Sabitlenmiş Tweet
Edgar
212 posts

Edgar retweetledi

Panapo majaaliwa mimi na mwanangu @eddygotya siku ya Kesho Dubai tutaspend masaa 2-4 @Sephora na @ZARA
Kama unataka kujua product yoyote Genuine hapo price yake na cost hadi inakufikia bongo make sure umeSevu number ya bahati: 0694579000
Uone kwa status WHATSAPP.
Utalipia bei unaona kwa bidhaa sisi tutakucharge gharama ya kui-SHIP to DSM (ndani ya masaa 24 tu) na delivery utafanyiwa na @deliviosend

Indonesia

@gabyconscious @eddygotya @Sephora @ZARA Bamdogo nikitaka kuwa kama nyie nifanyeje?
Ndege Kila week?
Indonesia

unasemaje hapa mzee @eddygotya 😀 au kuna chochote cha kuongeza
home setup office setup



@eddygotya @gabyconscious @Starlink Afike tu nishachoka ku tease 😂😂😅 mdogo wetu anatumia starlink mawinguni

Polski

😂😂hizi ndo ndege bana. Enjoy the trip fam.
Edgar@eddygotya
Network Test. Hey @gabyconscious Am Using @Starlink 😊 No VPN😆
English

@gabyconscious Too bad sijui kutumia camera😅😅😅simu 10/10. Anyways J5 niko Kibarazani😅
Eesti

@eddygotya 🤣oyah kuna canon imekuja leo ungekuepo dah
Indonesia

UnaDiss Dubai This Dubai That unanifanyia marketing mwenzio leo ukisema Dubai watu X wote wanaRefer kwangu
Hence, mauzo📈
Huu mwezi umekua mgumu ila so far tumeuza bidhaa zina thamani ya karibia 40m last month ilikua 70m✅🫡
Wadogo zangu Dizo na Baraka ONLINE kuna hela sio hadi usubiri masimango ya Wanafunzi🫡
Nawakaribisha ofisini Ubungo Plaza kuanzia May 1st ukiwa na Cash utaenda uweke order within a week bidhaa imefika DASLAM🫶🏾🙏🏾
Ukishop Mara 5 kwetu unapewa Care package ya BURE🫡


Indonesia

@MassaweKamili_ @gabyconscious Nakuelewa vizuri kaka. Ila return ikikutaka itakupata🤣🤣🤣
Indonesia

@eddygotya @gabyconscious Kama lengo ni mteja apate kitu kizuri, itakulazimu utake time kukagua, whether utatumia Samsung Members au la. Ila Samsung Members inakupa system level access, inakagua vitu vingi na kukupa uhakika zaidi kuliko kukagua mwenyewe au with third party apps.
Kama sivyo, unaweza skip.
Indonesia

Kama kuna kitu najivunia kukagua kwa Ustadi ni PC ila simu used zinanipasuaga sana. I am still learning
@eddygotya akiona text yangu nna kipengele anacheka sana😂😂
ila Laptop nimeuza 100+ nadhani ndani ya miezi 5 na returns zimekua mbili tu🫡
Indonesia

Kwa hiyo kabla sijakanyaga South Korea utakuwa ushaenda States nakubali mdogo wangu 😅
Edgar@eddygotya
An IDEA is just a DREAM until you write it down…then it’s a GOAL✍️
Indonesia

@Mudimabiriani Dah kumbe jamaa ni jau hivi🤦♂️ kengele anatembea nazo za nini sa huyu🥶
Indonesia

Mungu atakufundisha SOMO moja kubwa na kisha utaielewa dunia na watu waliomo
Mungu aliyeumba Mariana Trench kule pacific ocean na aliyeumba mlima kilimanjaro wanaume kwa wanaume tunataniana lakini hatuharibiani tunapopata riziki tunakosana tunasameheana lakini usifikie huku 💔🥹

𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious
UnaDiss Dubai This Dubai That unanifanyia marketing mwenzio leo ukisema Dubai watu X wote wanaRefer kwangu Hence, mauzo📈 Huu mwezi umekua mgumu ila so far tumeuza bidhaa zina thamani ya karibia 40m last month ilikua 70m✅🫡 Wadogo zangu Dizo na Baraka ONLINE kuna hela sio hadi usubiri masimango ya Wanafunzi🫡 Nawakaribisha ofisini Ubungo Plaza kuanzia May 1st ukiwa na Cash utaenda uweke order within a week bidhaa imefika DASLAM🫶🏾🙏🏾 Ukishop Mara 5 kwetu unapewa Care package ya BURE🫡
Indonesia

OG Anker 45W Charger
Ni ngumu sana kupata — stock chache sana
💰 Bei: 80,000 TZS
📩 DM ku-order: shorturl.at/ItKZY
🚚 Inafika Dar Jumatano
Ukihitaji USB yake ni:21,000
➠ 📍Dubai
➠ Express Delivery: 1–7 Days
➠ No shipping fee
➠ Pay-on-Delivery hatufanyi❌, kama hutuamini Bora BIASHARA ife.
𝐻𝑎𝑡𝑢𝑛𝑎 𝐻𝐸𝐿𝐴 𝑡𝑢𝑛𝑎𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎 𝐻𝐸𝐿𝐴 𝑦𝑎𝑘𝑜 𝑘𝑢𝑝𝑎𝑡𝑎 𝐻𝐸𝐿𝐴 𝑌𝐸𝑇𝑈🫵🏾
DM us now kwa Whatsapp +255 694 579 000



Indonesia

@gabyconscious Nilikua nikuagize Kawasaki ninja 500 wiki hii lakini baada ya kuangalia hilo podcast nimeona hii hela ikue kwanza
Indonesia

@Elparton112 Siuzi powerbank kaka nnua kwa @eddygotya 😂
Indonesia

@MassaweKamili_ @gabyconscious So kukiwa natakiwa test simu 10, natakiwa log in samsung acc yangu kwa simu 10. Hii ndo itachukua mwaka sasa.
Filipino

@gabyconscious @eddygotya Kwa simu za Samsung, nadhani app ya Samsung Members inaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kurun diagnostics za functions mbali mbali za simu.

Indonesia

@eddygotya @gabyconscious Jamaa kwanza halali yeye anazurura dubai usiku na mchana 😂
Indonesia






