Gillsant v10

95.6K posts

Gillsant v10 banner
Gillsant v10

Gillsant v10

@GillsaInt

I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Advanced Social Media course๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Dar es Salaam, Tanzania Katฤฑlฤฑm Mart 2009
5.4K Takip Edilen165.8K Takipรงiler
SabitlenmiลŸ Tweet
Gillsant v10
Gillsant v10@GillsaIntยท
Imekuwa muda kidogo. Nilikaa na Msasa Podcast kuzungumzia kazi, digital, fursa na maisha. Full episode iko hapa YouTube: youtube.com/watch?v=wg58K8โ€ฆ
YouTube video
YouTube
Filipino
15
69
180
42.5K
Gillsant v10 retweetledi
nTZS Stablecoin
nTZS Stablecoin@ntzs_coยท
Tanzania is officially onchain! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ nTZS is live today at ntzs.co.tz
English
7
12
40
4.4K
Gillsant v10 retweetledi
HaCunha Matata
HaCunha Matata@mis_minkyยท
A lot of businesses in Tanzania are not growing kwasababu tunafanya vitu kwa mazoea.. Running a business needs structure, consistency, and serious discipline, DISCIPLINE guys.
English
10
56
239
15.2K
Jumanne Mtambalike
Jumanne Mtambalike@Afruturistยท
I'm looking for an expert in AI annotation based in Tanzania with experience working with gig platforms.
English
4
5
34
7.1K
Gillsant v10 retweetledi
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabirianiยท
Mshahara Tsh 3,500,000/=
Mudi Mabiriani in Dubai tweet media
Indonesia
20
22
186
26.8K
Gillsant v10 retweetledi
Elliot
Elliot@elliot_solutionยท
Before you sign any document, take a picture of the blank pages too. People add things after signatures. This is common.
English
363
17.7K
112K
1.6M
Gillsant v10 retweetledi
Haulay
Haulay@Positivenga1ยท
Jenga utamaduni wa kujiuliza mwenyewe maswali magumu kuhusu maisha yako!
Indonesia
10
87
426
13.1K
Gillsant v10 retweetledi
U.S. Embassy Dar es Salaam
U.S. Embassy Dar es Salaam@usembassytzยท
Akili Bandia (Akili Mnemba) inaendelea kubadilisha mustakabali wa dunia, ikifungua mipaka mipya ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kampuni za Marekani ziko mstari wa mbele katika ubunifu, zikiendeleza mifumo mikubwa ya lugha inayobadilisha namna tunavyoishi, kufanya kazi, na kuwasiliana. Ubalozi wa Marekani unaanzisha mfululizo wa warsha unaolenga kutumia akili mnemba kama nyenzo ya kutatua changamoto za dunia halisi. Kipindi cha kwanza katika mfululizo huo kitafanyika Aprili 23 katika American Corner iliyopo kwenye Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam au unaweza kuungana nasi kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi: bit.ly/4tyR3Q1. Ushiriki ni bure na uko wazi kwa wote. Usikose fursa hii ya kupanua uelewa wako na kwenda sambamba na mabadiliko ya zama za kidijitali. Endelea kutufuatilia kwenye majukwaa yetu ya mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi kuhusu vipindi na mada zijazo.
U.S. Embassy Dar es Salaam tweet media
Indonesia
3
48
108
11.2K
Gillsant v10 retweetledi
Black Dady
Black Dady@BlacDaadyยท
Kuna gap kubwa sana kati ya knowing na doing. Millennials tunajua mambo mengi productive ( business ideas, financial literacy and marketing) kuliko Gen Z. Shida yetu millennials tuna fear za kufeli mnoo. Gen Z akipata mtaji kidogo tu kashafungua biashara chap bila kuwaza mara 2.
Indonesia
10
34
306
10.8K
Gillsant v10 retweetledi
Njox
Njox@Njox16ยท
Unajua kutengeneza website lakini unapataje wateja wa hizo kazi? Hi ndio njia nyepesi na sahihi ambayo unaweza kutumia kwa ajili ya kupata wateja kwa kutumia claude code chrome extension ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
Njox tweet media
Indonesia
2
12
23
2.2K
Gillsant v10 retweetledi
ALLY MSANGI
ALLY MSANGI@ally_ehยท
Jumapili ya tarehe 29 Machi 2026 ilikuwa siku yenye maana sana kwangu. Nilipata nafasi ya kukutana na baadhi ya vijana wa jiji la Mwanza kupitia event ya Mwanza Digital Meetup. Kitu kilichonigusa zaidi ni kuona kwamba bado kuna pengo kubwa kwenye uelewa wa fursa za online. Vijana wana uwezo na hamasa, lakini wengi bado hawajapata nafasi ya kuona kwa upana dunia ya kidigitali inaweza kuwafungulia nini. Hii ni ishara kwamba bado kuna kazi kubwa ya kufanya, lakini pia ni mwanzo mzuri wa hatua bora zaidi zinazokuja. Niwapongeze sana vijana wenzangu waliofanikisha event hii. Kazi mnayofanya ina maana kubwa. @Heritagetech3 @officialhimsel1 @meetkhaled_ Vijana wadogo wenye maono makubwa. Nimefurahi kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyahitaji Mwanza.
Filipino
2
12
31
2.2K
Gillsant v10 retweetledi
Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro)
Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro)@mafolebarakaยท
Miaka michache iliyopita Wise walikuwa wana wapa USD account wabongo. Kwa connect mbili ulikuwa unaweza omba kazi hadi Upwork. Payoneer walikuwa wanatoa akaunti binafsi kwa freelancers. Now vyote hivyo ni historia. Usikubali kuwa sehemu wa historia fungua akaunti Grey, uPWORK, fiverr sasa kabla hawajaanza kuweka vikwazo.
Filipino
7
3
82
8K
Gillsant v10 retweetledi
MRKONGA
MRKONGA@Mrkongajrยท
"Followers wengi utapeleka wapi !? , we unahitaji wachache wanaoweza kununua product zako" - @GillsaInt
Indonesia
1
1
10
655
Gillsant v10 retweetledi
Elon Musk
Elon Musk@elonmuskยท
๐• Money early public access will launch next month
English
15.6K
15.7K
157.6K
67M
Gillsant v10 retweetledi
๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 7.o
Nilienda Dubai na karibu milioni tano tu na plan ya kuuza laptops. Miezi michache baadaye nimepata ๐—จ๐—”๐—˜ ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐—ฐ๐˜† ya miaka miwili. Hii ndio reality ya Dubai ambayo watu wengi hawakwambii. Acha nishee hii story hapa baada ya hapa utakua na majibu ya kila kitu kuhusu DUBAI ๐™ˆ๐™–๐™—๐™–๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™–๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ ๐™ช๐™๐™ช๐™จ๐™ช ๐˜ฟ๐™ช๐™—๐™–๐™ž ๐™†๐™ฌ๐™– ๐™€๐™ญ๐™ฅ๐™š๐™ง๐™ž๐™š๐™ฃ๐™˜๐™š ๐™ฎ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™ช -Utakuwa umefika Dubai -Umejua kila kona ya Dubai -sehemu za kulala, sehemu za kutalii,Biashara nk ๐—•๐—ผ๐—ผ๐—ธ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ธ, Chukua kahawa,Popcorn tuendelee๐Ÿ‘‡ Kiukweli hayajawahi kuwa maamuzi ya siku moja ni RECIPE ya maamuzi na vitu vingi nimekua nikipitia Chachu ilitoka wapi? โ€œ๐™„ ๐˜ผ๐™ก๐™ฌ๐™–๐™ฎ๐™จ ๐™˜๐™๐™ค๐™ค๐™จ๐™š ๐™ง๐™ž๐™จ๐™ ๐™ฎ ๐™›๐™ง๐™š๐™š๐™™๐™ค๐™ข ๐™ค๐™ซ๐™š๐™ง ๐™˜๐™ค๐™ข๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™–๐™—๐™ก๐™š ๐™จ๐™ก๐™–๐™ซ๐™š๐™ง๐™ฎ. ๐˜ผ๐™ก๐™ฌ๐™–๐™ฎ๐™จ.โ€ Mwaka 2022/2023 me whatsapp nilikutana na mwanangu @eddygotya akawa ananiambia ashawai agizia watu vitu kibao China na nini. Mimi nilikua Nairobi wakati huo. Kwa Nairobi ni kitu cha kawaida sana watu wajanja wa mtandao kuOrder aliexpress nk na logistics zimenyooka tu chaap unaletewa mzigo. Sasa fast forward nilivogeuka bongo tukaanzisha kampuni inaitwa ๐•ž๐•Ÿ๐•ฆ๐•Ÿ๐•ฆ๐•ซ๐•š๐• ๐•Ÿ๐•๐•š๐•Ÿ๐•– tulikua na office SINZA afrika sana pale sokoni junction ya kwenda mabatini. Ilikua inakua ila challenge hazikosekani me nikamwambia mchizi nabwaga akaendelea ila me nikachana nayo Sasa yeye akaanza kwenda ๐˜ฟ๐™ช๐™—๐™–๐™ž next ikawa China Kuna siku nikamuuliza kati ya Dubai na China wapi naweza enda nikiwa hata na 5m nikatoboa. Akanyoosha akasema Dubai. (Usije ukawa na 5m ukadhani pia utatoboa, kwangu ilikua rahisi maana tayari nina wateja plus najua kufanya marketing ONLINE) Me nikiwaza lifestyle ninaloona mtandaoni la Dubai nitaweza afford kweli nikaona uongo Mwaka juzi mwanangu @thisiscollins1 alikua Chuo Cyprus akahamia China basi tukaanza kupush tena ecommerce kama kawaida ila logistics ikawa mzozo sana. (Btw tushaiwafunza watu 1000+ jinsi ya kuOrder vitu china na kuuza๐Ÿ‘‰๐Ÿพ youtu.be/lLfA4B5zQpg?siโ€ฆ) Mwanangu akanambia me niko shule omba VISA njoo hapa. Sasa me kama wewe na wengi mnaopenda uhakika nikaanza kumuuliza kila move oya usafiri, hotel ngapi bei nk Huku nauliza @eddygotya kuhusu Dubai pia NikiCompare hivi nikaona maisha ya China ndo kitonga nitamudu. Mimi huyo chaap kwenda kuApply VISA ya China Agent waliniletea miyeyusho ofcoz kama hujui hii sio mara zote watu wamenyooka. Me ni mkorofi niliumana nao haswa hadi nikapata VISA ya China. Hehe Sasa kubabake ikawa wakati wa Canton fair nauli ziko juu mlima. Yaani nikienda ni kuwa nimalize hela yote nauli afu nibet kupambana ama nisiende Nikabwaga nikamcheki mwanangu tena @eddygotya nataka kwenda Dubai Akanambia nenda Dubai focus sana lakini kuuza LAPTOPS. LAPTOPS zina hela miezi nne tu gharama zako zitarudi Uzuri mambo ya kumarket kwangu sio issue nna watu 1200+ daily wanaangalia whatsapp yangu Kukosa mteja labda nirogwe. Siku hiyohiyo nikamuomba mtu wa VISA nikalipia. Hapo sikuwa na dusko nimetoka kupata mtoto costs kibao bima tu Kenya namlipia ka 2m, dogo mapassport nini mambo buku sielewi. Nikachek line zangu mbili wakanipa Dusko niAfford bills za hapa na pale. Mungu hatoki twitter aisee week ya kwanza mauzo bampa to bampa hapo ni whatsapp tu. Offcourse challenges hazikosekani kama hii niliibiwa hapa๐Ÿ˜‚ (x.com/gabyconscious/โ€ฆ) Hadi leo me hizi X sijui insta napost tu for visibility ila nauzia ๐™ฌ๐™๐™–๐™ฉ๐™จ๐™–๐™ฅ๐™ฅ. (Learn Whatsapp marketing๐Ÿ‘‰๐Ÿพ youtu.be/1ER2REhfhMM?siโ€ฆ) Mwezi wa kwanza nikaishi Nikarudi afu after few weeks nikarudi sasa nipambanie ๐™๐˜ผ๐™€ ๐™„๐˜ฟ ili nisisumbuke kuomba VISA kila mara Maana trip hii plan ni nipate ghetto(bedsitter) kwa ajili ya kukaa ila pia iwe office kwa maContent yangu. Hii haikuwa ngumu maana tayari watu wangu wa karibu washaona mzigo nnaopiga, sales nafanya. Wakatia mzigo. Bana Mungu sio Mark Zuckerberg๐Ÿ˜…. Round hii mambo ikajipa Process ikaanza ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
YouTube video
YouTube
YouTube video
YouTube
๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 7.o tweet media๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 7.o tweet media
Indonesia
101
407
1.2K
192.3K
Gillsant v10 retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMaliliยท
Usipotafuta namna ya ku Multiply kipato chako, unajikuta kwenye mzunguko ule ule wa earning and spending, year after year, SADLY.
Filipino
36
166
1K
23.8K