Baba Assad CAG🇹🇿

153.1K posts

Baba Assad CAG🇹🇿 banner
Baba Assad CAG🇹🇿

Baba Assad CAG🇹🇿

@JrMalcolm88

The way you treat yourself sets the standard for others on how you demand to be treated. Do not settle for anything other than respect. #CrownMediaTZ Fan.

TZ-Wuhan| #TuwalindeWatoto🇹🇿 参加日 Kasım 2014
1.9K フォロー中16.7K フォロワー
固定されたツイート
Baba Assad CAG🇹🇿
Baba Assad CAG🇹🇿@JrMalcolm88·
Poverty exists not because we cannot feed the poor, but because we can't satisfy the rich"
English
10
17
38
0
Baba Assad CAG🇹🇿
Baba Assad CAG🇹🇿@JrMalcolm88·
Alhamdulillah Rabbil Alamin 🤲🏾 La Illaha ila anta subhaanaka inni kuntu minaz-zalimeen.
Indonesia
2
1
15
4.5K
Baba Assad CAG🇹🇿 がリツイート
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Nukuu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 14 Novemba, 2025, mkoani Dodoma.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
0
32
68
16K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
I respect the fact that some of my colleagues are ambitious than me, nimejuana nao over years na tumekua pamoja tukiheshimiana na kupigana tafu kama familia, ila wazee kuna njia zenu ngumu sana😀 Sisi wengine wacha tufuge ng'ombe na Mbuzi tuu na amani zetu moyoni.
Filipino
13
47
378
16.1K
Baba Assad CAG🇹🇿 がリツイート
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
RAIS SAMIA ATANGAZA KUUNDA TUME MAALUMU KUCHUNGUZA VURUGU ZA OKTOBA 29. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaongoza Wabunge wa Bunge la Tanzania na wageni waalikwa kusimama na kuomba kwa dakika moja kwaajili ya Wananchi waliopoteza maisha kwenye vurugu na ghasia za Jumatano ya Oktoba 29, 2025 katika Miji ya Arusha, Dar Es Salaam, Mbeya, Mwanza na Songwe. Rais Samia ameongoza jambo hilo leo Ijumaa Novemba 14, 2025 Bungeni Mjini Dodoma wakati wa hotuba yake ya ufunguzi wa Bunge la 13 la Tanzania akitangaza pia kuunda Tume maalumu ya kuchunguza tukio hilo, akitoa pole pia kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao. "Serikali imechukua hatua ya kuunda Tume ya kuchunguza yaliyotokea ili tujue kiini cha tatizo, taarifa hiyo itatuongoza kujielekeza kwenye mazungumzo ya kuleta maelewano na amani." Ametangaza Rais Samia. Akieleza namna ambavyo ameumizwa na tukio hilo, Rais Samia pia amewaombea kheri majeruhi wote huku pia akiwaomba waliopoteza mali zao kuwa na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Indonesia
7
9
26
6.4K
Baba Assad CAG🇹🇿 がリツイート
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
TUMEANZA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA YA TANZANIA- RAIS SAMIA "Hapana shaka kwamba Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya kidemokrasia ila neno demokrasia kamili linaweza kutafsiriwa kwenye mitazamo tofauti kwani haina kanuni moja. Kama Taifa tunaendelea kujifunza na kujirekebisha, hivyo basi sote kwa umoja wetu tunapaswa tutumie fursa hii kuendelea kujifunza, tukirekebishe na tukubaliane jinsi ya kuendesha ncho yetu kidemokrasia kwa kuzingatia tamaduni, mila na desturi zetu na sio za kuletewa. "Kama tulivyoagizwa na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi moja ya hatua itakayotufikisha kwenye maelewano hayo ni marekebisho ya Katiba yetu, serikali imeahidi kuanza kulifanyia kazi suala la mabadiliko ya Katiba ndani ya siku 100 za muhula wa pili wa awamu ya sita kwa kuanza na Tume ya usuluhishi na maelewano."- Rais Samia Suluhu Hassan akizindua Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Alhamisi Novemba 14, 2025 Mjini Dodoma.
Indonesia
0
7
15
1.7K
Baba Assad CAG🇹🇿 がリツイート
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Sehemu ya Hotuba ya Rais Samia ufunguzi wa Bunge la 13.
MR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet media
Indonesia
0
5
16
2.6K
Baba Assad CAG🇹🇿
Baba Assad CAG🇹🇿@JrMalcolm88·
1. Mafunzo na Mikopo yenye riba nafuu na rahisi kuipata. 2. Ahadi ya Billion 200, pesa hizi ku inject kwa Vijana ambao tayari wamekwisha anza biashara zao, na moja ya sharti ni kuongeza ajira kwa vijana. 3. Sekta za Kilimo, Madini na Ufugaji (Samaki kwenye Vizimba) Serikali ikopeshe Vifaa, mfano Kilimo Kuna Matrekta 10,000, nakazia kwenye mafunzo na follow-up. UNAWEZA KUMPELEKA NG'OMBE MTONI, LAKINI HAUWEZI KUMLAZIMISHA NG'OMBE KUNYWA MAJI.
Indonesia
0
0
0
30
MKULIMA®🌽 Wolfgang
MKULIMA®🌽 Wolfgang@LaiMunisi·
@JrMalcolm88 Ukizingatia sera, ilani na hotuba ya Jana ya Mamako... Kwa dhamira yako utatusaidiaje mfno...kwenye kazi, biashara na Ajira!? Kitu kitaacha alama.
Indonesia
1
0
0
26
Baba Assad CAG🇹🇿
Baba Assad CAG🇹🇿@JrMalcolm88·
Mataifa yanayoibukia kiuchumi, halipo hata moja ambalo limekwisha ajiri Vijana wake wote. Binafsi nina amini tukiweka sera rafiki, Vijana wengi tunaweza kujiajiri na kuajiri wenzetu,Dr Samia alilisema hili jana Bungeni kwenye miradi mbali mbali hasa Kilimo, Mifugo, Madini na Uchukuzi.
MKULIMA®🌽 Wolfgang@LaiMunisi

Watawala Hamuwezi kutuajiri wooote Kuna watu wanamiaka 12 hawajawai itwa Kwenye interview. Turuhusuni mijadala chanya vijana wanajua nn wanataka. hizo Ajira mmetoa MAELFU na watu waliomaliza shule kwa kada Moja wako mamilioni. Ruhusuni watu wawape mawazo hamjui Kila kitu.

Indonesia
2
0
2
606
RCM
RCM@robkidayo_·
As long as kiongozi wa hiyo wizara ni CCM basi hakuna haja
Baba Assad CAG🇹🇿@JrMalcolm88

@munyamambogo Wizara hii ibebe changamoto za Vijana halisi, Wizara ilete mipango ya namna gani ya kushughulika na kutatua changamoto kubwa za Vijana kwenye makundi yao.

Indonesia
1
0
2
69