamuzi ya siku moja ni RECIPE ya maamuzi na vitu vingi nimekua nikipitia Chachu ilitoka wapi? “𝙄 𝘼𝙡𝙬𝙖𝙮𝙨 𝙘𝙝𝙤𝙤𝙨𝙚 𝙧𝙞𝙨𝙠𝙮 𝙛𝙧𝙚𝙚𝙙𝙤𝙢 𝙤𝙫𝙚𝙧 𝙘𝙤𝙢𝙛𝙤𝙧𝙩𝙖𝙗𝙡𝙚 𝙨𝙡𝙖𝙫𝙚𝙧𝙮. 𝘼𝙡𝙬𝙖𝙮𝙨.” Mwaka 2022/2023 me whatsapp nilikutana na mwanangu @eddygotya akawa ananiambia ashawai agizia watu vitu kibao China na nini. Mimi nilikua Nairobi wakati huo. Kwa Nairobi ni kitu cha kawaida sana watu wajanja wa mtandao kuOrder aliexpress nk na logistics zimenyooka tu chaap unaletewa mzigo. Sasa fast forward nilivogeuka bongo tukaanzisha kampuni inaitwa 𝕞𝕟𝕦𝕟𝕦𝕫𝕚𝕠𝕟𝕝𝕚𝕟𝕖 tulikua na office SINZA afrika sana pale sokoni junction ya kwenda mabatini. Ilikua inakua ila challenge hazikosekani me nikamwambia mchizi nabwaga akaendelea ila me nikachana nayo Sasa yeye akaanza kwenda 𝘿𝙪𝙗𝙖𝙞 next ikawa China Kuna siku nikamuuliza kati ya Dubai na China wapi naweza enda nikiwa hata na 5m nikatoboa. Akanyoosha akasema Dubai. (Usije ukawa na 5m ukadhani pia utatoboa, kwangu ilikua rahisi maana tayari nina wateja plus najua kufanya marketing ONLINE) Me nikiwaza lifestyle ninaloona mtandaoni la Dubai nitaweza afford kweli nikaona uongo Mwaka juzi mwanangu @thisiscollins1 alikua Chuo Cyprus akahamia China basi tukaanza kupush tena ecommerce kama kawaida ila logistics ikawa mzozo sana. (Btw tushaiwafunza watu 1000+ jinsi ya kuOrder vitu china na kuuza👉🏾 youtu.be/lLfA4B5zQpg?si…) Mwanangu akanambia me niko shule omba VISA njoo hapa. Sasa me kama wewe na wengi mnaopenda uhakika nikaanza kumuuliza kila move oya usafiri, hotel ngapi bei nk Huku nauliza @eddygotya kuhusu Dubai pia NikiCompare hivi nikaona maisha ya China ndo kitonga nitamudu. Mimi huyo chaap kwenda kuApply VISA ya China Agent waliniletea miyeyusho ofcoz kama hujui hii sio mara zote watu wamenyooka. Me ni mkorofi niliumana nao haswa hadi nikapata VISA ya China. Hehe Sasa kubabake ikawa wakati wa Canton fair nauli ziko juu mlima. Yaani nikienda ni kuwa nimalize hela yote nauli afu nibet kupambana ama nisiende Nikabwaga nikamcheki mwanangu tena @eddygotya nataka kwenda Dubai Akanambia nenda Dubai focus sana lakini kuuza LAPTOPS. LAPTOPS zina hela miezi nne tu gharama zako zitarudi Uzuri mambo ya kumarket kwangu sio issue nna watu 1200+ daily wanaangalia whatsapp yangu Kukosa mteja labda nirogwe. Siku hiyohiyo nikamuomba mtu wa VISA nikalipia. Hapo sikuwa na dusko nimetoka kupata mtoto costs kibao bima tu Kenya namlipia ka 2m, dogo mapassport nini mambo buku sielewi. Nikachek line zangu mbili wakanipa Dusko niAfford bills za hapa na pale. Mungu hatoki twitter aisee week ya kwanza mauzo bampa to bampa hapo ni whatsapp tu. Offcourse challenges hazikosekani kama hii niliibiwa hapa😂 (x.com/gabyconscious/…) Hadi leo me hizi X sijui insta napost tu for visibility ila nauzia 𝙬𝙝𝙖𝙩𝙨𝙖𝙥𝙥. (Learn Whatsapp marketing👉🏾 youtu.be/1ER2REhfhMM?si…) Mwezi wa kwanza nikaishi Nikarudi afu after few weeks nikarudi sasa nipambanie 𝙐𝘼𝙀 𝙄𝘿 ili nisisumbuke kuomba VISA kila mara Maana trip hii plan ni nipate ghetto(bedsitter) kwa ajili ya kukaa ila pia iwe office kwa maContent yangu. Hii haikuwa ngumu maana tayari watu wangu wa karibu washaona mzigo nnaopiga, sales nafanya. Wakatia mzigo. Bana Mungu sio Mark Zuckerberg😅. Round hii mambo ikajipa Process ikaanza 👇👇
YouTube video
YouTube
YouTube video
YouTube
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
Indonesia
98
389
1.1K
167.3K
Gillsant v10 がリツイート
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Usipotafuta namna ya ku Multiply kipato chako, unajikuta kwenye mzunguko ule ule wa earning and spending, year after year, SADLY.
Filipino
36
170
1K
23.3K
Gillsant v10 がリツイート
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Huyu binti ni Single mother nilimuelekezaga awe anapost IG, akajiongeza kutengeneza page ya mtoto wake Dogo ana page na anajua kizungu fresh ila yupo nyumbani Nikamwambia afanye kutafuta international schools dogo akasome Bure Leo ananiambia kuna shule wamempigia AENDE🫡
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
Filipino
39
46
335
25.2K
Gillsant v10 がリツイート
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Nataka nitengeneze threads na videos 30 mwezi huu unawezaje kuuza digital product(templates,ebook,bundles,subscriptions za groups nk) A-Z na ukatumia snippe.sh kulipwa Comment unataka kuuza nini ONLINE (hasa digital product) Nitaandika a free Guide na Video👇
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
Filipino
22
27
97
3.2K
HON. YUZUU
HON. YUZUU@YusuphBonito1·
Hongera kaka Ila hata mimi ni nimetengeneza Ai yangu Hii hapa tinyurl.com/YuzuuAi Kwenye Ai yako itampa wakati mgumu mtumiaji na wasiwasi kwani Ai nyingi hiwa zinatunza kumbukumbu na kama itahusisha process ndefu kuanza kuweka utambulisho itakuwa ngumu kuaminika kama ni salama kwa mtumiaji. Hivyo kwa sababu ipp Kwenye marekebisbo na reviews change prompt isihushe data za watu
Indonesia
1
0
0
16
Gillsant v10 がリツイート
Gillsant v10
Gillsant v10@GillsaInt·
Kama unatamani kutengeneza content kwa ajili yako, kwa biashara yako, au unataka kuwa content creator lakini hujui uanzie wapi… Nimetengeneza AI tool itakupa mapendekezo ya aina ya content pamoja na mwelekeo wa kuanza. Jaribu kisha uniambie umeonaje. is.gd/krieta
Gillsant v10 tweet media
Indonesia
3
15
56
3K
E.M.
E.M.@ericmisaka·
@GillsaInt Tisha sanaaaa!
हिन्दी
1
0
0
74
Zaburi Frolian — e/acc
Zaburi Frolian — e/acc@99Zaburi·
So i have a youtube channel been handling it i have few best performing videos clocking at 38K views for long form Audience is 🇺🇸. Subs 215 i want to automate it with openclaw first video generated. Target is 10K subs. Content strategy is 4 shorts per week, 2 long form
Zaburi Frolian — e/acc tweet media
English
5
0
14
781
Gillsant v10 がリツイート
MrBeast
MrBeast@MrBeast·
14 years ago today I started the MrBeast channel. For years I uploaded videos and no one watched them, everyone told me I was unrealistic and wasting my life. Grateful for all of you ❤️
MrBeast tweet media
English
4K
2.2K
35.1K
1.2M
Uncle Fafi
Uncle Fafi@Tanganyikan·
Familia ya @GillsaInt haina masihara kwenye suala la kuitafuta hela
Uncle Fafi tweet media
Indonesia
2
2
23
4.7K